Acha kukurupuka ka mbwa aliyefunguliwa ghetoni...
Kwa hiyo wakivisit celebrities ndo nn yaani... Ndo bora kuliko zote Tanzania au...Au labda hao celebrities wamefunga safari kutoka US kuja kusafisha macho hapo..Kwanza kubali leisurewise n hospitality Arusha ipo mbele! Angalia list ya watu mashuhuri waliotembelea hii art shopping center
View attachment 1317483
Hivi hiyo nimeiita mall mimi... Ndo madhara ya kufungiwa bandani na kuachiwa usiku haya..Juu nimeongea ukweli? Why can't we compare malls in Kisumu and Mwanza if you got guts[emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bangi haijaruhusiwa Kenya kweliKisumu has supermarkets that are better than those things you posted above as malls.
1. Tumaini supermarket
2. Naivas supermarket
3. Khetias supermarket
4. Dubai complex supermarket.
All those four supermarkets are better than the malls you posted above.
Sent using Jamii Forums mobile app
Why do you fear the comparison? Why can't we just compare the malls tumalizane.Hivi bangi haijaruhusiwa Kenya kweli
Leisure unayo izungumzia ni utalii tu au kipi kingine sababu kama ni leisure in general Mwanza ndio in beach nyingi na nzuri ukiacha dar!Kwanza kubali leisurewise n hospitality Arusha ipo mbele! Angalia list ya watu mashuhuri waliotembelea hii art shopping center
View attachment 1317483
Leisure unayo izungumzia ni utalii tu au kipi kingine sababu kama ni leisure in general Mwanza ndio in beach nyingi na nzuri ukiacha dar!Kwanza kubali leisurewise n hospitality Arusha ipo mbele! Angalia list ya watu mashuhuri waliotembelea hii art shopping center
View attachment 1317483
Comparison with what?...Who said that plaza is a mallWhy do you fear the comparison? Why can't we just compare the malls tumalizane.
Here are some lists of malls in Kisumu.
1. Lake Basin Mall
2. Mega plaza mall
3. Mega city mall
4. Westend mall
5. United mall
Under construction.
Unique mall.
Kenton's shopping mall.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂compare huko huko, tushaachana na hiyo Kisumu sijui ulikuwa wapi my friend!Juu nimeongea ukweli? Why can't we compare malls in Kisumu and Mwanza if you got guts[emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ubishi mzee Mwanza haina leisure n hospitality facilities kama Arusha hata conference facilities za Mwanza huwezi linganisha na Arusha!Leisure unayo izungumzia ni utalii tu au kipi kingine sababu kama ni leisure in general Mwanza ndio in beach nyingi na nzuri ukiacha dar!
That's how it's called. Should I throw the picture of that Plaza nione kama unaezacompare na any mall in Mwanza?[emoji23][emoji23]Comparison with what?...Who said that plaza is a mall
You don't have malls that's why you are uncomfortable to do the comparison[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]compare huko huko, tushaachana na hiyo Kisumu sijui ulikuwa wapi my friend!
Dah sikuelewi hata...Yaani naongelea plaza ya mwanza halafu unataka ulete picha za hiyo plaza ulinganishe na mall ya Mwanza!!.... Kiwango chako cha ukichaa kiko juu...subir kishuke ndo tuendelee...That's how it's called. Should I throw the picture of that Plaza nione kama unaezacompare na any mall in Mwanza?[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, let's do the comparison now. Are you ready?Dah sikuelewi hata...Yaani naongelea plaza ya mwanza halafu unataka ulete picha za hiyo plaza ulinganishe na mall ya Mwanza!!.... Kiwango chako cha ukichaa kiko juu...subir kishuke ndo tuendelee...
kwa kweli tuwe tu wakweli arusha na mwanza arusha iko mbali kimaendeleo huo ni ukweli haupingiki hata uandike vp huo ni ukweli ila tusi battle about our city hapa ila m sio wa arusha wala mwanza ila mwanza nlipakubali kwa sababu ya beach na mm napenda beaches ila kimaendeleo miundombinu maendeleo na starehe arusha iko mbele tukubali tukatae ila mwanza n 2nd kitakwimu tuheshimu hiloBro I had a visit on both cities recently.... It's true that Arusha is better in terms of quality hotels... But for leisure pub,club,night clubs,casinos,nyamachoma not really... Mwanza city is far better and the prices are affordable... I've also visited their mall,Aim mall...yah it's good somehow but can it stand along with the likes of Rock city and Mlimani city..? It's just like a shopping center...Even local transport you can't compare the two... Take a look at infrastructure, I appreciate that Arusha city has got a dual carriage of Sakina-Tengeru which was built recently but Mwanza city had dual carriage since 2008 and a 6 lane also though it is a short distance... That conference center in Arusha has been there even before 2000 and there was a need to do so... I think mwanza city are planning to build a big one after the ongoing projects;central market, nyegezi bus stand,marine vessels and airport are completed.Arusha and Mwanza were named cities 2012 and 2000 respectively though Arusha was the first to have things like supermarket, movie theater etc... I got my secondary education in Arusha.
And lastly I think this isn't the right platform for battling Tanzanian cities, It is Tanzanian against Kenyan. So we have to put other things aside.
Si tulishacompare mwanzo kabisa wa thread...? Mnapenda kurudiarudia vitu..
arusha city ni about 200+km² na mwanza ni about 400+km² ndio maana nje ya jiji hamna anything special ila arusha bila arumeru ni utani maana hata mianzini arusha ni city center ila iko arumeru kuna sakina mall na complex na plaza arusha ni nyingi mno inakimbizana na dar i guess tusipambanishe arusha vs mwanza hii n ujinga ila arusha iko far kimiundombinu maendeleo ya watu starehe na hata towers ila kiuchumi mwanza iko juu na population pia as well as activity nyingi za uchumiHaha maybe but my host told me that was the only mall in the city... Or you can give me the names of those other malls...Of course Arusha is famous for nyamachoma but I think the reason behind is that it's the favourite dish for those people.... There are a lot of places selling those nyamachoma in mwanza... I can say we people have different attitude... But the truth is that the more busy the city is,the more places for leisure... And I'm speaking from my experience because I've been there in both cities... And sometimes I see people compare Arusha region and Mwanza city... Arumeru isn't part of Arusha city...Mwanza region apart from Mwanza city has nothing special.. Maybe Sengerema district.
Hahaha... Nimeona tu ID yako nikakukumbuka... Nimezurula sana nyuzi zenye battle ya aina hii... Nakujua vizuri sana... Na wala hunipi Shida..kwa kweli tuwe tu wakweli arusha na mwanza arusha iko mbali kimaendeleo huo ni ukweli haupingiki hata uandike vp huo ni ukweli ila tusi battle about our city hapa ila m sio wa arusha wala mwanza ila mwanza nlipakubali kwa sababu ya beach na mm napenda beaches ila kimaendeleo miundombinu maendeleo na starehe arusha iko mbele tukubali tukatae ila mwanza n 2nd kitakwimu tuheshimu hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo. Show me any page that the comparison took place.Si tulishacompare mwanzo kabisa wa thread...? Mnapenda kurudiarudia vitu..
arusha kuna hugo plaza kuna nssf kaloleni plazaUnahesabu hadi Plaza, Mwanza pia kuna Buzuruga Plaza kwa shopping kama hizo