Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣 Mzee wa Ras Kazone unaendeleza ramli kaka ?!!Ni Thomas Simba tena, Mungu tuhurumie
Kama kawaida mtesi wa CDM yuko kazini tena. Kapangiwa kesi ya Mbowe.
Jiandae kwa rufani and all procedures maana HUKUMU INAJULIKANA
Matusi ni ushahidi tosha kuwa wewe ni kilaza. Kilangila.Sawa...Sasa unasemaje? Mimi sijui kii gereza na Wala sioni aibu....na wale wanaokosea Kiswahili humu unawaambiaje Ndugu? Nao wasilazimishe Kiswahili wakati ni Waswahili?! Stupid...
Stupid ni tusi?! Ndivyo ulivyo...kudhani kuwa ukilaza ni kutoelewa lugha hiyo ndiyo stupidity at highest level...Matusi ni ushahidi tosha kuwa wewe ni kilaza. Kilangila.
Kwa kuwa "Stupidity" ndiyo sifa yako, uko sahihi siyo tusi. Kilangila.Stupid ni tusi?! Ndivyo ulivyo...kudhani kuwa ukilaza ni kutoelewa lugha hiyo ndiyo stupidity at highest level...
Mbowe ni zaidi ya gaidiAmewabrainwash wafuasi wake, kwao wao jamaa hakosei
Sawa...bila Shaka from now on you will focus on serious issues and not on minor issues such as typos, omission of words, grammar mistakes etc...Kiswahili chenyewe ni shida halafu mnajifanya eti mnajua English...stupid guys...Kiingereza ni sawa na lugha nyingine yoyote na kutoifahamu is not a big deal isipokuwa labda for stupid people like you...Kwa kuwa "Stupidity" ndiyo sifa yako, uko sahihi siyo tusi. Kilangila.
This being an order from the boss of all stupid people around the world, I have no option but to oblige. Kilangila.Sawa...bila Shaka from now on you will focus on serious issues and not on minor issues such as typos, omission of words, grammar mistakes etc...Kiswahili chenyewe ni shida halafu mnajifanya eti mnajua English...stupid guys...Kiingereza ni sawa na lugha nyingine yoyote na kutoifahamu is not a big deal isipokuwa labda for stupid people like you...
Ikiwa kweli jamaa alipanga njama za kigaidi, awajibishwe kwa mujibu wa sheria.
Sheria zimetengenezwa kwa ajili ya wote.
Ikiwa hakuhusika, aachwe huru. Mungu anachukizwa sana na hukumu isiyo ya haki.
NB. Kwa wanachadema,
Mungu sio babu yenu, sio wa kumuingiza kwenye mambo yenu ya kipumbavu ya kutafuta ugali.
Mnaniudhi sana mnapomusingizia Mungu kuua viongozi wa CCM...Mungu sio mpumbavu kama mlivyo wapumbavu.
Mnadhani Mungu alifurahia matajiri na mafisadi kuchezea nchi hii nzuri ya Tanzania.
Kama JPM, mnamshuru Mungu,
Kama Prof. wenu, mnamlilia Mungu.
Acheni upuuzi, msicheze na Mungu.