Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hadi kukimbilia kuzipiga picha walikuwa wakizishangaa.... Slums zenu zinaonekana ni choka mbaya hatari...Kenya ukitoka slums huwez kuta makaazi mabovu, ndio manake watanzania wakija kenya hukimbilia kupiga picha slums...
Nje ya slums kenya utashangaa ferry, kumepangika hatari...
Sio km hko kwenu unakuta mansion, bungalow, uswazi, kibanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya.