Kisumu vs Mwanza

And currently hakuna mradi wowote ule arusha unaoweza linganishwa na miradi iliyoko mwanza, and still mwanza is the second fastest growing city in the country
i can say dodoma n second fast growing ila haimaanishi imeipata mwanza anyway kuna project kubwa pia arusha na usipoelewa utaona mwaka huu wakianza ujenzi wa sgr musoma arusha to dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sehemu yenye uchumi wa chini inakuwa na maendeleo kuliko yenye uchumi wa juu.. Hahaha... Ila kaka unajisumbua kuniqoute...nimekuona sana kwenye nyuzi zenye Battle la aina hii... Hata zile za Arusha against Mbeya... Hivyo tulia tu urelax..
 
List of Malls in Kisumu
1. Mega City mall
2. Mega Plaza mall
3. Westend Mall
4. United mall
5. Tuffoam mall
6. Unique mall
7. Tumaini mall
8. Lake Basin mall
9. Swan Center.
Aliyeiandika hii post ni nan.. Au ulitumia makagali kuiandika
 
Hahaha... Nimeona tu ID yako nikakukumbuka... Nimezurula sana nyuzi zenye battle ya aina hii... Nakujua vizuri sana... Na wala hunipi Shida..
na kama unanijuaa utakua unajua m ni mwepesi kukubali kushindwa na nnabishana kwa fact and tusibishanie hapa siku uzi ukifunguliwa nitag tutakutana hapa tuchakaze kisumu kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sehemu yenye uchumi wa chini inakuwa na maendeleo kuliko yenye uchumi wa juu.. Hahaha... Ila kaka unajisumbua kuniqoute...nimekuona sana kwenye nyuzi zenye Battle la aina hii... Hata zile za Arusha against Mbeya... Hivyo tulia tu urelax..
hahhahahahah okay boss u win do u think it hard for me to look kwenye past activities zako that is nothing to be grateful about anyway nimependa kujua nnae fun anae nifatilia and mwanza is great than arusha i hope ur happy now boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miundo mbinu hapo hapana, Mwanza isingekuwa na miundo mbinu iliyo bora unazani ingeweza kushikilia Mataji ya jiji safi inchini kwa miaka yote hiyo?
 
arusha kuna hugo plaza kuna nssf kaloleni plaza
kuna ppf plaza kuna plaza kama sita nlitembelea sema majina tatizo afu arusha kuna 10+ tower nyingi zinaweza fika au zaidi ya 20 while mwanza hazifiki 10

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye 10+towers zaidi ya 20 arusha umedanganya umma! Sema arusha zipo nyingi kuliko mwanza but ukija 6+towers arusha hata haisogei kwa mwanza
 
Hapo kwenye 10+towers zaidi ya 20 arusha umedanganya umma! Sema arusha zipo nyingi kuliko mwanza but ukija 6+towers arusha hata haisogei kwa mwanza
okay sawa kuna mkenya hapa hapa kwenye huu uzi nlimtajia towers za arusha ambaxo niliziona mwaka jana na zilifiaka 15+ hata hapo kwenye 6+ sijui maana sikuwaza izo boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…