Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Inavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
Pengine damu yako sio ya Watanzania. Tangu Chadema oops ''Chaga gang'' ianzishwe mwenyekiti ni Mbowe tu, watu wana-graduate na kuanza kazi. The only dear leader, is still there. Are you in Korea?
 
Watanzania wa leo wengi wanajitambua, hawako tayari kutumiwa kama daraja la kufikia mafanikio ya mwanasiasa yoyote yule. Kama watoto wa Mbowe mwenyewe hawajaonesha mfano wa kuingia barabarani kumpigania baba yao, ni vipi vijana wengine wataacha shughuli zao wakampiganie baba wa mwenzao?
Hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tuache kulia lia sasa wakuu. Hakuna njia ya amani itakayoleta mabadiliko, Kongo na mataifa mengine silah zipo, mapanga yapo, uwezekano upo mkubwa tu wa kukata migomba mmoja baada ya mwingine mpaka waseme po
Jaribuni mkuu tuwaone
 
Mama Samia kwenye hili mimi na wewe hatukubaliani kabisa... kamwe Mbowe awezi kuwa gaidi na wala si gaidi bali ni mmoja wa watu wema kabisa ....pamoja na kumpeleka mahakamani lakini ukweli ni kwamba haya mashitaka yake yanatia shaka sana....
Mbowe awezi kuwa gaidi kamwe
Mbona Sabaya mliamini katenda yote yale?! Tuache polisi na mahakama zifanye kazi kwa uhuru. Kama hatopatikana na hatia ataachiwa huru.
Naiamini Serikali na pia namuamini Mh. Rais
 
Kwenye Twitter ya .nyika ameandika

View attachment 1869054
Polisi wamefanya vizuri kutumia mbinu hiyo. Imeepusha mkusanyiko mkubwa wa watu hapo mahakama ya Kisutu kama wangalisema wanampeleka mahakamani. Mkusanyiko huo wa.watu ungalisababisha kusambaza huyu mdudu wa delta na ungalikuwa mgumu kwa polisi kuuzuia.

Hivyo tunapaswa kuwapongeza sana polisi wetu kwa kubuni mbinu hiyo. Sasa tuone kama ahadi ya chama chao cha kutowekeana dhamana kama itatekelezwa. Juzi juzi timesikia huko Mwanza ahadi hiyo haikutekelezwa; akina Heche na kundi lake la watu 14 wametolewa mahabusu kwa dhamana. Mbingu zilikasirika kwa kitendo hicho, Heche ikabidi akalazwe hospitali kupata hewa ya oxygen hadi leo kwa kirusi kilichotoka kwenye msiba wa huko Hai. Tusubiri tuone na huyu kama zile chanjo alizodungwa huko Dubai zitamuepusha kupelekwa kulazwa na kupata O2 hospitalini akitokea mahabusu za magereza. This drama is very interesting.
 
Tuache kulia lia sasa wakuu. Hakuna njia ya amani itakayoleta mabadiliko, Kongo na mataifa mengine silah zipo, mapanga yapo, uwezekano upo mkubwa tu wa kukata migomba mmoja baada ya mwingine mpaka waseme po
Ndugu....

Toka Kongo itumie Silaha za jadi na bunduki ,lini ilipata AMANI?!!!

Huko kwengine ni wapi mtutu wa bunduki ulitumika kuleta usalama ?!!!

Ethiopia inaendelea kuteketea......

Miaka 20 waliyotumia MAREKANI na NATO ndani ya AFGHANISTAN haikutuliza MAPIGANO....leo US wameondoka huko na hali imerudia upyaaaaaa.......

Kumbuka inapotokea Vita baina ya makundi mawili huwa mwanzo wa makundi mengine(kumeguka ama kupandikizwa).....

TULIZA KICHWA WEWE

#NchiKwanza
#JMTMilele
#KaziIendelee
 
He is no longer a terrorist, but supporting terrorism
 
Hiyo ndiyo 'audio' ya maneno aliyosema Mbowe?

Kwa hiyo kuyasema hayo maneno kama kweli aliyasema, ndiyo sababu ya kutuhumiwa kwa ugaidi?

Hakuna "anayelialia" hapa, watu wanatoa maoni yao kuhusu uonevu unaoonekana kufanyika.

Kama kweli kuna uhalifu, hatua zinazochukuliwa juu ya Mbowe ni kama ni za kumkomoa yeye na wafuasi wake. unaoonekana kuwa uonevu wa maksudi.
Polisi ndiyo wanajua kama mnaona ameonewa fanyeni maandamano nchi nzima kama Afrika Kusini.
 
Ndugu....

Toka Kongo itumie Silaha za jadi na bunduki ,lini ilipata AMANI?!!!

Huko kwengine ni wapi mtutu wa bunduki ulitumika kuleta usalama ?!!!

Ethiopia inaendelea kuteketea......

Miaka 20 waliyotumia MAREKANI na NATO ndani ya AFGHANISTAN haikutuliza MAPIGANO....leo US wameondoka huko na hali imerudia upyaaaaaa.......

Kumbuka inapotokea Vita baina ya makundi mawili huwa mwanzo wa makundi mengine(kumeguka ama kupandikizwa).....

TULIZA KICHWA WEWE

#NchiKwanza
#JMTMilele
#KaziIendelee
Kichaa mwambie mama yako mzazi akitulize, maana ndo ana akili fyatu.

Kinachoendelea nchini ni vita kama hujui, ila ni vita ya upande mmoja, vile upo upande wa shetani hauwezi ona wanavyouawa na kuteswa upande mwingine, maumivu yao hayakuhusu.

Total war ambayo na nyie mtapigwa mhisi maumivu ndicho kinachohitajika kwa sasa, hatuna amani hata sasa kenge ww.

Watu wanavamiwa usiku, wanatekwa, wanateswa, wengine wanauawa, wengine wanaSingiziwa ugaidi, wanafungwa, hiyo sio vita wewe punguani? Pumbavu ww
 
Hilo bichwa ndiyo linaamua cha kufanya nchi hii, Kamuulize abubakar atakuambia, na akitoka huko atakuwa mdogo kuliko kipindi cha jpm
Huyo jpm yuko wapi analiwa na funza,wewe unapata faida gani unadoea ugali kwa shemeji yako mwaka wa saba huu
 
Kichaa mwambie mama yako mzazi akitulize, maana ndo ana akili fyatu.

Kinachoendelea nchini ni vita kama hujui, ila ni vita ya upande mmoja, vile upo upande wa shetani hauwezi ona wanavyouawa na kuteswa upande mwingine, maumivu yao hayakuhusu.

Total war ambayo na nyie mtapigwa mhisi maumivu ndicho kinachohitajika kwa sasa, hatuna amani hata sasa kenge ww.

Watu wanavamiwa usiku, wanatekwa, wanateswa, wengine wanauawa, wengine wanaSingiziwa ugaidi, wanafungwa, hiyo sio vita wewe punguani? Pumbavu ww
🤣🤣🤣

Gaidi nakusubiri utulize jazba za kutaka kujilipua ili tuendelee na mjadala....

Umesikia bwana gaidi ?!!

#NchiKwanza
#JMTMilele
 
Inavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
"Hekima Umoja na Amani, Hizi ni ngao zetu"😊
 
U

Chadema's Mbowe charged with financing terrorist activities​

MONDAY JULY 26 2021​

Kisutu pic

Summary

  • Mr Mbowe and several other party leaders were arrested on July 21, this year in Mwanza while preparing for a conference to demand constitutional reforms amid tussles with the police who branded the gathering “illegal.

The citizen pic

By The Citizen Reporter
More by this Author

Dar es Salaam. Chadema national chairman, Freeman Mbowe has on July 26, 2021 been arraigned at the Kisutu Resident Magistrate's Court facing charges of economic sabotage, conspiracy and FInancing terrorist activities.
Mbowe’s case was read by Senior State Attorney, Ester Martin assisted by Tulimanywa Majigo, before the Chief Resident Magistrate, Thomas Simba.
Mr Mbowe and several other party leaders were arrested on July 21, this year in Mwanza while preparing for a conference to demand constitutional reforms amid tussles with the police who branded the gathering “illegal.
However, Mr Mbowe was transferred to Dar es Salaam, where his house was searched during the night while a police statement said the opposition politician was arrested because of his links with terrorism and a conspiracy to assassinate government leaders.
The statement, signed by the police spokesperson, Mr David Misime, said the law enforcers had been compelled to issue a statement on why they were holding Mr Mbowe after realising that his party was releasing misleading statements regarding the reasons behind the arrest of the party’s national chairman.
Chadema had said that Mr Mbowe was being held for interrogations for organising a forum in Mwanza that was meant to deliberate on demands for a new constitution. Police had, however, aborted the forum that was to be held at a hotel in Mwanza.
Ungewatafsiria Chadema wenzako. Hakuna aliyeelewa hapo!!!
 
Back
Top Bottom