Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Pole Maxence Melo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Mungu huwasimamia wale wote wanaosimamia haki.
Tunaamini pia kuwa Mungu atamsimamia Maxence Melo na timu yake ya wachapa kazi wa Jamii Forums
Kwa nliivyoelewa mimi ni kwamba amepewa onyo na mahakama kuwa asirudie tena kuficha au kukataa kutoa taarifa za mtu binafsi yaani: IP-Address,barua pepe,majina halisi ya wanachama kwa vyombo vya dola hasa hasa Polisi pindi watakapovihitaji na kapewa onyo asirudie kosa hilo ndani ya mwaka mmoja kwani kuna taarifa nahisi watazihitaji soon. Kama hii ndivyo ilivyo basi sioni kama kuna haja ya sisi wadau kuendelea kuendelea kuandika humu au kuutumia huu mtandao kwani sio huru tena. Mie siandiki chochote humu kuanzia leo mpaka tujue hatima ya hukumu hii..
======
Kwa hisani ya hiyo Avatar Mungu atubariki JF tushinde kesi yetu.Mkuu itakie heri jf
Amejibu maombiTunaomba Mungu ushindi uwe upande wa Jamiiforums, hili ni jaribio la kuizima sauti pekee iliyobaki Tanzania
Ni wakati sasa Maxence Melo atoe tamko la hakikisho la kutotoa siri za wateja wake kwa vyovyote vile!Au kama atatoa zikihitajika basi ni vema aweke wazi ili watu tujipange na wengine wakachome moto simu zao!Kwa nliivyoelewa mimi ni kwamba amepewa onyo na mahakama kuwa asirudie tena kuficha au kukataa kutoa taarifa za mtu binafsi yaani: IP-Address,barua pepe,majina halisi ya wanachama kwa vyombo vya dola hasa hasa Polisi pindi watakapovihitaji na kapewa onyo asirudie kosa hilo ndani ya mwaka mmoja kwani kuna taarifa nahisi watazihitaji soon. Kama hii ndivyo ilivyo basi sioni kama kuna haja ya sisi wadau kuendelea kuendelea kuandika humu au kuutumia huu mtandao kwani sio huru tena. Mie siandiki chochote humu kuanzia leo mpaka tujue hatima ya hukumu hii..
======
Sio ushindi ndugu. Mello na wenzie walikuwa wanapigania kutotoa taarifa za watumiaji wa JF lakini kutoka na hukumu ya leo ina maana kwamba wanalazimika kutoa taarifa kwa polisi pindi inapohitajika kufanya hivyo.Hongera Maxence Melo, Huu ni ushindi. Hongereni na members wote
Ni dhahiri shayiri kesi hii Serikali kupitia @Tanpoltz imeshindwa!Hukumu hazitolewi kwa weledi wa kisheria, ila amri kutoka juu.
Huu si ushindi!Maana yake kuanzia sasa amepewa agizo la kutoa taarifa za wateja kwa polisi zikihitajika!Amejibu maombi
Maxence Melo atueleze,je ata comply kama taarifa za sisi watumiaji zitahitajika?Awe muwazi ili watu wajiandae!Hii hukumu inaonekana kama ya ushindi kwa Jamiiforums lakini hiyo "conditional discharge" siyo nzuri, inaharibu maana ya ushindi wote kabisa...
Kuna umuhimu mkubwa wa kukata rufaa mahakama ya juu ili ushindi kamili upatikane.
Kama ikiachwa hivi, ndani ya mwaka huu mmoja mpaka mwakani miezi kama hii, wanaJF wengi wataburuzwa mahakamani.
Ndiyo. Ni kwa sababu ni;
"....kinyume cha sheria kwa mmiliki wa JF kutotoa majina ama taarifa za member wa JF yeyote iwapo serikali kupitia jeshi la polisi itaona ameandika taarifa fulani isiyowafurahisha watawala ama taasisi fulani iliyo chini ya watawala."
In short, kwa hukumu hii, hakuna member yeyote mkosoaji wa serikali na taasisi zake na watawala kwa ujumla aliye salama tena!
Kuna umuhimu wa kutoiacha hukumu hii isimame kama ilivyo. Kwanza inaweka "bad precedence" huko mbeleni.
Kama tunataka kuwa salama, hukumu hii ni sharti iwe overturned.
Tuwasaidie JamiiForums kupambania hili anyway possible kwa kadiri ya kila mmoja awezavyo kuchangia msaada wake kuwezesha hili!
What a good deceiver;!!Sio ushindi ndugu. Mello na wenzie walikuwa wanapigania kutotoa taarifa za watumiaji wa JF lakini kutoka na hukumu ya leo ina maana kwamba wanalazimika kutoa taarifa kwa polisi pindi inapohitajika kufanya hivyo.
Noted.Maxence Melo atueleze, je ata comply kama taarifa za sisi watumiaji zitahitajika? Awe muwazi ili watu wajiandae!