Kisumu vs Mwanza

We sasa umeleta nn na mchina wako huu

Sent using Jamii Forums mobile app
That's what aerial view means... You can only see red and blue roofs.. Na hapo hata nusu ya mwanza city bado....watu wanajenga bhana....si kusubir shirika au serikali ikujengee nyumba zinazofanana utadhani uniform za watoto wa shule....
Na ninyi leteni ur aerial photo.... We're eagerly waiting for it...
 
Nynyi ndio mnaaubiria serikali ndio iwajengee...
Kenya mtu akijiskia anaunua kiwanja anajenga units kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nynyi ndio mnaaubiria serikali ndio iwajengee...
Kenya mtu akijiskia anaunua kiwanja anajenga units kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mweee!!... Ati nan anajengewa na serikali....huku watu wanajenga nyumba bora kwa gharama zao.....cheki kwenye hizo aerial photos utaziona...huko ninyi ndo mmekomaa na estates hadi mnaweka picha zake humu na si modern estates ka zetu... Huko kwenu wengi wana makazi duni.... Kiufupi mna hali mbaya kwa upande wa housing... Pambaneni mtoke huko...
 
Nynyi ndio mnaaubiria serikali ndio iwajengee...
Kenya mtu akijiskia anaunua kiwanja anajenga units kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Units ni jina linalo tumika kutofautisha apartments kwenye Estates au hostels, nikiwaambia hostels ni sawa na Estates kuna watu wanajitia vichwa ngumu kukubali uhalisia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Units ni jina linalo tumika kutofautisha apartments kwenye Estates au hostels, nikiwaambia hostels ni sawa na Estates kuna watu wanajitia vichwa ngumu kukubali uhalisia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
What the https://jamii.app/JFUserGuide ..
Bro, mbna huaga unapenda kujiabisha hivi, juzi hostels ulisema ni nyumba za kufanana leo units sijui unasemaje...

Kaa uki google basi sometimes ndio ukomenti jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…