Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mnataka kukata rufaa kwa gharama za Watanzania tena?Mahakama ya Kisutu siyo final. Kuna mahakama kuu na mahakama ya rufaa.
Hukumu hazitolewi kwa weledi wa kisheria, ila amri kutoka juu
Mkuu, umeielewa hukumu lakini?Nichukue nafasi hii adhimu kabisa Kumpongeza Mtani wangu na Kaka Maxence Melo kwa Uamuzi huu wa Haki dhidi yake na kwa Mtandao wake huu bora kabisa si Tanzania bali hadi duniani na nahisi hata huko Mbinguni tukienda huenda tukaukuta vile vile huu Mtandao wa JamiiForums. Ama hakika Mwenyezi Mungu ni wa Wote na si Wao peke yao.
Niwapongeze pia Wafanyakazi ( Watendaji ) wote wa Mtandao huu 'pendwa' wa JamiiForums wakiongozwa na Dada Asha D Abinallah kwa 'Uvumilivu' wenu mkubwa hasa Kipindi chote mlichokuwa mnapitia hii 'Changamoto' ya 'Kisheria' mpaka leo hii Mwenyezi Mungu kaamua Kuwaonyesha 'Magaidi wa Uhuru wa Habari' kuwa atasimama daima nanyi ( JamiiForums ) siku zote mpaka dunia itakapopinduka mbeleni.
Nimalizie tu kwa kusema 'JF Members' wote tuna 'Deni' Kubwa kwa Maxence Melo na huu 'Mtandao' wake na ikiwezekana atunukiwe 'Tuzo' tukuka.
Halafi bado ni member wa JF?Na kuna member wa JF wanataka serikali ishinde
Mimi nasema tena, Serikali kama serikali ilitakiwa kumpa Maxence Melo na Mike Mushi tuzo kwa kuwa na hili jukwaa hapa Tanzania.Nichukue nafasi hii adhimu kabisa Kumpongeza Mtani wangu na Kaka Maxence Melo kwa Uamuzi huu wa Haki dhidi yake na kwa Mtandao wake huu bora kabisa si Tanzania bali hadi duniani na nahisi hata huko Mbinguni tukienda huenda tukaukuta vile vile huu Mtandao wa JamiiForums. Ama hakika Mwenyezi Mungu ni wa Wote na si Wao peke yao.
Niwapongeze pia Wafanyakazi ( Watendaji ) wote wa Mtandao huu 'pendwa' wa JamiiForums wakiongozwa na Dada Asha D Abinallah kwa 'Uvumilivu' wenu mkubwa hasa Kipindi chote mlichokuwa mnapitia hii 'Changamoto' ya 'Kisheria' mpaka leo hii Mwenyezi Mungu kaamua Kuwaonyesha 'Magaidi wa Uhuru wa Habari' kuwa atasimama daima nanyi ( JamiiForums ) siku zote mpaka dunia itakapopinduka mbeleni.
Nimalizie tu kwa kusema 'JF Members' wote tuna 'Deni' Kubwa kwa Maxence Melo na huu 'Mtandao' wake na ikiwezekana atunukiwe 'Tuzo' tukuka.
Hayo tote sii ya kumlaumu,mods,hayo no matokeo ya utawala kuharamisha mawazo guru au mbadala yenye kugusa maslahi yao.Naye ajifunze kutoa haki kwa kusikilizwa mtuhumiwa aacha kutupiga Ban bila kutusikiliza, ajiulize je, asingesikilizwa angekuwa wapi leo.
Moja ya masharti ya JF of GT's ni Mods hawatamsikiliza member na maamuzi yao ni ya mwisho!
Hata Joni leo unasimama upande wa haki? Basi yawezekana mmeridhishwa na ushindi wa kisayansi, wakishindo wa uchafuzi mkuu. Asante kwa kuonekana upande wa haki japo mara moja.Ni jambo jema!
Hii hukumu imekaa kimtego sana na wala sio ya kuahangilia hasa kwa sisi watumishi wa JF.Hilo kosa namba mbili wamemkuta na hatia lakini wakamuachia huru kwa kumpa hiyo "Conditional discharge"
Yani hapa mahakama inakiri amekosea lakini hawajataka kumuadhibu mpaka atakaporudia tena hilo kosa ndani ya mwaka mmoja.
Huu ni utapeli, wanachofanya hapo ni kumuweka Melo under pressure, kwamba Polisi wakirudi tena JF kutaka taarifa za watumiaji wake, Melo atoe kwa kuiogopa hiyo hukumu, lakini naamini hilo sio kosa kisheria.