Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Yaani Mbowe anakatisha msiba wa kaka yake anatamka wazi kuwa anakwenda Mwanza kifanya kongamano hata kama polisi wamezuia tutafanya kwa nguvu kama kutukamata basi wanakame mimi, na kikikamatwa sitaki dhamana sasa mnalia lia nini.
 
Tundu alisema hawatawawekea dhamana, na hawatafanya chochote, sasahivi wanalialia kwamba wamenyimwa wakili. wakati anaongea hayo, tundu alikuwa ubelgiji kashika glass ya wine, wenzake wanakula ugali wa mhogo huku bongo. cdm sijuii nani kawaloga.
Mkuu, kesi ya Ugaidi haina dhamana .... that is too obvious. Lakini kila mtuhumiwa awe wa ukweli au wa kusingiziwa bado ana haki zake za kuwakilishwa kisheria. Lissu siyo wakili peke yake bongo!!
 
Kwenye hili nasema hapana, hapana, natofautiana sana na samia na serikali yake, kwenye hili hapana. hatua za haraka zinahitajika kuchukuliwa dhidi ya serikali hii.
Tundu Lissu na John Mnyika hiki ni kipimo cha uongozi wenu na umakini wenu kwa chama.
Kesi hii itamfanya mwenyekiti Mbowe akae mahabusu miaka na miaka. je chama kinachukua hatua gani dhidi ya serikali dhalimu kuwahi kutokea nchini kwetu?????
Tundu Lissu na John Mnyika itisheni mkutano mkuu wa chama , from there tekelezeni yale mtakayokubaliana, kuitangazia dunia tu kwamba serikali ya huyu mwanamke ni serikali ya kidkiteta hakufanyi mwenyekiti atoke.
WELL NOTED MKUU
 
Sawa hata aliposhwa sumu magufuli kama anavyodai Veronika france nchi imetulia sana
Nchi imetulia mzee, tujiandae kupokea chanjo 20mil kutoka kwa hao mnaosema watatutenga sababu ya Mbowe, ndani ya week chache zijazo
 
CDM waoga kama kunguru, Abubakar anapelekeshwa mpera mpera huko wao wamejificha na id feki wanaposti mikwara
 
Kumekucha Mama D yupo uanjani Sasa ,mapambano yanaendelea,

Mwenda zake kafa na hatujamaliza Jambo letu kule ICC ,Sasa naona Kuna watu wanapatafuta KWA nguvu, nilisema Mama D haikua maana muhusika Jambo ambalo sikutaka ,japo mungu yu juu yetu halikua, Sasa twende Mama D , twende mama D,twende mama D ,shukrani mama d
Wana stress kama wafe
 
Mkuu, kesi ya Ugaidi haina dhamana .... that is too obvious. Lakini kila mtuhumiwa awe wa ukweli au wa kusingiziwa bado ana haki zake za kuwakilishwa kisheria. Lissu siyo wakili peke yake bongo!!
Tundu lisu alisema kwamba hamtajisumbua kwa lolote, sio kwa dhamana ya polisi, wala kupeleka wanasheria wenu. haukumsikia, na alipokuwa anaongea hayo alikuwa ubalgiji anakunywa bia. anawaingiza chaka na nyie mnakubali. sasa ulitaka polisi wafanyeje wakati mwanasheria/msemaji wenu katoa kauli hizo na kweli hakuna mnachofanya? au unamkana Tundu? halafu, ishini mkijua kwamba kuna serikali hapa nchini, hatuishi kama wanyama wa mwituni kila mtu anafanya anachotaka.
 
Unakosea Sana , mkuu, hoja hapa

Nakupa onyo pia na wewe , wewe ni nani ubishane na aliekuleta duniani, au wajiona uliota Kama mbuyu kisa wavaa pensi, Wala bia , KWA anasa za kidunia?

Sikia na elewa kua na pesa ila kubari yeye ndo die haijalishi wamtafuta pitia imani ipi ,mkuu,

Huna Cha kukieleza na WENDA ya kidunia nayajua hata kabala ya kuzaliwa tulia tuli ,nakwambia mkuu
ndugu, acha ushamba, usiwe mpumbavu. mimi siwezi kubishana na Mungu hata siku moja, lakini nitabishana na wanadamu wooote hapa duniani, wewe ni mhuni tu kama wahuni wengine wanaotetea uovu. unamwabudu Mungu gani asiyetaka mamlaka kuheshimiwa? unamwabudu mungu gani asiyetaka rais kuheshimiwa? do you even know what's behind the cartain ya huyo DJ wenu? acha ushamba basi.
 
Sijakukatalia hayo yote ninacho sema kuwa hizo remedies zipo ila kwa Tanzania zinatekelezwaje ie angalia kesi ya Mbowe unajua kwanini wamempa kesi ya ugaidi? Simply ili asipate hizo remedies
haujui kitu, hizo remedy zote hazipo kwenye dhamana, consult your lawyer before uje hapa tubishane.
 
Mwanadamu kaumbwa, na mapungufu mengi , mbona hata wewe ulipo sio msafi? ILA PAKAZIA WATU UGAIDI sio sawa , hata SSH RAIS ,nani kasema Hana mapungufu Kama binadam,? Nasema Kama kweli yupo mtakipata mkitafutacho , binadam mwajitoa ufaham hapa sio kwetu ,vyeo ,madaraka ni nya mda tu, kutengenezee kesho YAKO maana hatujui Kama tuendako Kuna misumali ya moto ,miba n.k ,japo binafsi najua , masikio yangu toweka hapa najua ,KWA njia gani najua,acheni upumbavu
ukitaka kuhubiri kafungua kurasa zako huko, wewe kuwepo tu hapa kwenye ukurasa huu kupambania waleta fujo kwenye nchi, umeshachafuka unanuka. wakileta fujo hata huko kusali kwako utasali? unajua naman gani watu wanaingia sacrifice kwa ajili ya amani ya nchi hii ili tu mbulula kama nyinyi msali kwa amani, lakin hamjui hilo.
 
Kumekucha Mama D yupo uanjani Sasa ,mapambano yanaendelea,

Mwenda zake kafa na hatujamaliza Jambo letu kule ICC ,Sasa naona Kuna watu wanapatafuta KWA nguvu, nilisema Mama D haikua maana muhusika Jambo ambalo sikutaka ,japo mungu yu juu yetu halikua, Sasa twende Mama D , twende mama D,twende mama D ,shukrani mama d

Wacha tuthibitishe ugaidi kwanza pasi shaka ili mwendo uwe mwepesi
 
Tundu lisu alisema kwamba hamtajisumbua kwa lolote, sio kwa dhamana ya polisi, wala kupeleka wanasheria wenu. haukumsikia, na alipokuwa anaongea hayo alikuwa ubalgiji anakunywa bia. anawaingiza chaka na nyie mnakubali. sasa ulitaka polisi wafanyeje wakati mwanasheria/msemaji wenu katoa kauli hizo na kweli hakuna mnachofanya? au unamkana Tundu? halafu, ishini mkijua kwamba kuna serikali hapa nchini, hatuishi kama wanyama wa mwituni kila mtu anafanya anachotaka.
Atakuwa aliongea kwa hasira. Kesi za kutunga kama hizi zina maudhi yake. Hata akina Mandela walitumia lawyers.

Anyway, hii kesi itajifia yenyewe tu.
 
Mungu yupo nami , sio KWA mapenzi yangu ,ila yeye Alie niita, sio mchungaji ,Sina kanisa,ila amekua mwaminifu kwangu siku zote, so I speek with confidence maana kabla hamjatenda nayaona ,mnaelekea shimimoni, asema BWANA ,
kwa hiyo Mungu amekuitia kwa akina mbowe, na sio kuhubiri injili, umekosa cha kufanya? nenda mitaani huko kahubiri acha kupoteza muda kubishania siasa, ninakuambia hao unaowatetea sisi wenzio tumekula nao meza moja, wanawasaliti hadi wanawang'ong'a lakini ninyi huku nje mnavyotaka kufa kwa ajili yao hadi tunawashangaa. pole sana.
 
Back
Top Bottom