Kisumu vs Mwanza

Na
Nasubiri nione hiyo milima iliyopo kati kati ya CBD Sao paulo
Heheeee!!ume change gear baada ya kuona ya kwamba sao paulo kunamilima na bado picha zianapigwa vizuri..

Cheki rio de janeiro hyo kwanza, manake naona ume change gear eti hooo cbd[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa leta za mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka tulinganishe Mwanza na Rio kweli 😷lakini ni mfano mzuri wewe mwenyewe unaona kucover Rio CBD imekuwa ngumu umeleta picha zimekatwa katwa, hivyo hivyo ukitaka kucover mwanza lazima uzikate kate
 
Hta hicho ulichokileta bado hamna kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nenda kapambane na kisumu kw picha km hzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheki rio cbd iko milimani lkn picha bado zimechukuluwa kw mbali sana na tunaweza kuona eneo kubwa...
Lkn kituko ni mwanza, mnaleta majumba kumi halafu mmasema mwanza haiwezi kuwa covered kw picha moja...
Kituko cha mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚una matatizo ya macho!! Rio kuna milima inaizunguka but mwanza kuna milima kati kati ya CBD
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚una matatizo ya macho!! Rio kuna milima inaizunguka but mwanza kuna milima kati kati ya CBD
Hajawahi fika hata sehemu mojawapo kati ya hizo...... Hapo ni kama unapika mawe...
 
Unalazimisha kupingana na nature!! uje upige mwenyewe picha ya Mwanza CBD then cover sehemu zote na tuone clear images πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜Ž
 
Unalazimisha kupingana na nature!! uje upige mwenyewe picha ya Mwanza CBD then cover sehemu zote na tuone clear images πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜Ž
Mfano mzuri tu mwambie akuletee picha ya rockcity mall halafu hapohapo yaonekane maghorofa yale ya city center....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…