Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
Dada watie MOYO! Wanakusemea haoPole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.