Kisumu vs Mwanza

Duh aerial view sina kwa sasa...ila I'm sure ntaipata na nitaiweka....ila uelewe mwanza estates zipo zakutosha tu..
Halafu mbona mnawatesa watu kwa kuwapeleka eneo local namna hiyo...
Miji za Kenya hio ndio culture. Infact hizo "local" areas ndio high end estates zote huwa. Talk of Karen, Westlands, Runda, Nyali, Milimani etc...
 
Miji za Kenya hio ndio culture. Infact hizo "local" areas ndio high end estates zote huwa. Talk of Karen, Westlands, Runda, Nyali, Milimani etc...
Sawa ila zijengeni hata sehemu yenye barabara nzuri....ikinyesha mvua si inaharibu access ya wafanyakazi kuingia mjini. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…