Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Nimekupa eneo la ukubwa wa rock city unaanza kulialia ooh siamini blogs
Ukubwa wa Rock city is 20,500m²
IMG_20200212_090633_188.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww kilaza huwezi nifunza chochote kuhusu jf hata huyo mwenzio... Ww umejiunga humu 2018 unaanza kujidai unafundisha wenyeji.... Hata huu uzi mm si mgeni humu...,nimetembea nao hadi hapa ulipo ukibisha cheki page za mwanzoni hadi sahivi... So utulie punguza mizuka na mihemko na kucheka cheka ovyo kwa wanaume huku...Kama unapinga pinga kwa hoja sio kubehave kiswazi swazi hivi... Au labda Kenya talk ndo pako hivyo.
Hta km umejiunga sijui 2010, hyo haijalishi jomba..akili hazipimwi hvo, la hasha!! Hapa sisi tunaenda na uhalisia...

Sasa km wewe ni kilaza watu sio kusema kisa account yako ya jf ni ya 2017 mi yangu ya 2018....
We lazima uambiwe, kw sababu sio kw akili hzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndiye empty mind kuliko wote nafuu hata yule mwenzako... Wewe ile mitusi yote uliyotema jana tena ile yenyewe ile kunishauri mm ni ndoto... Nenda kwanza ukafundishwe na wazazi wako maadili halafu baada ya hapo nenda kwa ticha wako hata wa shule ya msingi akufunze misingi ya kiutu uzima sababu inaonekana hata hiyo huna... Ukimaliza ndo waweza kuja kuargue na watu wa jf.
Nakutusi au nakwambia ukwel, we ulinihukumu mi nikakupiga na ukwel..
Km imekuuma tulia jomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom