Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

I hope Serikali ina ushahidi
Otherwise this is a distasteful circus
 
They’re not gonna go all the way with it.

Lengo lao ni kumsumbua na kumnyanyasa tu.
Nyani Ngabu, yote hayo at what cost? Atarudi wapi kutoka hapa walipofika?
However you look at it ,sio picha nzuri kwa serikali.
Wanasema wako tayari kuzungumza na upinzani, kwa hali hii watazungumza na nani?
This is a dark day for our country.

Amandla...
 
Yule mama amejipambanua ni mpenda haki na maridhiano, kwa jinsi hii kesi inavyoenda itakua Ina mambo mazito sana.
Naona kuna watu wamejipanga kupiga kelele tu ili yasiwepo masikilizano yaani hawataki hata kujua bwana Mbowe amefanya ugaidi upi?!
Ni muda wa mama kuonyesha msimamo mathubuti na dunia ielewe na kuheshimu hilo. Kila mtu atavuna alichopanda.
 

SAWA MBOWE NI GAIDI... WAMEMKUTA NA MAGOBOLE MANGAPI SEMBE KILO NGAPI??
NDEZI WAKUBWA SHWAIN....NYIE
 
 
Hii kesi itachafua nchi kuliko Mbowe na CHADEMA hakuna ugaidi Tanzania
Nchi haiwezi chafuka kwa ajili ya Mbowe or CDM, kuna sababu za kuchafua nchi ila siyo hao matapeli wa kisiasa, alitandikwa risasi Lissu na nchi ilisonga mbele sembuse kushtakiwa kwa Mbowe? Maandamano ya kushinikiza Mbowe aachiwe ni lini na wapi kamanda?
 

Yule mama anaongoza nchi kwa kufuata sheria

Kama Freeman anahusika na hizo tuhuma atashughulikiwa, kama hahusiki ataachiwa

Tuache vyombo husika vifanye kazi yake
 

SAWA MBOWE NI GAIDI... WAMEMKUTA NA MAGOBOLE MANGAPI SEMBE KILO NGAPI??
NDEZI WAKUBWA SHWAIN....NYIE

Ugaidi sio silaha pekee

Kabla ya matumizi ya silaha kunakuaga na Mipango ambayo ni hatari zaidi
 
Reactions: mmh
Mama is useless
Majaliwa on the wheel
 
Safi sana. Lazima kumng'oa mbowe masharubu. Anajifanya kambale kwenye matope. Anawaudhi wengi kwa kumtusi marehemu magufuli na kumzulia uongo kumwita muuaji na dikteta. Tunajua nani wanamtuma. Amefikia kuitishia amani nchi. Kama atakutwa na makosa ya ugaidi basi afungwe milele. Yeyeto anayejaribu kuchafua jina na heshima ya mzalendo na mwanamapinduzi magufuli na alaaniwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…