Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nchi imekuwa ya hovyo kupita kiasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mahakama tena mkuuHukumu hazitolewi kwa weledi wa kisheria, ila amri kutoka juu
Hatuna mahakama tena wala bungeNa wote wanahaki ya kukata rufaa kama hawataridhishwa na hukumu ya Mahakama ya Kisutu. Tofauti hapa ni kwamba kama Jamhuri ikishinda basi wakata rufaa watafanya hivyo huku wakiwa wameanza kutumikia adhabu, iwe ya kulipa faini au kifungo! Tumuombe Mungu Aepushe hilo, Aamin
Imagine mkuu Buji buji...we ndio unatafutwa na gov:::Hukumu hazitolewi kwa weledi wa kisheria, ila amri kutoka juu
Hii kwangu ni zaid ya social media. yaan kwangu JF ni chuo kabisa, nmejifunza meengi sana kwny hii forum asee nikisikia taarifa kama hz nadata kabisa.Jamii forums ikifungwa nitaenda wapi jamani maana ndiyo social media inayonilea. Kwa pamoja tutashinda [emoji1548]
Hukumu hazitolewi kwa weledi wa kisheria, ila amri kutoka juu
JF bila siasa it means Tanzania itakuwa rasmi gizaniKwa kuwa hii sio "official political forum" naombeni uongozi wa jamii forum uwe unafuta thread ambazo haziendani na matakwa ya yule MUTU. hii itaweza kuwaepusha na kesi kesi. yaan in short futeni jukwaa la siasa and the likes mana haiwesekani jukwaa moja likosti Forum nzma asee. kwa kuwa yule MUTU hapendezwi na hii forum jinsi inavoendeshwa basi nyie ondoeni zile sensitive post then bakishen post za biashara,ujenzi,gadget,intelligence,elimu and the like sharti tu hazimgusi yule mtu. Jamii forum ni kubwa kuliko inavochukuliwa asee.
All in all I wish u all tha best in this case!
Cc Maxence Melo
AmeenMkuu Maxence Melo nakuombea kwa Mungu muweze kukiruka hiki kizingiti.
Mola atafanya yote.
Unforgetable
Hakika Mungu huwasimamia wale wote wanaosimamia haki.Maxence Melo Mungu Ni Mwema Wakati Wote!