Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

K City

IMG_20210915_161712.jpg

IMG_20210915_162407.jpg
 
Kisumu kwa miundo mbinu mpo vizuri hasa barabara hapo mmetuzidi, lakini suala la majengo, fursa za biashara na miradi mikubwa Mwanza ipo juu yenu, Sema huku Tz miundombinu zinapelekwa Dar tu pengine ni kama mashamba ya bibi tu.
 
wacha upumbavu wewe lile daraja la JPM na barabara yake ya kuunganisha yenye flyover si miundombinu (US$ 300 mln)? Meli zile? Uwanja wa ndege? Mnataka mpewe kila kitu? Na mikoa mingine? Majiji mengine? Nionyeshe mradi mmoja wa barabara/miundombinu au daraja unaozidi $100 mln Kisumu!
 
😀😀😀😀 Bongo inakera Sana kwenye Miundombinu na mipango miji,hapo ndio kwenye uchawi..

Ifike mahala kama govt inaamua kufanya project zifanye kweli mbona Dom wanaijenga vizuri? Yaani kwingine wanapaka paka tuu .
 
wacha upumbavu wewe lile daraja la JPM na barabara yake ya kuunganisha yenye flyover si miundombinu (US$ 300 mln)? Meli zile? Uwanja wa ndege? Mnataka mpewe kila kitu? Na mikoa mingine? Majiji mengine? Nionyeshe mradi mmoja wa barabara/miundombinu au daraja unaozidi $100 mln Kisumu!
Acha matusi wewe dingi,kama kusoma hujui hata picha huoni? Kwamba unaweza linganisha barabara za Kisumu na Mwanza?

Tzn ina miradi ya Zima moto ambayo haina linkages na sekta zingine ndio maana inakuwa ya kuunga unga kwa sababu hakuna masterplan na hata ikiwepo hakuna anaefuata.
 
Kisumu kwa miundo mbinu mpo vizuri hasa barabara hapo mmetuzidi, lakini suala la majengo, fursa za biashara na miradi mikubwa Mwanza ipo juu yenu, Sema huku Tz miundombinu zinapelekwa Dar tu pengine ni kama mashamba ya bibi tu.
Hapa umesababisha mtu flani afe🤣🤣🤣 #Geza Heng Sawo
 
wacha upumbavu wewe lile daraja la JPM na barabara yake ya kuunganisha yenye flyover si miundombinu (US$ 300 mln)? Meli zile? Uwanja wa ndege? Mnataka mpewe kila kitu? Na mikoa mingine? Majiji mengine? Nionyeshe mradi mmoja wa barabara/miundombinu au daraja unaozidi $100 mln Kisumu!
Ujasoma vizuri post yangu nimesema kisumu imeizidi Mwanza kwa miundo mbinu ya barabara lakini sio miradi mikubwa na kwenye fursa za kibiashara bado Mwanza ipo juu.
 
Acha matusi wewe dingi,kama kusoma hujui hata picha huoni? Kwamba unaweza linganisha barabara za Kisumu na Mwanza?

Tzn ina miradi ya Zima moto ambayo haina linkages na sekta zingine ndio maana inakuwa ya kuunga unga kwa sababu hakuna masterplan na hata ikiwepo hakuna anaefuata.
Mimi siwezi kutetea ujinga wakati najua barabara za ndani ndani mwanza bado ni mbovu, japo maendeleo yapo mbele lakini miundombinu ya barabara bado.
 
the sugar belt road.. construction of 63 km Mamboleo- Muhoroni-Kipited road.. It will be dual carriage from Great lakes University in kisumu via mamboleo to kisumu central business district. Mamboleo muhoroni road will be the shortest route from kisumu to Nairobi..
241662809_10209925709334607_8676483423606948378_n.jpg
241655343_10209925709134602_3834014198253147342_n.jpg

aaawapii yaani kupitishwa grader ishakuwa dual carriage? wapi mkataba wa mradi?
 
the sugar belt road.. construction of 63 km Mamboleo- Muhoroni-Kipited road.. It will be dual carriage from Great lakes University in kisumu via mamboleo to kisumu central business district. Mamboleo muhoroni road will be the shortest route from kisumu to Nairobi..
241662809_10209925709334607_8676483423606948378_n.jpg
241655343_10209925709134602_3834014198253147342_n.jpg
241655343_10209925709134602_3834014198253147342_n.jpg
241655343_10209925709134602_3834014198253147342_n.jpg
✊🔥🔥every day In Kenya is a new project,
 
Back
Top Bottom