Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha upumbavu wewe lile daraja la JPM na barabara yake ya kuunganisha yenye flyover si miundombinu (US$ 300 mln)? Meli zile? Uwanja wa ndege? Mnataka mpewe kila kitu? Na mikoa mingine? Majiji mengine? Nionyeshe mradi mmoja wa barabara/miundombinu au daraja unaozidi $100 mln Kisumu!Kisumu kwa miundo mbinu mpo vizuri hasa barabara hapo mmetuzidi, lakini suala la majengo, fursa za biashara na miradi mikubwa Mwanza ipo juu yenu, Sema huku Tz miundombinu zinapelekwa Dar tu pengine ni kama mashamba ya bibi tu.
😀😀😀😀 Bongo inakera Sana kwenye Miundombinu na mipango miji,hapo ndio kwenye uchawi..Kisumu kwa miundo mbinu mpo vizuri hasa barabara hapo mmetuzidi, lakini suala la majengo, fursa za biashara na miradi mikubwa Mwanza ipo juu yenu, Sema huku Tz miundombinu zinapelekwa Dar tu pengine ni kama mashamba ya bibi tu.
Acha matusi wewe dingi,kama kusoma hujui hata picha huoni? Kwamba unaweza linganisha barabara za Kisumu na Mwanza?wacha upumbavu wewe lile daraja la JPM na barabara yake ya kuunganisha yenye flyover si miundombinu (US$ 300 mln)? Meli zile? Uwanja wa ndege? Mnataka mpewe kila kitu? Na mikoa mingine? Majiji mengine? Nionyeshe mradi mmoja wa barabara/miundombinu au daraja unaozidi $100 mln Kisumu!
Hapa umesababisha mtu flani afe🤣🤣🤣 #Geza Heng SawoKisumu kwa miundo mbinu mpo vizuri hasa barabara hapo mmetuzidi, lakini suala la majengo, fursa za biashara na miradi mikubwa Mwanza ipo juu yenu, Sema huku Tz miundombinu zinapelekwa Dar tu pengine ni kama mashamba ya bibi tu.
Ni kweli kiongozi😀😀😀😀 Bongo inakera Sana kwenye Miundombinu na mipango miji,hapo ndio kwenye uchawi..
Ifike mahala kama govt inaamua kufanya project zifanye kweli mbona Dom wanaijenga vizuri? Yaani kwingine wanapaka paka tuu .
Ujasoma vizuri post yangu nimesema kisumu imeizidi Mwanza kwa miundo mbinu ya barabara lakini sio miradi mikubwa na kwenye fursa za kibiashara bado Mwanza ipo juu.wacha upumbavu wewe lile daraja la JPM na barabara yake ya kuunganisha yenye flyover si miundombinu (US$ 300 mln)? Meli zile? Uwanja wa ndege? Mnataka mpewe kila kitu? Na mikoa mingine? Majiji mengine? Nionyeshe mradi mmoja wa barabara/miundombinu au daraja unaozidi $100 mln Kisumu!
Mimi siwezi kutetea ujinga wakati najua barabara za ndani ndani mwanza bado ni mbovu, japo maendeleo yapo mbele lakini miundombinu ya barabara bado.Acha matusi wewe dingi,kama kusoma hujui hata picha huoni? Kwamba unaweza linganisha barabara za Kisumu na Mwanza?
Tzn ina miradi ya Zima moto ambayo haina linkages na sekta zingine ndio maana inakuwa ya kuunga unga kwa sababu hakuna masterplan na hata ikiwepo hakuna anaefuata.
aaawapii yaani kupitishwa grader ishakuwa dual carriage? wapi mkataba wa mradi?the sugar belt road.. construction of 63 km Mamboleo- Muhoroni-Kipited road.. It will be dual carriage from Great lakes University in kisumu via mamboleo to kisumu central business district. Mamboleo muhoroni road will be the shortest route from kisumu to Nairobi..
![]()
![]()
![]()
![]()
Unataka maktaba ya kufanyia Nini..if you yourself you never produce them..Always full of negativity..Am on the ground the pictures you have seen are on the progress of the road..I will be posting moreaaawapii yaani kupitishwa grader ishakuwa dual carriage? wapi mkataba wa mradi?
✊🔥🔥every day In Kenya is a new project,the sugar belt road.. construction of 63 km Mamboleo- Muhoroni-Kipited road.. It will be dual carriage from Great lakes University in kisumu via mamboleo to kisumu central business district. Mamboleo muhoroni road will be the shortest route from kisumu to Nairobi..
![]()
![]()
![]()
![]()