Kisumu vs Mwanza

Hapana grading ina classification zake na usichanganye grading and rating! East Africa kuna institution ina oversee hotel grading using international classifications si kujiamulia tu! NSSF hotel ikikamilika ndo itakuwa 5 star kutakana na standards zinazotumika kuijenga!
 
Kisumu tulishaipiga zamani sana watu mmerudi tena kwenye malls baada ya hali kuwa tete wakati tulishayajadili mwanzoni kabisa... Mkitoka hapa mtaleta mi-fly over yenu mibaya inayofanana na daraja halafu mtaishia hapo.. Hahahh
Kisumu 7 Mwanza 2-3rd largest vs 2nd largest

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumetupigia wapi na kisumu iliwagonga sector zote[emoji116][emoji116][emoji116]
Real Estate- Kisumu
Malls- Kisumu
Roads- Kisumu
Airport - Kisumu... etc
Tourism - Kisumu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa unachosema ila hizo nyota hapo zinatokana na watu walivyorate...hebu cheki 5 star hotels za DSM hapo chini...ratings hazijajaa nyota tano zote, ila wamekwambia ni 5 star hotels... Hivyo hivyo kwa malaika pia....
To make it clear mwanza has got one 5 star hotel na ikikamilika ile nssf zitakuwa mbili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulinganisha mwanza na arusha upande wa hotels mnakosea sana... Mwanza ina nyota tano moja wakati arusha ina nne.. Labda nssf ikikamilika zitakuwa mbili.Hii inatokana na arusha kuwa kama kitovu cha utalii. Hivyo hoteli kubwakubwa ni muhimu..
Tukija upande wa pili wa shilingi, kiuchumi na maendeleo,arusha lags behind... Tukizungumza hivyo tunamaanisha miundombinu,hali ya usafiri,mzunguko mzuri wa biashara,kuchangamka kwa mji na hata viwanja vya burudani.... Hiyo tathmini yangu.. And that's all.
 
mwanza haina hoteli ya nyota tano mpaka sasa mpaka NSSF building ikikamilika! Muache mambo ya ajabu 5 star si mchezo hebu pitieni Rotana halafu mfananishe na Malaika beach resort!
 
mwanza haina hoteli ya nyota tano mpaka sasa mpaka NSSF building ikikamilika! Muache mambo ya ajabu 5 star si mchezo hebu pitieni Rotana halafu mfananishe na Malaika beach resort!
Have you ever stayed in that hotel and when?
 
hapana rate za kusema hii ni 5 star au 4 star zinanamna ya kutolewa sio izo rate za watu kazaa hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanza haina hoteli ya nyota tano mpaka sasa mpaka NSSF building ikikamilika! Muache mambo ya ajabu 5 star si mchezo hebu pitieni Rotana halafu mfananishe na Malaika beach resort!
Wewe itabidi utembelee mwanza, watu wa arusha ambao hawajawahi fika Mwanza siku zote wata kuambia baada ya dar ni arusha sababu kwa ukanda wa pwani hakuna mji unaozidi arusha, lakini kwa sisi tuliotembelea miji yote hiyo mitatu at least we can differentiate the two cities without bias. Otherwise unalinganisha mkoa wa mwanza vs arusha na sio jiji la Mwanza vs jiji la Arusha
 
nani kakuambia mi mtu wa Arusha mbona naitetea Mwanza kwenye ukweli! Tatizo ni kwamba mmezuka watu wa misifa mnapotosha sasa! Mnakuwa kama Wakenya wa Kisumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…