Makala za kusifia hazina soko njeAngewasifia mgeuliza haya yote? hapa ndipo tatizo sugu mlilonalo timu awamu ya tano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makala za kusifia hazina soko njeAngewasifia mgeuliza haya yote? hapa ndipo tatizo sugu mlilonalo timu awamu ya tano.
Waliopaswa kulinda sheria sasa wamegeuka kuwa wavunjaji wakuu wa sheria.Mwandishi wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera amefikishwa Mahakama ya Kisutu leo
Anashtakiwa kwa makosa matatu chini ya sheria uhujumu Uchumi ambayo ni...
1. Kujihusisha na mtandao wa uharifu, 2015-2019 katika maeneo ya Dar Es Salaam aliongoza kundi la uhalifu kwa lengo la kupata faida au manufaa mengine
2. Kukwepa kulipa kodi. Katika tarehe tofauti kati ya 2015 hadi 2019 katika jiji la Dar es Salaam alikwepa kulipa kodi zaidi ya Tsh milioni 173
3. Kutakatisha fedha haramu.
View attachment 1172905
View attachment 1172906
View attachment 1172907
Aisee kuna watu ni wajinga nchi hii!Dola ili isimame lazima iwe na uwezo wa kuchukua hatua kali dhidi ya wahalifu.
Hata hivyo dola lazima iwe na huruma,kwa sababu kuna baadhi ya wale walio ndani ya dola (baadhi ya wananchi) ,hukosea kwa bahati mbaya ,hivyo huitaitaji uangalizi ili wajifunze.
Kabendera kahurumiwa na serikali kwa kiwango kikubwa sana ,ashukuru kwa mikono miwili.
Kosa alilolifanya alistahili kupigwa risasi hadharani tukishuhudia .
Japo mahakama haijathibitisha hatia yake ,tukubali tukatae serikali imejiridhisha ni muhalifu ,ila imeachia mkondo wa sheria ufuatwe.
Ingekua china pumzi yake ingekua imekata kwa sasa .
Kwasasa kabendera yuko mikono salama ni jukumu lake kutafakari matendo yake kwa taifa.
Tanzania yenye watu millioni sitini ni muhimu sana kuliko kabendera na wanaomtumia kipumbavu.
Mwisho , serikali iache huruma ,kuna wengine hawastahili kuhurumiwa kwa matendo yao.
Wasiojulikana utawajua tu kwa kwa uandishi wao ,bila aibu wala haya nyinyi si mlisema mnamhoji uraia wake? Leo katakatisha fedha ,kakwepa Kodi ?kashirikiana na genge la uhalifu ,hebu we mataga hebu tutajie hao aliishirikiana nao kwenye uharifu ?Dola ili isimame lazima iwe na uwezo wa kuchukua hatua kali dhidi ya wahalifu.
Hata hivyo dola lazima iwe na huruma,kwa sababu kuna baadhi ya wale walio ndani ya dola (baadhi ya wananchi) ,hukosea kwa bahati mbaya ,hivyo huitaitaji uangalizi ili wajifunze.
Kabendera kahurumiwa na serikali kwa kiwango kikubwa sana ,ashukuru kwa mikono miwili.
Kosa alilolifanya alistahili kupigwa risasi hadharani tukishuhudia .
Japo mahakama haijathibitisha hatia yake ,tukubali tukatae serikali imejiridhisha ni muhalifu ,ila imeachia mkondo wa sheria ufuatwe.
Ingekua china pumzi yake ingekua imekata kwa sasa .
Kwasasa kabendera yuko mikono salama ni jukumu lake kutafakari matendo yake kwa taifa.
Tanzania yenye watu millioni sitini ni muhimu sana kuliko kabendera na wanaomtumia kipumbavu.
Mwisho , serikali iache huruma ,kuna wengine hawastahili kuhurumiwa kwa matendo yao.
Kamanda, inamaana umeshasahau mara hii kuwa kabla ya 2015 tulikuwa na RAIS "DHAIFU" asiye na maamuzi?
Umeshasahau enzi zile tulipokuwa tukiomba na kufunga na akina Myika - Mungu atupe RAIS "STRONG"
Au we ndo ninyi mliokuja na kamanda LOWASA?
You think you're on top of everything, enh!!! Yaani mwandishi kufanya kazi yake wewe unaona ni upumbavu!! Kwako unaona ni upumbavu kwa sababu alikuwa anamwandika Msukuma mwenzako!!! Aibu sana hii!!Pole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.
Rafiki yangu kifo hakichezewi hivyo. Si ajabu kesho ukapoteza mtu wako wa karibu kisha utakumbuka your ill wishes towards Eric.Dola ili isimame lazima iwe na uwezo wa kuchukua hatua kali dhidi ya wahalifu.
Hata hivyo dola lazima iwe na huruma,kwa sababu kuna baadhi ya wale walio ndani ya dola (baadhi ya wananchi) ,hukosea kwa bahati mbaya ,hivyo huitaitaji uangalizi ili wajifunze.
Kabendera kahurumiwa na serikali kwa kiwango kikubwa sana ,ashukuru kwa mikono miwili.
Kosa alilolifanya alistahili kupigwa risasi hadharani tukishuhudia .
Japo mahakama haijathibitisha hatia yake ,tukubali tukatae serikali imejiridhisha ni muhalifu ,ila imeachia mkondo wa sheria ufuatwe.
Ingekua china pumzi yake ingekua imekata kwa sasa .
Kwasasa kabendera yuko mikono salama ni jukumu lake kutafakari matendo yake kwa taifa.
Tanzania yenye watu millioni sitini ni muhimu sana kuliko kabendera na wanaomtumia kipumbavu.
Mwisho , serikali iache huruma ,kuna wengine hawastahili kuhurumiwa kwa matendo yao.
Hivi akili zako ziko sawa au umevuta ile ya Njombe? Jamani CCM kweli ni kokoro limezoa kila aina ya uchafu.Dola ili isimame lazima iwe na uwezo wa kuchukua hatua kali dhidi ya wahalifu.
Hata hivyo dola lazima iwe na huruma,kwa sababu kuna baadhi ya wale walio ndani ya dola (baadhi ya wananchi) ,hukosea kwa bahati mbaya ,hivyo huitaitaji uangalizi ili wajifunze.
Kabendera kahurumiwa na serikali kwa kiwango kikubwa sana ,ashukuru kwa mikono miwili.
Kosa alilolifanya alistahili kupigwa risasi hadharani tukishuhudia .
Japo mahakama haijathibitisha hatia yake ,tukubali tukatae serikali imejiridhisha ni muhalifu ,ila imeachia mkondo wa sheria ufuatwe.
Ingekua china pumzi yake ingekua imekata kwa sasa .
Kwasasa kabendera yuko mikono salama ni jukumu lake kutafakari matendo yake kwa taifa.
Tanzania yenye watu millioni sitini ni muhimu sana kuliko kabendera na wanaomtumia kipumbavu.
Mwisho , serikali iache huruma ,kuna wengine hawastahili kuhurumiwa kwa matendo yao.
Kabisa yaani wao hawajiulizi kwa nini hawakuandamana? Sababu ni hii hii. Huyu alikuwa anaandika against serikali kumbe na yeye ana makando yake. Sasa ataozea rumande maana utakatishaji pesa hauna dhamana.
Anyway uwe na wakati mwema..Ni kweli kaka hata kesi yake hii ni kwa sababu tu na maandishi yake kwenye gazeti la The Economist.Nadhani aliona kama risk alokuwa anachukua.Unakumbuka yule mwandishi wa Saudi Arabia alivyokatwa katwa vipande vipande kule Uturuki?Basi mimi naona ukiwa kwenye serikali kama hizi zilizo tayari kufanya lolote kwa kulinda maslahi yao lazima uwe care sana unless upo tayari kwa lolote.Cha kusikitisha familia yake ndiyo itakayohangaika.
Yes ni mpumbavu,maana alikuwa anawaweka wanae kwenye hatari,angekuwa hana watoto hapo ningemuelewa.Sasa Tena kuna articles zingine zile zenye kumponda kabisa Magufuli alikuwa anaogopa hata kuweka jina lake that means alikuwa hayupo tayari sema kina Zitto ndo walikuwa wanamtumia kwa kumpa mahela kibao.You think you're on top of everything, enh!!! Yaani mwandishi kufanya kazi yake wewe unaona ni upumbavu!! Kwako unaona ni upumbavu kwa sababu alikuwa anamwandika Msukuma mwenzako!!! Aibu sana hii!!
Hahaha...CCM ni moja, kama wajidanganya wewe ni special sana kuliko mamilioni walokuwa vijijini wajidanganya, utatekwa, utafinywa, utafanyiwa chochote ambacho wala hakiendani na hujuma yako kwa Taifa, kikundi cha watu hamsini wenye multiple accounts mitandaoni kuaminisha watu mambo hayako sawa mkitegemea JPM atababaika mwajidanganya, alishaonya yeye hajaribiwi, wote watakipata walichokuwa wakikitafuta, hata wawe elfu moja, nchi hii iko na 55 M people, and we, the majority we are with him, kumtukana mkuu wa nchi nje ya mipaka ya nchi ni kulitukana Taifa, huyo alipashwa anyongwe.Halafu unaunga mkono huu utawala...My brother my University mate emb jitafakari. Ukiona utawala unaojisifia sana, kuminya uhuru wa kusema, kuwepo makesi ya ajabu kwa watu makini na watu kupotea hovyo jua kuwa huo ni UTAWALA WA KIDIKTETA kama zile za kina Idd Amin! Hazina tofauti yoyote ile!
"Udikteta ni utawala wa kikundi kidogo cha watu ambao neno la mkuu wao ndiyo sheria na halihojiwi popote pale"
kapewa money laundering, jamani tunakoendea, kesi za kukomoana
Mpumbavu!Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Wewe ni mjinga sana, nchi na familia yako ni hasara sana kuwa na mtu kama wwUnavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??