Acha kukufuru PTER...Siku hizi 'mungu' kaweka Sharti ili uishi au kula lazima damu yako iwe ya kijani kwani kabadili uumbaji sasa anaumba damu ya kijani tu.
Sishangai jibu lako maana hata 'mungu' akiona rangi ya blue huwa anaona kitoweo nimejileta.Acha kukufuru PTER...
Sasa Mimi nipo Chechnya Herzegovina 'watanipataje' huku Mkuu?Mbona rahisi tu mjomba?
Tafsiri ya hukumu hii ni kwamba siku nyingine polisi wakizihitaji details zako wewe GENTAMYCINE ni lazima Maxence Melo awapatie - atake asitake!
Inaelekea wewe huwa hausomi kanuni na masharti ya JF, sharti unayotakiwa kuijua ni JF wanayo haki ya kuifuta, kuhariri na kukufungia bila onyo wala kutoa sababu! Mods wanatekeleza kanuni na masharti ya JF, wengi huanza kusoma Post tu bila kusoma jambo muhimu sana kwa usalama wako ndani ya JF, JF wamejipa haki ya kuhariri Post (mimi waliwahi kuhariri yangu lakini niliamua kuifuta) sasa hapo wanaweza wakaweka maneno yanayoweza kikuingiza matatani, members tunatakiwa tukikatae kipengere hiki cha kuhariri Post lakini pia unaweza ukawageuzia kibao endapo utaingia matatani.Hayo tote sii ya kumlaumu,mods,hayo no matokeo ya utawala kuharamisha mawazo guru au mbadala yenye kugusa maslahi yao.
"Hapa kazi tu"-Kilionekana kipeperushi pembeni kikiwa kimeandikwa maneno haya katikati ya kipondo heavy!Kwahiyo kwa hitimisho la shauri hili ni kwamba polisi wakitaka information za member yoyote humu ndani zitatolewa sio, Hii hukumu imebana sana, tutaanza kuogopa sasa kujiachia humu, kuna vitu vilikua vinanwagwa humu Ukichunguza unakuta ni kweli
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Naogopa kujazia nyama.... Ngoja niminye, hatuna tena ule uhuru wakuandika unachana msamba"Hapa kazi tu"-Kilionekana kipeperushi pembeni kikiwa kimeandikwa maneno hayo katikati ya kipondo heavy!View attachment 1628586
Al muhim hajafungwa kwa uoneziUmeelewa maana ya hukumu ya kosa namba mbili mkuu?
Hongera Sana Mahakama naimani Sasa atatoa ushirikiano kwa jeshi la poli
AaminMalaika/Shetani wa kuzima mitandao kazini.
Mello ukiwanyima taarifa zetu siku zijazo unakua na hatia moja kwa moja.
Katia rufaa hukumu hii kiongozi wangu, vinginevyo tutafuatwa majumbani na kuchinjwa.
Hii Dhambi yao kubwa wanakuingizia. Mungu asimame nawe Mello.
Unajua sahivi niko wapi? mpuuzi weweHama sasa unakaa unafanya nn sasa
Sasa kama hauko Tanzania nn kinakuwasha?? Halafu kati ya mm nilie tanzania na nimeridhika na ww usiekua tanzania na unapayuka kuhusu tanzania nani mpuuzi???Unajua sahivi niko wapi? mpuuzi wewe
Wewe usiyekuwa na akiliSasa kama hauko tanzania nn kinakuwasha?? Halafu kati ya mm nilie tanzania na nimeridhika na ww usiekua tanzania na unapayuka kuhusu tanzania nani mpuuzi???
Hahahaaa umepanick...nisingekua na akili nisingejua kama unapuyanga humuWewe usiyekuwa na akili