KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

Malaika/Shetani wa kuzima mitandao kazini.
Mello ukiwanyima taarifa zetu siku zijazo unakua na hatia moja kwa moja.

Katia rufaa hukumu hii kiongozi wangu, vinginevyo tutafuatwa majumbani na kuchinjwa.
Hii Dhambi yao kubwa wanakuingizia. Mungu asimame nawe Mello.
 
Hayo tote sii ya kumlaumu,mods,hayo no matokeo ya utawala kuharamisha mawazo guru au mbadala yenye kugusa maslahi yao.
Inaelekea wewe huwa hausomi kanuni na masharti ya JF, sharti unayotakiwa kuijua ni JF wanayo haki ya kuifuta, kuhariri na kukufungia bila onyo wala kutoa sababu! Mods wanatekeleza kanuni na masharti ya JF, wengi huanza kusoma Post tu bila kusoma jambo muhimu sana kwa usalama wako ndani ya JF, JF wamejipa haki ya kuhariri Post (mimi waliwahi kuhariri yangu lakini niliamua kuifuta) sasa hapo wanaweza wakaweka maneno yanayoweza kikuingiza matatani, members tunatakiwa tukikatae kipengere hiki cha kuhariri Post lakini pia unaweza ukawageuzia kibao endapo utaingia matatani.
 
Kwahiyo kwa hitimisho la shauri hili ni kwamba polisi wakitaka information za member yoyote humu ndani zitatolewa sio, Hii hukumu imebana sana, tutaanza kuogopa sasa kujiachia humu, kuna vitu vilikua vinanwagwa humu Ukichunguza unakuta ni kweli
 
"Hapa kazi tu"-Kilionekana kipeperushi pembeni kikiwa kimeandikwa maneno haya katikati ya kipondo heavy!
0659010.jpg
 
Max endelea kutunza wasiri. Infomer hatajwi. Wao kama hawawezi kufanyia kazi taarifa achana nao
 
Malaika/Shetani wa kuzima mitandao kazini.
Mello ukiwanyima taarifa zetu siku zijazo unakua na hatia moja kwa moja.

Katia rufaa hukumu hii kiongozi wangu, vinginevyo tutafuatwa majumbani na kuchinjwa.
Hii Dhambi yao kubwa wanakuingizia. Mungu asimame nawe Mello.
Aamin
 
Whistle blower katika sheria iliopitishiwa na bunge hatakiwi kutajwa kwa usalama wake...polisi wanackotakiwa ni kutumia hizo resources kuanza uchunguzi
 
Back
Top Bottom