SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mimi hapa Tanzania najua CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.Me nataka nijue hayo ilo kundi la kigaidi jina lake linaitwaje
Maana makundi ya kigaidi yote yana majina
Pengine damu yako sio ya Watanzania. Tangu Chadema oops ''Chaga gang'' ianzishwe mwenyekiti ni Mbowe tu, watu wana-graduate na kuanza kazi. The only dear leader, is still there. Are you in Korea?Inavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
Hata mbuyu ulianza kama mchichaWatanzania wa leo wengi wanajitambua, hawako tayari kutumiwa kama daraja la kufikia mafanikio ya mwanasiasa yoyote yule. Kama watoto wa Mbowe mwenyewe hawajaonesha mfano wa kuingia barabarani kumpigania baba yao, ni vipi vijana wengine wataacha shughuli zao wakampiganie baba wa mwenzao?
Jaribuni mkuu tuwaoneTuache kulia lia sasa wakuu. Hakuna njia ya amani itakayoleta mabadiliko, Kongo na mataifa mengine silah zipo, mapanga yapo, uwezekano upo mkubwa tu wa kukata migomba mmoja baada ya mwingine mpaka waseme po
Mbona Sabaya mliamini katenda yote yale?! Tuache polisi na mahakama zifanye kazi kwa uhuru. Kama hatopatikana na hatia ataachiwa huru.Mama Samia kwenye hili mimi na wewe hatukubaliani kabisa... kamwe Mbowe awezi kuwa gaidi na wala si gaidi bali ni mmoja wa watu wema kabisa ....pamoja na kumpeleka mahakamani lakini ukweli ni kwamba haya mashitaka yake yanatia shaka sana....
Mbowe awezi kuwa gaidi kamwe
Wanataka Rais aingilie, wakati hawahawa walikuwa wanamuita jpm Meko sababu walikuwa wanasema anafanya kazi zote yeye, za mahakama na bunge. CDM waache vyombo vya sheria vifanye kazi yakeI hope We believe in justice system
Polisi wamefanya vizuri kutumia mbinu hiyo. Imeepusha mkusanyiko mkubwa wa watu hapo mahakama ya Kisutu kama wangalisema wanampeleka mahakamani. Mkusanyiko huo wa.watu ungalisababisha kusambaza huyu mdudu wa delta na ungalikuwa mgumu kwa polisi kuuzuia.
Ndugu....Tuache kulia lia sasa wakuu. Hakuna njia ya amani itakayoleta mabadiliko, Kongo na mataifa mengine silah zipo, mapanga yapo, uwezekano upo mkubwa tu wa kukata migomba mmoja baada ya mwingine mpaka waseme po
Tutajua tarehe 5 mwezi ujao, kwa sasa Abubakar yupo mahali salamaMe nataka nijue hayo ilo kundi la kigaidi jina lake linaitwaje
Maana makundi ya kigaidi yote yana majina
Polisi ndiyo wanajua kama mnaona ameonewa fanyeni maandamano nchi nzima kama Afrika Kusini.Hiyo ndiyo 'audio' ya maneno aliyosema Mbowe?
Kwa hiyo kuyasema hayo maneno kama kweli aliyasema, ndiyo sababu ya kutuhumiwa kwa ugaidi?
Hakuna "anayelialia" hapa, watu wanatoa maoni yao kuhusu uonevu unaoonekana kufanyika.
Kama kweli kuna uhalifu, hatua zinazochukuliwa juu ya Mbowe ni kama ni za kumkomoa yeye na wafuasi wake. unaoonekana kuwa uonevu wa maksudi.
Hakuna mwanaccm alie na akili au kumbukumbu.Pengine damu yako sio ya Watanzania. Tangu Chadema oops ''Chaga gang'' ianzishwe mwenyekiti ni Mbowe tu, watu wana-graduate na kuanza kazi. The only dear leader, is still there. Are you in Korea?
Na mashtaka yake ni kufadhili ugaidi kwa vikundi alivyokutana navyo huko hotelini MoshiGaidi ndani ya mahakama?
Kichaa mwambie mama yako mzazi akitulize, maana ndo ana akili fyatu.Ndugu....
Toka Kongo itumie Silaha za jadi na bunduki ,lini ilipata AMANI?!!!
Huko kwengine ni wapi mtutu wa bunduki ulitumika kuleta usalama ?!!!
Ethiopia inaendelea kuteketea......
Miaka 20 waliyotumia MAREKANI na NATO ndani ya AFGHANISTAN haikutuliza MAPIGANO....leo US wameondoka huko na hali imerudia upyaaaaaa.......
Kumbuka inapotokea Vita baina ya makundi mawili huwa mwanzo wa makundi mengine(kumeguka ama kupandikizwa).....
TULIZA KICHWA WEWE
#NchiKwanza
#JMTMilele
#KaziIendelee
Hilo bichwa ndiyo linaamua cha kufanya nchi hii, Kamuulize abubakar atakuambia, na akitoka huko atakuwa mdogo kuliko kipindi cha jpmSamia bichwa limejaa maji
Huyo jpm yuko wapi analiwa na funza,wewe unapata faida gani unadoea ugali kwa shemeji yako mwaka wa saba huuHilo bichwa ndiyo linaamua cha kufanya nchi hii, Kamuulize abubakar atakuambia, na akitoka huko atakuwa mdogo kuliko kipindi cha jpm
🤣🤣🤣Kichaa mwambie mama yako mzazi akitulize, maana ndo ana akili fyatu.
Kinachoendelea nchini ni vita kama hujui, ila ni vita ya upande mmoja, vile upo upande wa shetani hauwezi ona wanavyouawa na kuteswa upande mwingine, maumivu yao hayakuhusu.
Total war ambayo na nyie mtapigwa mhisi maumivu ndicho kinachohitajika kwa sasa, hatuna amani hata sasa kenge ww.
Watu wanavamiwa usiku, wanatekwa, wanateswa, wengine wanauawa, wengine wanaSingiziwa ugaidi, wanafungwa, hiyo sio vita wewe punguani? Pumbavu ww
"Hekima Umoja na Amani, Hizi ni ngao zetu"😊Inavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
Ungewatafsiria Chadema wenzako. Hakuna aliyeelewa hapo!!!Chadema's Mbowe charged with financing terrorist activities
MONDAY JULY 26 2021
Summary
- Mr Mbowe and several other party leaders were arrested on July 21, this year in Mwanza while preparing for a conference to demand constitutional reforms amid tussles with the police who branded the gathering “illegal.
By The Citizen Reporter
More by this Author
Dar es Salaam. Chadema national chairman, Freeman Mbowe has on July 26, 2021 been arraigned at the Kisutu Resident Magistrate's Court facing charges of economic sabotage, conspiracy and FInancing terrorist activities.
Mbowe’s case was read by Senior State Attorney, Ester Martin assisted by Tulimanywa Majigo, before the Chief Resident Magistrate, Thomas Simba.
Mr Mbowe and several other party leaders were arrested on July 21, this year in Mwanza while preparing for a conference to demand constitutional reforms amid tussles with the police who branded the gathering “illegal.
However, Mr Mbowe was transferred to Dar es Salaam, where his house was searched during the night while a police statement said the opposition politician was arrested because of his links with terrorism and a conspiracy to assassinate government leaders.
The statement, signed by the police spokesperson, Mr David Misime, said the law enforcers had been compelled to issue a statement on why they were holding Mr Mbowe after realising that his party was releasing misleading statements regarding the reasons behind the arrest of the party’s national chairman.
Chadema had said that Mr Mbowe was being held for interrogations for organising a forum in Mwanza that was meant to deliberate on demands for a new constitution. Police had, however, aborted the forum that was to be held at a hotel in Mwanza.