residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kukusanya watu wakati Mh. Rais Samia anapita huko barabari ni uzalendo sio!!??Kukusanya watu wakati wa janga(epidemic) kama korona ni ugaidi, acha ashughulikiwe!
Na zile hela wanazopokeaga Nairobi baada ya Lissu kuzisomba toka ulaya wanadhani vipepeo hawazionagi? Vipepeo wako katika inner circle ya Chadema,mnakaa mnapanga, zinavujishwa!
Angalia kiwango kikubwa cha usaliti wa viongozi wakuu wa CDM, Mashinji, aliyekuwa katibu mkuu Bavicha sasa waziri, angalia wabunge wa COVID, chama kimeingiliwa siafu,wametoka baadhi tu,wengi wamo bado
Kukusanya watu ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika ni uzalendo sio!!??
Mungu Muumba tu aliyewaumba ndiye anayeweza kuelewa viumbe vyake namna yako.