Kisumu vs Mwanza

Hadi kukimbilia kuzipiga picha walikuwa wakizishangaa.... Slums zenu zinaonekana ni choka mbaya hatari...
Haya.
 
Na 👇👇 ni nini hapo Kisumu? 😂😂😂😂😇
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et nini!! Hamchanganyi nini? Sasa kwenye picha hizo mbili unaona mmechanganya nini na nini kwani [emoji16][emoji23][emoji23]
Jomba, sisi hku hatuchanganyi mansions na uswazi..kwanza hyo picha ya pili ni ya mtaa gani nikuletee aerial view..

Tom mboya estate[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…