Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Dada watie MOYO! Wanakusemea hao
 
Ndiyo anarejeshwa Keko sasa ndugu yako na kama unaubavu kamtoe.

Mnatuletea habari za kufanya makosa kisha mlie like kutaka huruma!?

Kwisha habari yake mnafiki yule!
Hata ww unaweza kwenda keko
Usijione Malaika sana....
Wako mpnguan kma ww na walijikuta wako keko

Ova
 
Solution ni moja tu hayo makosa yoye yakiwa yanadhaminika serikalo itakosa cha kuwakomoa watu...
 
Well said, ndio maana nimeamua kujikalia zangu kimya, kwanini nice mbinafsi wa kuwa ninayejiita mwanaharakati niishie pabaya, kisha mwanangu nimuache anateseka. Idiotic thought.
Hii kauli nimezoea kuisikia wanawake ndio wanaitumia kumbe siku hizi kuna wanaume pia wanaitumia.
Kuna watu wengi sana wamekumbwa na madhila ya awamu ya tano huku hawajawai kujiita mwanaharakati au kujihusisha kwa namna yoyote ile na siasa.
Kwa awamu hii hakuna aliye salama au mwenye uweza wa kuyakwepa madhila ya serikali
 
Alafu wewe jamaa umekoment na kule FB kwahiyo wakita kukudaka wanakudaka tu fresh aseh Shauri yako endelea kusanifu sasa
 
Kabisa yaani wao hawajiulizi kwa nini hawakuandamana? Sababu ni hii hii. Huyu alikuwa anaandika against serikali kumbe na yeye ana makando yake. Sasa ataozea rumande maana utakatishaji pesa hauna dhamana.
Aiseee!

Mungu akusaidie sana Wewe na ndugu wanaokuzunguka ili kwa namna yoyote isitokezee nafasi ya "kukandamizwa" na huu utawala wa awamu hii hakika niliyonayo ikitoea utaelewa tafsiri Halisi ya sentesi "KUBAMBIKIWA KESI".
 
H
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Haki gani unayotaka kutuaminisha kwa serikali ipi? Yakiwa mbali huonekana yakawaida ila yakikufika kwa karibu sana ndipo nafsi ya kupinga na kukataa Dhuluma hustawi na kunawiri.
 
Kama ni kweli basi,wangemkamata kwa njia za kawaida kuliko walivyofanya jaribio la utekaji.

Jambo hili linafanya jamii ione kwamba hata kesi hii si ya kweli,bali ni chuki tu za wanasiasa.

Tukumbuke mwanzoni walisema walikuwa wakichunguza uraia wake.

Na kweli njia ya mwongo ni fupi.
 
Kwani anafanya biashara gani kudaiwa kodi kubwa kasi hicho?
 
Haikuwa rahisi,let me tell you wasingeungana kamwe wasingeitoa KANU.Lakini huko kuungana na kuiondoa KANU ndo ilikuwa the big and most important move.ONCE AND FOR ALL.KANU IPO KABURINI.
 
Aiseee!

Mungu akusaidie sana Wewe na ndugu wanaokuzunguka ili kwa namna yoyote isitokezee nafasi ya "kukandamizwa" na huu utawala wa awamu hii hakika niliyonayo ikitoea utaelewa tafsiri Halisi ya sentesi "KUBAMBIKIWA KESI".
Kumbuka wamkagua kwake,labda na laptop yake,simu ,tablet wamekagua sasa kama wamekuta makando yapo ndo wamemtia nyavuni,ndo maana nasema ukijitoa mhanga hakikisha hauna makando .
 
Victoire hebu basi tumia just your common sense kutafsiri trend of events ndugu yangu.

Nikweli kama mwanadamu mwingine yoyote huyu Erick aweza kuwa na makando kando yake. Lakini katika haya yanayoendelea juu ya huyu Erick haihitaji uwe na Kipaji Cha Shekhe Yahaya ili uelewe huku kukomolewa kwakwe kwenye malengo Maalum.

Rejea Matamko ya Mambo Baadae, Kisha Yule wa Uhamiaji alafu akamalizia Mwakyembe kwamba Huyu Sio Raia Kisha Uchochezi lakini leo wameona wampe hayo wakijua kuwa hayo Mengine Ni Mashtaka yenye dhamana.


Anyway tuendelee kuandika tuwezavyo kwa kutumia MB zetu lakini iko siku Mambo ya namna hii yakimgusa anayekuhusu naamini utaelewa na ku sympathize na wahusika.
 
Ndo ukisikiaga kuwa usichezee sharubu za Govt, ndo hii sasa
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Vyombo gani unaongelea wewe kichwa nazi. Mtu ameenda kutekwa imeshindikana. Wakaibuka na maigizo ya uongo kuhusu urahia nayo wakaona haieleweki. Sasa wanaibua mambo ya ajabu na wewe ulivyo na akili ya kambale unashabikia. Subiri zamu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…