Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Waliopaswa kulinda sheria sasa wamegeuka kuwa wavunjaji wakuu wa sheria.
 
Aisee kuna watu ni wajinga nchi hii!
 
Wasiojulikana utawajua tu kwa kwa uandishi wao ,bila aibu wala haya nyinyi si mlisema mnamhoji uraia wake? Leo katakatisha fedha ,kakwepa Kodi ?kashirikiana na genge la uhalifu ,hebu we mataga hebu tutajie hao aliishirikiana nao kwenye uharifu ?
 
Kamanda, inamaana umeshasahau mara hii kuwa kabla ya 2015 tulikuwa na RAIS "DHAIFU" asiye na maamuzi?
Umeshasahau enzi zile tulipokuwa tukiomba na kufunga na akina Myika - Mungu atupe RAIS "STRONG"
Au we ndo ninyi mliokuja na kamanda LOWASA?

Kwani kuwa "STRONG" ndio ukanyage Haki za wengine ?
 
You think you're on top of everything, enh!!! Yaani mwandishi kufanya kazi yake wewe unaona ni upumbavu!! Kwako unaona ni upumbavu kwa sababu alikuwa anamwandika Msukuma mwenzako!!! Aibu sana hii!!
 
Rafiki yangu kifo hakichezewi hivyo. Si ajabu kesho ukapoteza mtu wako wa karibu kisha utakumbuka your ill wishes towards Eric.
 
Hivi akili zako ziko sawa au umevuta ile ya Njombe? Jamani CCM kweli ni kokoro limezoa kila aina ya uchafu.
 
Kabisa yaani wao hawajiulizi kwa nini hawakuandamana? Sababu ni hii hii. Huyu alikuwa anaandika against serikali kumbe na yeye ana makando yake. Sasa ataozea rumande maana utakatishaji pesa hauna dhamana.


PIPA NA MFUNIKO MMEKUTANA
 
Anyway uwe na wakati mwema..

Tuendelee kuwaombea faraja familia yake hususani Mke, Mama Na Watoto wake ambao kwa kipindi chote Cha kesi kisichojulikana mwisho wake watamkosa Baba Yao na Pengine huu ukawa mwanzo wa Kufilisiwa kwake.


Alafu Kuna mtu mmoja tena kwa Ujasiri mkubwa anasimama Mbele ya Madhababu Kisha anasema "Mniombee", hakika tutaendelea Kumuombea kama anavyohitaji daima tutamsihi Mungu atuepushe na kikombe hiki kwa namna yoyote impendezayo Yeye.
 
You think you're on top of everything, enh!!! Yaani mwandishi kufanya kazi yake wewe unaona ni upumbavu!! Kwako unaona ni upumbavu kwa sababu alikuwa anamwandika Msukuma mwenzako!!! Aibu sana hii!!
Yes ni mpumbavu,maana alikuwa anawaweka wanae kwenye hatari,angekuwa hana watoto hapo ningemuelewa.Sasa Tena kuna articles zingine zile zenye kumponda kabisa Magufuli alikuwa anaogopa hata kuweka jina lake that means alikuwa hayupo tayari sema kina Zitto ndo walikuwa wanamtumia kwa kumpa mahela kibao.
 
Hahaha...CCM ni moja, kama wajidanganya wewe ni special sana kuliko mamilioni walokuwa vijijini wajidanganya, utatekwa, utafinywa, utafanyiwa chochote ambacho wala hakiendani na hujuma yako kwa Taifa, kikundi cha watu hamsini wenye multiple accounts mitandaoni kuaminisha watu mambo hayako sawa mkitegemea JPM atababaika mwajidanganya, alishaonya yeye hajaribiwi, wote watakipata walichokuwa wakikitafuta, hata wawe elfu moja, nchi hii iko na 55 M people, and we, the majority we are with him, kumtukana mkuu wa nchi nje ya mipaka ya nchi ni kulitukana Taifa, huyo alipashwa anyongwe.
 
Nchi imekabidhiwa kwa mashetani, kazi yao kuua,kutesa na kupoteza watu halafu manyang'au yanaomba yaombewe, labda tuyaombee kwa shetani
kapewa money laundering, jamani tunakoendea, kesi za kukomoana
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Mpumbavu!
 
Kwa ufupi kabisa Omtiti itoshe kusema kuwa Taifa letu limeporomoka. Itoshe kusema undugu, hekima na busara zilizoifanya Tanzania kuwa Tanzania havipo tena. Itoshe tu kusema hivyo alafu basi.

Watu kama wewe mliletwa ili kuivunja Tanzania ya amani, Tanzania iliyojengwa juu ya mwamba wa undugu na amani.

Hivi ndani ya moyo wako kabisa Omtiti unaweza kumhukumu mtu kifo sababu ya kumkosoa mwingine? Tena sio kwa matendo bali kwa maandishi tu ambayo pia yapo kwa lugha ya nchi nyingine na jarida lenyewe hata Tanzania haliuzwi linasomwa na wachache sana duniani. Kweli Omtiti?

Kwani Omtiti, mtu kesho akiandika Kambaku ni mwizi, kambaku anatesa watu na kuwaua na iwapo mimi si mwizi wala sifanyi hayo kuna haja ya kuogopa hadi nimtafute huyo mtu nimuadhibu kifo? Kwani jamii wangu hainijui kama ni kweli au uongo? Nitahukumiwa kwa sababu ya hayo maandishi ambayo yanaishia kwenye gazeti au kwa matendo yangu ambayo jamii inayaona?

Omtiti wote tunaipenda Tanzania lakini Tanzania bila amani na upendo hatutaipenda kamwe. Na wewe huipendi Tanzania, unaipenda dola inayotawala Tanzania na upo tayari kuua na kufanya chochote dola hiyo ibakie kutawala bila kuweka picha ya jumla ya nchi yako kichwani
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Wewe ni mjinga sana, nchi na familia yako ni hasara sana kuwa na mtu kama ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…