KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

Ni wakati sasa Maxence Melo atoe tamko la hakikisho la kutotoa siri za wateja wake kwa vyovyote vile!Au kama atatoa zikihitajika basi ni vema aweke wazi ili watu tujipange na wengine wakachome moto simu zao!

Inaweza kuwa ni sawa. Lakini "TAMKO" tu halitakuwa na msaada wowote.

Kumbuka hii ni hukumu halali ya mahakama bila kujali imetolewa kihalali ama kimizengwe zengwe na hukumu yoyote ya mahakama haitenguliwi na tamko tu la mtu yeyote.

Ili kuisaidia JF na mmiliki wake Maxence Melo, ni sharti tumtie moyo akate rufaa mahakama ya juu ili iweze kutengua hukumu hii.

Hili linaweza kufanyika kwa njia zozote zile zinazokubalika ikiwemo sisi wanachama kuchangia sehemu ya gharama.

Kama mahakama ya rufaa ita - side na mahakama kuu, then hatutakuwa na namna yoyote sisi sote pale itakapotokea mwanachama wa JF ameitia serikali na Magufuli vidole machoni.

Katika hatua hii, hata Maxence Melo, hatatusaidia kwa lolote wanachama wake isipokuwa ni sharti tucheze mziki kwa "tune" ya watawala wanayoitaka wao!
 
Inaonesha hiyo story ya CRDB na bandari ni ya ukweli na imewashika pabaya wahusika ambao wana mikono mirefu
Ingewezekana mtu akiitagi hapa tujikumbuashie maana mambo mengi wengine tulishasahau
 
"Yehova yupo upande wetu, ni nani atakua kinyume nasi atatushinda" muamini yeye Mungu katika kila hali Maxence Melo

hili neno ni zaidi ya ngao na silaha huwa nalitumia na linanipa ushindi sana, usiwe madhaifu kuamini kushindwa kwa kuwa bwana yupo nasi, mkuu
 
Inaweza kuwa ni saw a. Lakini "TAMKO" tu halitakuwa na msaada wowote.

Kumbuka hii ni hukumu halali ya mahakama bila kujali imetolewa kihalali ama kimizengwe zengwe na hukumu yoyote ya mahakama haitenguliwi na tamko tu la mtu yeyote.

Ili kuisaidia JF na mmiliki wake Maxence Melo, ni sharti tumtie moyo akate rufaa mahakama ya juu ili iweze kutengua hukumu hii.

Hili linaweza kufanyika kwa njia zozote zile zinazokubalika ikiwemo sisi wanachama kuchangia sehemu ya gharama.

Kama mahakama ya rufaa ita - side na mahakama kuu, then hatutakuwa na namna yoyote sisi sote pale itakapotokea mwanachama wa JF ameitia serikali na Magufuli vidole machoni.

Katika hatua hii, hata Maxence Melo, hatatusaidia kwa lolote wanachama wake isipokuwa ni sharti tucheze mziki kwa "tune" ya watawala wanayoitaka wao!
Kwa tamko namaanisha awaeleze wanaJF ili wajue nini kitatokea iwapo watatoa taarifa nyeti hapa jukwaani na polisi kuhitaji taarifa yao! Hii itasaidia kuwafanya watu wachukue tahadhari ikiwa ni pamoja na kutotoa taarifa zinazoweza kusababisha wakahitaji!

Hilo la kukata rufaa amesema atafanya hivyo, for the time being tufanyeje? Lazima atueleze hapa ili asijepata lawama kwamba hakutoa tahadhari!

Kuna watu hata hukumu hawajaielewa, wamekimbilia kufurahi na kumpongeza! Ndio ili tuwe kwenye same page anatakiwa atoe ufafanuzi!
 
Kwa tamko namaanisha awaeleze wanaJF ili wajue nini kitatokea iwapo watatoa taarifa nyeti hapa jukwaani na polisi kuhitaji taarifa yao!Hii itasaidia kuwafanya watu wachukue tahadhari ikiwa ni pamoja na kutotoa taarifa zinazoweza kusababisha wakahitaji!

Hilo la kukata rufaa amesema atafanya hivyo, for the time being tufanyeje?Lazima atueleze hapa ili asijepata lawama kwamba hakutoa tahadhari!

Kuna watu hata hukumu hawajaielewa,wamekimbilia kufurahi na kumpongeza! Ndio ili tuwe kwenye same page,anatakiwa atoe ufafanuzi!
Asante kwa clarification.

Umeeleweka ndugu.

Tuko pamoja.
 
TUNATAKA JLW LIRUDISHWE HARAKA IWEZEKANVYO VINGINEVYO NAIPELEKA JF ICC
 
Kuna watu wanajua kujiependekeza kwa wakubwa wenye mali, ni shidaa.
 
Kwa kifupi hukumu ya kosa namba mbili ni kosa la jinai kwa JF kukataa kutoa taarifa za member yoyote wa JF kwenda polisi. Kama kuna mtu ameelewa tofauti na mimi naomba ufafanuzi please!
Ndo maanake. Sasa nashangaa watu wanashangilia ilihali hukumu hii imetufunga speed governor watumiaji wa platform hii.

Hii siyo kabisa

Anyways.... bye bye JF.
 
Ongera sana kaka maxence kwa ushindi huu. Mungu azidi kukupigania na kukufanya mshindi.
 
Tunaotumia majina yetu halisi na tusio na wasi hatuna wasi.

Nyie mnaokosoa kosoa serikali na kuikwamisha isitekekeze mipango yake kwa umbea umbea ndio mtaufyata
Bwege wewe! Utakuwa Lumumba tu wewe wa kulamba viatu vya viongozi wa chama dola! Bure kabisa!
 
Back
Top Bottom