Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzigo uwe halali na haki.Mwacheni Mungu aitwe MunguKila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Sio msemaji lakini aliyatamka yale maneno kwenye kongamano halali la CHADEMA, na kwakua hakuna kiongozi yeyote wa chama aliyejitokeza kuipinga kauli ile ni wazi kuwa ilikuwa na baraka zote.Hajawahi kuwa na nia hiyo. Aliyesema atamnyoa na wembe sio kiongozi au msemaji wa Chadema. Aidha, umesahau wimbo wenu wa " wembe ni ule ule?".
Upinzani haujafunua upande wowote. Mtu ukiwa kiongozi unatakiwa kuwa mvumilivu maana ni dhahiri hauwezi kukubalika na wote.
Unamfungaje mtu kwa kudai Katiba Mpya?Hayo ya ugaidi watadanganywa ambao toka mwanzo hawana mapenzi na Chadema.
Amandla...
kama wamemfikisha kwenye v yombo vya sheria/mahakama ndio safi ili apate haki yake, au hamtaki apate haki yake. jeuri yote ile kumbe anategemea huruma za raia na wazungu? maza kakaza, endelea hivyohivyo hadi waombe poo bimkubwa. tatio nyumbu mkiona mtu kanyamaza mnamwona mjinga, mnamchokoza wee akiwapiga mnaanza kulia.tulieni dawa iwaingie. foolish.Wewe ni mmoja ya watu wenye michango ya kipumbavu sana hapa JF. Siyo kwa sababu unaitetea serikali, la hasha ila huna hoja zozote. Kuznaia sasa hivi nakuweka kwenye ignore list yangu.
cdm ndio mnatakiwa kujifunza kutokana na makosa, msipojifunza mtapata tabu sana hapa duniani, na hamtakuja kushika dola milele.Sijui kwanini watu wamegoma kujifunza kwa kupitia makosa ya watangulizi
Watz sio wajinga ,hakuna UGAIDI , Wala nini KWA mh Mbowe,ni ujinga tu ,KWA watu flani Kama vile wanamkataba na Mungu,shame for them, Watajuta nasemaUnatetea upuuzi huu seriously?
"They" ni hao wanaomfungulia mashtaka. Hao ambao Mkuu wa Nchi alituambia wana tabia ya kuwabambikizia watu kesi.
Amandla...
wewe ndo mpelelezi wa kesi? unakijua unachoongea? au umekalia akili.Watz sio wajinga ,hakuna UGAIDI , Wala nini KWA mh Mbowe,ni ujinga tu ,KWA watu flani Kama vile wanamkataba na Mungu,shame for them, Watajuta nasema
watuhumiwa wakikaa muda mrefu polisi sheria imeshaweka remedy zake, nenda kasome sheria au ajiri mwanasheria atakufafanuliwa. there are remedies in every thing that you people complain about.Mi nadhani kuna tatizo kwenye ofisi na mfumo mzima wa mashtaka kwa serikali yetu.kwanza Mara nyingi watuhumiwa wanakaa polisi zaidi ya muda wa kisheria kufikishwa mahakamani ie unategemea na mood ya polisi, pili wanakamata watuhumiwa kabla ya upelelezi haujakamilika matokeo yake wakifika mahakamani unakuta mtuhumiwa hana cha kujibu ie case ya uamsho.tatu taratibu na sheria hazifuatwi wakati wa ukamataji wa watuhumiwa Mara nyingi utavamiwa, kupigwa au hata kusachiwa bila kuwepo mashahidi,mwanasheria nk
Kiujumla Tanzania ndio nchi ambayo polisi anaweza kujichukulia sheria mkononi,hawafuati weledi na taaluma ya kipolisi katika kutekeleza majukumu yao.
Kwa kesi ya Mbowe hata kama anayo kesi ya kujibu ila kwa jicho la kawaida kabisa tunaona kuna ukiukwaji kubwa wa sheria kuanzia kukamatwa kwake,kushikiliwa na kufikishwa mahakamani. Sasa haya mambo anafanyiwa Mbowe ambaye ni mtu yuko kwenye spotlight, je sisi wananchi wa kawaida inakuwaje tukiacha itikadi za kisiasa.
na mbowe anashughulikiwa kwa mkondo wa sheria vilevile.Ni sawa!!
mtu akivunja sharia, ashughirikiwe kisheria bilevile, cha msingi asionewe tu, basi
wamsweke ndani tu, na ugaidi hauna dhamana.Yaani kila nikikumbuka yule baba jamani! Kutwa kugombana na kumtusi marehemu jamani!! Sasa atakutana na jaji feleshi.
" Maneno ya Hitler kwa Wapinzane wake "" -- RIPcdm ndio mnatakiwa kujifunza kutokana na makosa, msipojifunza mtapata tabu sana hapa duniani, na hamtakuja kushika dola milele.
Kama mama yakoGaidi ndani ya mahakama?