KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

Tanzania mfumo wa kimahakama uliishakufa long time ago.

Serikali hii inapokunyanyasa ukikimbilia mahakamani unajikuta kumbe umekimbilia kwa serikali ile ile inayokunyanyasa. Hakuna tofauti.

Melo and Co wanajitoa mhanga ili wananchi wahabarishwe lkn mfumo wa kiimla unawawekea vikwazo vikali sana ila inshallah Mungu atawajalia tu mtatoboa. Long live justice.
 
Kwahiyo ukisikia hivyo roho yako kwatu
Mkuu mbona unanituhumu vibaya?

Nimeandika alichosema ndg.yetu Melo Katika hayo MAHOJIANO.

Bila ya Maxence and wenzake tusingekuwa TUNAJADILIANA hapa.

Hata Kama tuna mitizamo tofauti katika baadhi ya MAMBO haina maana TUSHAMBULIANE katika "Lile" LINALOTUUNGANISHA.

Kila mwenye utimamu na uzalendo wa kweli(patriotic and not nationalist) yuko pamoja na PROSPERITY ya JF na ndugu yetu Maxence.

Alasiri njema kaka!
 
Mimi nasema tena, Serikali kama serikali ilitakiwa kumpa Maxence Melo na Mike Mushi tuzo kwa kuwa na hili jukwaa hapa Tanzania.

Kuna PS wawili ni watumiaji wakubwa sana wa JF ambao utendaji wao wa kazi unasaidiwa kwa kiwango kikubwa sana na maudhui yanayowekwa hapa JF.

Naamini si hao tu,hata wale top ni watumiaji wazuri sana wa JF,kwa kusoma au kuchangia.

Kama tungekuwa na watu wenye maono na wenye nia ya dhati ya kuwafanya Watanzania wainuke kiuchumi,hakika serikali ingekuwa imeshaingilia na kuipa JF kila aina ya msaada ili iwe "facebook" ya Africa na wakina Max wawe "Zuckerberg" wa Africa.
Mkuu siyo hao Wawili tu bali mpaka Rais JPM, Makamu wake, Waziri Mkuu, CDF Mabeyo bila kumsahau na Diwani hawa huwa tunao hapa 24/7 tu.
 
Mkuu mbona unanituhumu vibaya?!!!

Nimeandika alichosema ndg.yetu Melo Katika hayo MAHOJIANO.

Bila ya Maxence and wenzake tusingekuwa TUNAJADILIANA hapa.

Hata Kama tuna mitizamo tofauti katika baadhi ya MAMBO haina maana TUSHAMBULIANE katika "Lile" LINALOTUUNGANISHA.

Kila mwenye utimamu na uzalendo wa kweli(patriotic and not nationalist) yuko pamoja na PROSPERITY ya JF na ndugu yetu Maxence.

Alasiri njema kaka!!
Wewe hauna shida chochote utakachokiandika hautafanywa chochote nyinyi si binadamu na watanzania zaidi kuliko wengine au umelisahau hilo?
 
Wewe hauna shida chochote utakachokiandika hautafanywa chochote nyinyi si binadamu na watanzania zaidi kuliko wengine au umelisahau hilo?
Mkuu PTER wapi nimesema "sisi" ni binadamu zaidi ya wengine?

Unaweza kuniquote hilo?
 
Mimi ni mwana wa BABA yangu Brown.
Anasema bila yeye wengi wenu hata kula yenu isingekuwepo na Oxygen msingepata.

Huoni kuwa nyinyi ni daraja tofauti na sisi wengine ambao mpakwa mafuta huwa anatumia wale mbwa wake wakali walau tusichume hata maembe pori?
 
Nasikia mna Mungu mpya siku nyinyi analindwa na kila aina ya ulinzi mpaka ventilator
Mkuu PTER usinikufurishe.

Yaani nimuache MUUMBA MBINGU NA NCHI anayenipa pumzi nimuabudu KIUMBE?

Kama yuko anayeabudu BINADAMU MWENZAKE basi si Mimi.
 
Back
Top Bottom