Kisumu vs Mwanza

Nipe tofauti ya Rock City mall na AIM Mall! Au uzandiki umekuzidi?


Uzuri video zinajieleza umeambiwa mlimani city mall inaingia mara ngapi kwa Rock city mall? Hiyo nyingine hata haijulikani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Naita ujinga kuleta majengo ya treni na kuita mall! Angalia uani kukoje! I guess ndo standard ya Mwanza! Sorry siko kwenye kujikweza huku!

Kaka unataka nikuketee picha ya Buzuruga plaza ya ndani kama itafanana sakafu na hiyo yako... Hiyo picha nimeiona mtandaoni,nahisi umeidownload...Ndani ya hiyo plaza kuna shops,supermarkets,jim,clubs nk... Kweli ndani panaweza kuwa hivyo..?!!! Hiyo picha imechukuliwa kipindi hata bado hawajalaunch...hata sakafu ilikuwa bado... And mind you it's only a shopping center.
 
Jengo la treni unafananisha na proper mall una wazimu aisee!
 
Achana na mambo ya malls kwanza ebu tupia miradi iliyoko arusha kwa sasa๐Ÿ˜I like these two cities
Kwanza kubali leisurewise n hospitality Arusha ipo mbele! Angalia list ya watu mashuhuri waliotembelea hii art shopping center



 
Kama hizi ndio vitu mnaita malls then may God have mercy on you[emoji23][emoji23][emoji23].
Hahaha aim mall is more closer to that than Rock city... Haya umetuambia wana mall tatu..., leta picha ya hizo zingine...
Look at this.This is Tumaini supermarket, it just a supermarket in Kisumu, it is better than all those things you posted above as malls.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisumu has supermarkets that are better than those things you posted above as malls.
1. Tumaini supermarket
2. Naivas supermarket
3. Khetias supermarket
4. Dubai complex supermarket.

All those four supermarkets are better than the malls you posted above.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ