Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kesi inakwenda Mahakama kuu kwani Kisutu hawana mamlaka ya kusikikiliza mashtaka hayo!!Simba kapokea tu kama gari inayopita keep left,punguza mwendo,kona na endelea!!!
Fatma Karume ameonyesha na kucheka kuwa kesi amepewa Simba tena!
 
Never and Never Again .......

Hatutakubali tena.........

Tutashinikiza.

Kauli nzito za kishujaa utafikiri hata mtu anao huo ubavu wa kufanya chochote.

Mbowe amelelewa na system na ametajirishwa na system.

System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.

Mbowe alikuwa anakula zaidi ya 300M ya Ruzuku kila mwezi kwa miaka mitano 2010/2015.

Mbowe amekula zaidi ya 450M ya ruzuku kwa kila mwezi kwa miaka mitano 2015/2020.

Mbowe alikuwa ana Billcanus, Tanzania Daima n.k

Kipato cha CHADEMA kimepotea, Billcanus na Tanzania Daima imepotea.

Asipojiangalia atajipoteza na yeye mwenyewe. Na watu wataendelea na maisha kama kawaida.

Dalili zinaonekana. Aendelee kukaza shingo.
Una mawazo ya kijinga sana ! ujinga haujawahi kuwa faida na wala hautakusaidia chochote , zaidi utaendelea kukudhalilisha
 
Kuna watu ni wafuasi wa CCM lakini wana sense, hao jibizana nao. Majitu kama haya unayablock maana ni kupoteza muda nao kuwajibu. Nimewablock wengi wa aina ya hili jamaa
 
Una mawazo ya kijinga sana ! ujinga haujawahi kuwa faida na wala hautakusaidia chochote , zaidi utaendelea kukudhalilisha
Yaani inaonesha wazi kazisa ni jinsi gani mmekata tamaa poleni sana mbio za sakafuni huishia ukingoni endeleeni sasa tuone mnaenda wapi DJ nyuma ya nondo
 
Una mawazo ya kijinga sana ! ujinga haujawahi kuwa faida na wala hautakusaidia chochote , zaidi utaendelea kukudhalilisha
Miaka ya nyuma ilikuwa raha sana kwenda kuchapa demu. Kwanza unamsotea kutongoza alafu kama amekukubali anakupa penzi kwa mbinde. Kumvua nguo ya ndani inakua ugomvi na unakula mzigo kijasho kinakutoka.

Siku hizi mabinti wakiingia geto wanavua kabla hata mwanaume hajavua!
 
Kwa Thomas Simba yuko jela ila rufaa itamtoa for sure. Upelelezi tayari wamesema na wako tayari for commital proceedings. How nice is this fast? Because of Mbowe!
God forbid..!!!
 
System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.......system ipi? weka uchaguzi huru then tutapima kauli yako.

All in all, Uliyoandika hayakuhusu, mali zake is non of your bussines, talk the politics of Mbowe and Samia (if you like)
Sidhani kama Samia ana matatizo na Mbowe, lakini vile vile kwa hulka zake hawezi kuliingilia hili. Mpenda demokrasia yeyote hawezi kufurahia Mbowe kuwekwa ndani. Kwa sasa ni kusubiri sheria ichukue mkondo wake, jambo jema ni kwamba upelelezi wa kesi hii umeshakamilika hivyo Bwana Abubakar hatasota sana mahabusu
 
Ni Thomas Simba tena, Mungu tuhurumie

Kama kawaida mtesi wa CDM yuko kazini tena. Kapangiwa kesi ya Mbowe.
Jiandae kwa rufani and all procedures maana HUKUMU INAJULIKANA
IMG-20210728-WA0058.jpg
 
Labda ataachiwa huru. Kwa sababu kule Marangu yupo Simba Marealle, mangi wa Wachaga.
 
Never and Never Again .......

Hatutakubali tena.........

Tutashinikiza.

Kauli nzito za kishujaa utafikiri hata mtu anao huo ubavu wa kufanya chochote.

Mbowe amelelewa na system na ametajirishwa na system.

System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.

Mbowe alikuwa anakula zaidi ya 300M ya Ruzuku kila mwezi kwa miaka mitano 2010/2015.

Mbowe amekula zaidi ya 450M ya ruzuku kwa kila mwezi kwa miaka mitano 2015/2020.

Mbowe alikuwa ana Billcanus, Tanzania Daima n.k

Kipato cha CHADEMA kimepotea, Billcanus na Tanzania Daima imepotea.

Asipojiangalia atajipoteza na yeye mwenyewe. Na watu wataendelea na maisha kama kawaida.

Dalili zinaonekana. Aendelee kukaza shingo.
samahani comrade, how old are you??
 
Ni Thomas Simba tena, Mungu tuhurumie

Kama kawaida mtesi wa CDM yuko kazini tena. Kapangiwa kesi ya Mbowe.
Jiandae kwa rufani and all procedures maana HUKUMU INAJULIKA
Unafeli wapi mzee,Thomas Simba ni hakimu hapo kisutu,hii kesi itadikilizwa high court before judge,huyo Simba hana ushawishi wowote na kesi hii,.imeanzia kisutu VB kufuata tu procedure
 
System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.......system ipi? weka uchaguzi huru then tutapima kauli yako.

All in all, Uliyoandika hayakuhusu, mali zake is non of your bussines, talk the politics of Mbowe and Samia (if you like)
Hata ndani ya CHADEMA uchaguzi siyo huru. CCM wakiweka huo unaoita uchaguzi huru hata CHADEMA wenyewe watawacheka.
 
Never and Never Again .......

Hatutakubali tena.........

Tutashinikiza.

Kauli nzito za kishujaa utafikiri hata mtu anao huo ubavu wa kufanya chochote.

Mbowe amelelewa na system na ametajirishwa na system.

System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.

Mbowe alikuwa anakula zaidi ya 300M ya Ruzuku kila mwezi kwa miaka mitano 2010/2015.

Mbowe amekula zaidi ya 450M ya ruzuku kwa kila mwezi kwa miaka mitano 2015/2020.

Mbowe alikuwa ana Billcanus, Tanzania Daima n.k

Kipato cha CHADEMA kimepotea, Billcanus na Tanzania Daima imepotea.

Asipojiangalia atajipoteza na yeye mwenyewe. Na watu wataendelea na maisha kama kawaida.

Dalili zinaonekana. Aendelee kukaza shingo.
System imemkataa ila watanzania hawajamkataa
 
Ni Thomas Simba tena, Mungu tuhurumie

Kama kawaida mtesi wa CDM yuko kazini tena. Kapangiwa kesi ya Mbowe.
Jiandae kwa rufani and all procedures maana HUKUMU INAJULIKANA

Umeanzisha uzi bila kutafakari mambo yote muhimu. Ungekuwa umefanya hivyo, usingemhusisha Simba na hukumu ya Mbowe. Mahakama ya Hakimu Mkazi haina mamlaka ya kusikiliza kesi ya ugaidi. Hiyo kesi itahamishiwa Mahakama Kuu.
 
Never and Never Again .......

Hatutakubali tena.........

Tutashinikiza.

Kauli nzito za kishujaa utafikiri hata mtu anao huo ubavu wa kufanya chochote.

Mbowe amelelewa na system na ametajirishwa na system.

System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.

Mbowe alikuwa anakula zaidi ya 300M ya Ruzuku kila mwezi kwa miaka mitano 2010/2015.

Mbowe amekula zaidi ya 450M ya ruzuku kwa kila mwezi kwa miaka mitano 2015/2020.

Mbowe alikuwa ana Billcanus, Tanzania Daima n.k

Kipato cha CHADEMA kimepotea, Billcanus na Tanzania Daima imepotea.

Asipojiangalia atajipoteza na yeye mwenyewe. Na watu wataendelea na maisha kama kawaida.

Dalili zinaonekana. Aendelee kukaza shingo.

Umeongea vizuri sana kuhusu Mbowe ila mwishowe umeharibu, Hana bei, na watu Kama Mbowe hawana akili ya Tamaa na Mbovu kama yako!
 
Wapemba walikufa na mtu mwaka ule na hadi leo bado hawajaamini kilichowatokea na mtatiwa shemere kila siku.
 
Back
Top Bottom