Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Yes ni mpumbavu,maana alikuwa anawaweka wanae kwenye hatari,angekuwa hana watoto hapo ningemuelewa.Sasa Tena kuna articles zingine zile zenye kumponda kabisa Magufuli alikuwa anaogopa hata kuweka jina lake that means alikuwa hayupo tayari sema kina Zitto ndo walikuwa wanamtumia kwa kumpa mahela kibao.
Kama Magufuli ni dikteta watu wasiseme!!! Kama utawala wake ni wa kidhalimu watu wasiseme?Halafu angalia unapoonesha hujui lolote lile! Aogope kuandika jina lake kwani suala la Kabandera kuandikia The Economst lilikuwa siri?! Unatia aibu! Ukabila ndio unaokusumbua! I'm very 100% sure unajitoa ufahamu kwa sababu tu wewe ni MSUKUMA! Yaani unajitoa ufahamu kutetea udhalimu wa Msukuma mwenzako!!! Yaani wewe ni mmoja wa watu wa ajabu kuwahi kuwaona dunia ya leo wakiamini mtu kutupwa jela ni upumbavu!!

Keep it on! You think you're safe kwa sababu tu rais ni Msukuma mwenzako!!!
 
Yaani sasa atakaa ndani mpaka magu atoke madarakani. Itakuwa kheri kama magu akitika mwaka kesho vinginevyo Kabendera atatoka 2025 na hakuna kesi itakayoendelea hapo. Aani kwa hizi charges jamaa hatoki yaani hawa jamaa wanamuonea sana Kabendera.

Mi natamani yu waandishi wa habari waungane kwa pamoja kupinga uinevu huu dhidi ya waandishi wahabari. Wakati umefika waandishi wasusie habari za magu.
Duuh wanamuundia kesi isiyo na dhamana...Halafu haiwezekani mashtaka yote yaanzie 2015 hadi 2019.. Kwani enzi za JK alikuwa wapi? Hayo mashtaka ni ya kupika! Halafu mbona hakuna uchochezi badala yake amehusishwa na magenge ya kihalifu? Hao wenzake mbona hawajakamatwa kama wamejiridhisha kuwapo hayo magenge?
 
Vyombo gani unaongelea wewe kichwa nazi. Mtu ameenda kutekwa imeshindikana. Wakaibuka na maigizo ya uongo kuhusu urahia nayo wakaona haieleweki. Sasa wanaibua mambo ya ajabu na wewe ulivyo na akili ya kambale unashabikia. Subiri zamu yako.

Hapana mkulu unanionea bure.
Hakuna sehemu ambayo nimeshabikia hili. Ukifuatilia nilichoandika ni kuwa mimi pamoja na wengine ambao hatuna taarifa kamili kuhusu hili tusijielekeze kulaumu Bali tujipe Muda ili haki itendeke.
 
Mleta mada acha upumpavu, damu ya binadamu inalaana kumwagwa kienyeji enyeji, mtakuja kutuletea majanga kwenye nchi yetu
 
He was too stupid/naive kuandika makala kama zile halafu unaishi bongo na unaona kinachoendelea..He had it coming to him

Angeweza kuandika makala kama zile under a false ID, pia unaweza kufuatilia kila kitu bongo ukiwa nje, dunia ni kijiji hiki, zile makala zake zilikuwa zinachambua tu hotuba za magufuli, miradi anayoifanya na sera zake ambazo hata ukiwa Australia huko ukifuatilia utafahamu tu, au unaweza kuniambia ni vitu gani aliandika ambavyo mtu ukiwa nje huwezi kuvijua? vyote vipo wazi tu, sema yeye ameandika katika kuvikosoa

pia unaweza kuwa na watu wako bongo wanaokupa taarifa za ndani ambazo haziwekwi kwa waandishi, akina Mange kimambi, Ngurumo wanapata intel nzuri tu na wapo nje, hivyo ndivyo waandishi pragmatic, wanavyoishi kulingana na uhalisia wa hali, sio kujifanya unakufa kishujaa, kesho wanakusahau, unaacha familia inateseka na hakuna mabadiliko yoyote uliyofanikiwa kuyaleta sababu ulienda kiboya

Well people like him are the reason why colonialism ended, they stood up without fear. Sawa shit happens, na anatafutiwa kesi kijinga, its ok, at the end of the day the story is out. Unaweza tumia nguvu ila at the end of the day you can't kill the idea, ikishatoka imetoka. In the end the truth wins no matter the cost.
 
Dola ili isimame lazima iwe na uwezo wa kuchukua hatua kali dhidi ya wahalifu.

Hata hivyo dola lazima iwe na huruma,kwa sababu kuna baadhi ya wale walio ndani ya dola (baadhi ya wananchi) ,hukosea kwa bahati mbaya ,hivyo huitaitaji uangalizi ili wajifunze.

Kabendera kahurumiwa na serikali kwa kiwango kikubwa sana ,ashukuru kwa mikono miwili.
Kosa alilolifanya alistahili kupigwa risasi hadharani tukishuhudia .

Japo mahakama haijathibitisha hatia yake ,tukubali tukatae serikali imejiridhisha ni muhalifu ,ila imeachia mkondo wa sheria ufuatwe.
Ingekua china pumzi yake ingekua imekata kwa sasa .
Kwasasa kabendera yuko mikono salama ni jukumu lake kutafakari matendo yake kwa taifa.

Tanzania yenye watu millioni sitini ni muhimu sana kuliko kabendera na wanaomtumia kipumbavu.

Mwisho , serikali iache huruma ,kuna wengine hawastahili kuhurumiwa kwa matendo yao.
Kwa kosa lipi hebu tuambie huenda Mwenzetu unajua kosa lake hadi astahili kutolewa pumzi
 
Duuh wanamuundia kesi isiyo na dhamana...Halafu haiwezekani mashtaka yote yaanzie 2015 hadi 2019.. Kwani enzi za JK alikuwa wapi? Hayo mashtaka ni ya kupika! Halafu mbona hakuna uchochezi badala yake amehusishwa na magenge ya kihalifu? Hao wenzake mbona hawajakamatwa kama wamejiridhisha kuwapo hayo magenge?
Yaani jamaa kama anaweza kukwepa kodi hadi ya Tsh 173 million tena kwa kipindi fulani tu .... then atakuwa ni tajiri mkubwa tu at least kwa Standand za Tanzania ...!!
 
Serikali inajiingiza katika michezo ya maigizo kwenye mambo ya msingi na haki za watu. Kwanini mtu akamatwe kwa staili ya utekaji, kisha tuambiwe anachunguzwa uraia, halafu wanapoona mahakama inataka kuingilia aachiwe, wanamwandikia kesi ya uhujumu uchumi ili akakae selo.

Hii serikai imeishiwa pumzi. Kama mmechoka muombe mpumzike. 2020 ni mwakani tu hapo.
 
Victoire kwa kauli kama hizo naamini hata in case same incidence ikiwatokea Kina Max Melo (Mungu aepushie mbali) utasema hivyo kwamba yanampata hayo kwa kuwa Ametupa Platform hii ya JF ambayo Wengine huitumia kuikosoa na kuisema vibaya serikali na amegoma kutoa taarifa zetu watumiaji, maana kwa kufanya hivyo "anawaweka wanae kwenye hatari" right? Au utasema Bora angekimbia nchi kwa kua utawala huu hautabiriki?


Yes ni mpumbavu,maana alikuwa anawaweka wanae kwenye hatari,angekuwa hana watoto hapo ningemuelewa.Sasa Tena kuna articles zingine zile zenye kumponda kabisa Magufuli alikuwa anaogopa hata kuweka jina lake that means alikuwa hayupo tayari sema kina Zitto ndo walikuwa wanamtumia kwa kumpa mahela kibao.
 
Wewe ni mjinga sana, nchi na familia yako ni hasara sana kuwa na mtu kama ww

Mkuu mbona unaacha kujielekeza kwenye hoja, badala yake unaanza kunipa vidonge vyangu isivyo haki!!?
Ukifuatilia nilichoandika ni kuwa mimi pamoja na wengine ambao hatuna taarifa kamili kuhusu hili tusijielekeze kulaumu Bali tujipe Muda ili haki itendeke.
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Vyombo gani?? Hivi vinavyoongozwa na WASIOJULIKANA?? Endeleeni kuwatisha na kuwaonea Watu ila kumbukeni hakuna lisilokuwa na mwisho.
 
Ajabu sana, alipokamtwa tulijuzwa kuwa anahojiwa kuhalali wa uraia wake, leo naona anashukiwa na mengine kabisa, Tanzania oyeeeee!!!!!!
 
Ila wewe hapa jamii Forum upo safe sio
Hivi yale mambo yako ya mahesabu ya hostel umesahau kaka

Mkuki kwa nguruwe, Pia wewe watch out guy

Unafahamu yote lakini uliipinga mamlaka kwenye hostel pale karibu na Mlimani City

Umesahau, Umesahau au ilikuwa zamani eeeh

Mwenzako akinyolewa
Halafu kinachoniboa kwa hizi kesi zao uchwara utakuta wanamsumbuaa mara ushahidi haujakamilika sijui upelelezi. Halafu mara afutiwe mashitaka kisha akamatwe tena! Yani ni full vurugu mechi. Ila naye Kabendera aliona jinsi huu utawala ulivyo then anaandika vile na kusalia Tanzania! Ashukuru Mungu hakuuawa ingawa mida ya usiku safari za STAKI SHARI zitamuhusu na kule ni kilio na kusaga meno. Wapo waliopelekwa kule na bahati mbaya sana au bila mpigaji kujua (Maana kuna giza sana) anashusha rungu sehemu mbaya na wengine wanapigwa vibaya wanaondoka jumla baadaye tunakutana ufukweni mwa bahari! Sitosahau kile kipindi aisee eti tunaambiwa ni raia haramu!
 
Mpumbavu unamaanisha
Mimi nafahamu upumbavu huanzia kwa mzazi kisha mtoto
Mama yako ndie ungemuita anafanya upumbavu kwa kukuzaa tahira asiyeweza kujenga hoja

Haya ni Madhara ya mtu aliyezaliwa na Mama aliyelewa

Uliza vizuri mzazi wako atakuambia wewe ni mtoto wa bahati mbaya

A daughter from a drunkard Mother
Pole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.
 
Halafu kuna watu wanaimba Flyovers na Stieglers humu!
Hivi watu hawaoni hizi injustices au na wenyewe wameanza kuwa makatili pia?

/
Injustice unajua facts of the case na wewe hapo hapo umekuwa jajI? Huoni kuwa unakuwa nje na kanuni za sheria
 
Gifted Fool

Idiotness is inherited from Parents
Daughter like mother
Hujanielewa hao walifanya hayo wakiwa safi. Sasa wewe unaandika against gouvernement huku unafanya uhalifu,unakwepa kodi. Sasa kosa la kutakatisha pesa halina mdhamana. Atajijua. Unaporusha mawe hakikisha upo safi.
 
Duuh wanamuundia kesi isiyo na dhamana...Halafu haiwezekani mashtaka yote yaanzie 2015 hadi 2019.. Kwani enzi za JK alikuwa wapi? Hayo mashtaka ni ya kupika! Halafu mbona hakuna uchochezi badala yake amehusishwa na magenge ya kihalifu? Hao wenzake mbona hawajakamatwa kama wamejiridhisha kuwapo hayo magenge?
Wewe ni Mahakama?
 
Chifu hatukatai hilo usemalo,lakini tukumbuke miaka iyo yote ya nyuma walikuwa wapi,alichokamatiwa mwanzo walisema ni Uraia mambosasa alipotudhibitishia sasa hili la ukatishaji na hilo genge la uhalifu linakujaje hapo na hilo genge hao waliokuwa wanashirikiana nao wako wapi ?
Sio kila kitu kilichofika polisi kitawekwa hadharani hadi uchunguzi utakapo kamilika, kesi ikisha fika mahkamani ndio sababu zite za mtuhumiwa zunapotoka, ni hili wengi wanakifahamu lakini watanzania wamezoea kupiga makelele.
Kama suala la uchuni au kutakatisha fedha lilo anza hapo zamani ni suala kingine hilo, serikali iliopoita na iliokuwepo sio sawa na ya sasa hivi hilo kila mtu alalijua lakini mnajitoa tu akili na kupiga makelele...
 
Mpumbavu unamaanisha
Mimi nafahamu upumbavu huanzia kwa mzazi kisha mtoto
Mama yako ndie ungemuita anafanya upumbavu kwa kukuzaa tahira asiyeweza kujenga hoja

Haya ni Madhara ya mtu aliyezaliwa na Mama aliyelewa

Uliza vizuri mzazi wako atakuambia wewe ni mtoto wa bahati mbaya

A daughter from a drunkard Mother
Relax wangu,acha kuharishia mdomoni.I love youuuuuuuuuuuu.
 
Back
Top Bottom