Kisutu: DPP Biswalo, awaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa na Mkurugenzi wa Logistiki, Byekwaso

Je wanayo nafasi kudai haki yao dhidi ya Serikali?.
 
Mama aliagiza kesi za ana hii zifutwe na haya bila shaka ndio matokeo.
 
Unafiki wa dpp mwenye uwezo mdogo wa akili...kichwani hovyo. Sijui huo ujaji Mungu tunakuachia na huyo
 
Biswalo kama hukulipa ukiwa hai, watoto wako watalipa
 
Yule Kamishna mkuu wa Idara ya Sheria Uhamiaji naona nae Jana wamemuachia kimyakimya.
 
Kesi zote hizi ni za kubambikia kupitia yule dhalimu ili awapore vijisenti vyao kwenye bank accounts zao.

 
Hawa ndio wafungwa wa kisiasa. Kuna watu walijifanya kutoelewa maana ya wafungwa wa kisiasa.
 
Awalipe fidia sasa.Ni aibu kumweka mtu ndani kisha unakosa ushahidi unamuachia.Civilized country ushahidi kwanza kisha ndo unashikiliwa
Fidia zipi hizo? Hao wote Convicts tu sema wameonewa huruma!
 
Walikua ndani kwa tuhuma za 1.6 B
Inaongeleka......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…