Fatma Karume ameonyesha na kucheka kuwa kesi amepewa Simba tena!Kesi inakwenda Mahakama kuu kwani Kisutu hawana mamlaka ya kusikikiliza mashtaka hayo!!Simba kapokea tu kama gari inayopita keep left,punguza mwendo,kona na endelea!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fatma Karume ameonyesha na kucheka kuwa kesi amepewa Simba tena!Kesi inakwenda Mahakama kuu kwani Kisutu hawana mamlaka ya kusikikiliza mashtaka hayo!!Simba kapokea tu kama gari inayopita keep left,punguza mwendo,kona na endelea!!!
Akicheka Fatma ndio inakuwaje?!Fatma Karume ameonyesha na kucheka kuwa kesi amepewa Simba tena!
sijuiAkicheka Fatma ndio inakuwaje?!
Una mawazo ya kijinga sana ! ujinga haujawahi kuwa faida na wala hautakusaidia chochote , zaidi utaendelea kukudhalilishaNever and Never Again .......
Hatutakubali tena.........
Tutashinikiza.
Kauli nzito za kishujaa utafikiri hata mtu anao huo ubavu wa kufanya chochote.
Mbowe amelelewa na system na ametajirishwa na system.
System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.
Mbowe alikuwa anakula zaidi ya 300M ya Ruzuku kila mwezi kwa miaka mitano 2010/2015.
Mbowe amekula zaidi ya 450M ya ruzuku kwa kila mwezi kwa miaka mitano 2015/2020.
Mbowe alikuwa ana Billcanus, Tanzania Daima n.k
Kipato cha CHADEMA kimepotea, Billcanus na Tanzania Daima imepotea.
Asipojiangalia atajipoteza na yeye mwenyewe. Na watu wataendelea na maisha kama kawaida.
Dalili zinaonekana. Aendelee kukaza shingo.
Kuna watu ni wafuasi wa CCM lakini wana sense, hao jibizana nao. Majitu kama haya unayablock maana ni kupoteza muda nao kuwajibu. Nimewablock wengi wa aina ya hili jamaaUna mawazo ya kijinga sana ! ujinga haujawahi kuwa faida na wala hautakusaidia chochote , zaidi utaendelea kukudhalilisha
Yaani inaonesha wazi kazisa ni jinsi gani mmekata tamaa poleni sana mbio za sakafuni huishia ukingoni endeleeni sasa tuone mnaenda wapi DJ nyuma ya nondoUna mawazo ya kijinga sana ! ujinga haujawahi kuwa faida na wala hautakusaidia chochote , zaidi utaendelea kukudhalilisha
Miaka ya nyuma ilikuwa raha sana kwenda kuchapa demu. Kwanza unamsotea kutongoza alafu kama amekukubali anakupa penzi kwa mbinde. Kumvua nguo ya ndani inakua ugomvi na unakula mzigo kijasho kinakutoka.Una mawazo ya kijinga sana ! ujinga haujawahi kuwa faida na wala hautakusaidia chochote , zaidi utaendelea kukudhalilisha
Mungu wangu kifungo?Ni Thomas Simba tena, Mungu tuhurumie
Kama kawaida mtesi wa CDM yuko kazini tena. Kapangiwa kesi ya Mbowe.
Jiandae kwa rufani and all procedures maana HUKUMU INAJULIKANA
God forbid..!!!Kwa Thomas Simba yuko jela ila rufaa itamtoa for sure. Upelelezi tayari wamesema na wako tayari for commital proceedings. How nice is this fast? Because of Mbowe!
Sidhani kama Samia ana matatizo na Mbowe, lakini vile vile kwa hulka zake hawezi kuliingilia hili. Mpenda demokrasia yeyote hawezi kufurahia Mbowe kuwekwa ndani. Kwa sasa ni kusubiri sheria ichukue mkondo wake, jambo jema ni kwamba upelelezi wa kesi hii umeshakamilika hivyo Bwana Abubakar hatasota sana mahabusuSystem hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.......system ipi? weka uchaguzi huru then tutapima kauli yako.
All in all, Uliyoandika hayakuhusu, mali zake is non of your bussines, talk the politics of Mbowe and Samia (if you like)
Ni Thomas Simba tena, Mungu tuhurumie
Kama kawaida mtesi wa CDM yuko kazini tena. Kapangiwa kesi ya Mbowe.
Jiandae kwa rufani and all procedures maana HUKUMU INAJULIKANA
samahani comrade, how old are you??Never and Never Again .......
Hatutakubali tena.........
Tutashinikiza.
Kauli nzito za kishujaa utafikiri hata mtu anao huo ubavu wa kufanya chochote.
Mbowe amelelewa na system na ametajirishwa na system.
System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.
Mbowe alikuwa anakula zaidi ya 300M ya Ruzuku kila mwezi kwa miaka mitano 2010/2015.
Mbowe amekula zaidi ya 450M ya ruzuku kwa kila mwezi kwa miaka mitano 2015/2020.
Mbowe alikuwa ana Billcanus, Tanzania Daima n.k
Kipato cha CHADEMA kimepotea, Billcanus na Tanzania Daima imepotea.
Asipojiangalia atajipoteza na yeye mwenyewe. Na watu wataendelea na maisha kama kawaida.
Dalili zinaonekana. Aendelee kukaza shingo.
Unafeli wapi mzee,Thomas Simba ni hakimu hapo kisutu,hii kesi itadikilizwa high court before judge,huyo Simba hana ushawishi wowote na kesi hii,.imeanzia kisutu VB kufuata tu procedureNi Thomas Simba tena, Mungu tuhurumie
Kama kawaida mtesi wa CDM yuko kazini tena. Kapangiwa kesi ya Mbowe.
Jiandae kwa rufani and all procedures maana HUKUMU INAJULIKA
Hata ndani ya CHADEMA uchaguzi siyo huru. CCM wakiweka huo unaoita uchaguzi huru hata CHADEMA wenyewe watawacheka.System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.......system ipi? weka uchaguzi huru then tutapima kauli yako.
All in all, Uliyoandika hayakuhusu, mali zake is non of your bussines, talk the politics of Mbowe and Samia (if you like)
huyu usisumbuke kujibizana naye. Ni lumpen yuko Lumumba nadhanisamahani comrade, how old are you??
System imemkataa ila watanzania hawajamkataaNever and Never Again .......
Hatutakubali tena.........
Tutashinikiza.
Kauli nzito za kishujaa utafikiri hata mtu anao huo ubavu wa kufanya chochote.
Mbowe amelelewa na system na ametajirishwa na system.
System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.
Mbowe alikuwa anakula zaidi ya 300M ya Ruzuku kila mwezi kwa miaka mitano 2010/2015.
Mbowe amekula zaidi ya 450M ya ruzuku kwa kila mwezi kwa miaka mitano 2015/2020.
Mbowe alikuwa ana Billcanus, Tanzania Daima n.k
Kipato cha CHADEMA kimepotea, Billcanus na Tanzania Daima imepotea.
Asipojiangalia atajipoteza na yeye mwenyewe. Na watu wataendelea na maisha kama kawaida.
Dalili zinaonekana. Aendelee kukaza shingo.
Ni Thomas Simba tena, Mungu tuhurumie
Kama kawaida mtesi wa CDM yuko kazini tena. Kapangiwa kesi ya Mbowe.
Jiandae kwa rufani and all procedures maana HUKUMU INAJULIKANA
Never and Never Again .......