Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Wacha utani khaa! Hata kama unapenda kwenu usiwe kipofu!

images

Vs
images

And

View attachment 1317341
Nilizani unaleta kitu konki 💪kumbe yale yale 😂😂😂
 
Naita ujinga kuleta majengo ya treni na kuita mall! Angalia uani kukoje! I guess ndo standard ya Mwanza! Sorry siko kwenye kujikweza huku!

images
Kaka unataka nikuketee picha ya Buzuruga plaza ya ndani kama itafanana sakafu na hiyo yako... Hiyo picha nimeiona mtandaoni,nahisi umeidownload...Ndani ya hiyo plaza kuna shops,supermarkets,jim,clubs nk... Kweli ndani panaweza kuwa hivyo..?!!! Hiyo picha imechukuliwa kipindi hata bado hawajalaunch...hata sakafu ilikuwa bado... And mind you it's only a shopping center.
 
Jengo la treni unafananisha na proper mall una wazimu aisee!
 
Achana na mambo ya malls kwanza ebu tupia miradi iliyoko arusha kwa sasa😝I like these two cities
Kwanza kubali leisurewise n hospitality Arusha ipo mbele! Angalia list ya watu mashuhuri waliotembelea hii art shopping center

Screenshot_2020-01-09-17-40-50.png

Kama hizi ndio vitu mnaita malls then may God have mercy on you[emoji23][emoji23][emoji23].
Hahaha aim mall is more closer to that than Rock city... Haya umetuambia wana mall tatu..., leta picha ya hizo zingine...
Look at this.This is Tumaini supermarket, it just a supermarket in Kisumu, it is better than all those things you posted above as malls.
1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisumu has supermarkets that are better than those things you posted above as malls.
1. Tumaini supermarket
2. Naivas supermarket
3. Khetias supermarket
4. Dubai complex supermarket.

All those four supermarkets are better than the malls you posted above.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom