Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

UONEVU MKUU DHIDI YA MWANDISHI = ERICK KABENDERA.
"
Mwandishi wa habari nchini Tanzania Erick Kabendera Jumatatu, amepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka mapya ya uhujumu uchumi baada ya kuzuiliwa na polisi kwa zaidi ya siku saba.
Mashtaka mapya yanamtuhumu kwa kujihusisha na genge la uhalifu na uhujumu uchumi nchini na kukwepa kulipa kodi ya zaidi ya Sh. milioni mia moja za Kitanzania.
Kosa jingine ni la utakatishaji fedha zenye thamani ya zaidi ya Sh. millioni mia moja na sabini.
=================
UPDATE
"
Erick kabendera alikamatwa na police kwa tuhuma za Utata wa uraia wake ambazo zilithibitishwa na serikali kupitia Idara ya uhamiaji.
"
SASA HAYO MAKOSA YA UHUJUMU UCHUMI YAMETOKA WAPI!!!?.

Mnaleta ukakasi kiasi kwamba tunaanza kuamini kitendo cha kukatwa kwake ni Failed Abduction Plan
d471cf292d34964cae9afe4b31ebc168.jpeg
 
UONEVU MKUU DHIDI YA MWANDISHI = ERICK KABENDERA.
"
Mwandishi wa habari nchini Tanzania Erick Kabendera Jumatatu, amepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka mapya ya uhujumu uchumi baada ya kuzuiliwa na polisi kwa zaidi ya siku saba.
Mashtaka mapya yanamtuhumu kwa kujihusisha na genge la uhalifu na uhujumu uchumi nchini na kukwepa kulipa kodi ya zaidi ya Sh. milioni mia moja za Kitanzania.
Kosa jingine ni la utakatishaji fedha zenye thamani ya zaidi ya Sh. millioni mia moja na sabini.
=================
UPDATE
"
Erick kabendera alikamatwa na police kwa tuhuma za Utata wa uraia wake ambazo zilithibitishwa na serikali kupitia Idara ya uhamiaji.
"
SASA HAYO MAKOSA YA UHUJUMU UCHUMI YAMETOKA WAPI!!!?.

Mnaleta ukakasi kiasi kwamba tunaanza kuamini kitendo cha kukatwa kwake ni Failed Abduction PlanView attachment 1173315
Mungu atamvusha kutoka bonde aliloingizwa!
 
Halafu hai make sense, uwe mwandishi wa ishu nyeti za kuikosoa serikali, serikali ambayo inajulikana kwa ‘wasiojulikana’ ...halafu uwe na ujinga mwingine wa kutakatisha pesa...mnavyobambikia mtu kesi, mtumiage akili
 
Mkuu kweli kabisa bora tu angebaki kwao achunge ng'ombe maana hataki kukosolewa bora Mkuu tutengeneze group letu LA kupinga vitu hivi kama hutojali nipm no yako tunajenge
Ila tu msigeukane baadae.Maana kuaminiana hadi kuanzisha group la wapingaji ni kipaji.
 
Kaka hebu andika maneno haya kwa real identity yako au jirecord na sura yako ukiongea uonekane. If you can't then you know what I mean.
Anza wewe kuonekana/kujionyesha. Mbona unalazimisha wenzako wajionyeshe wakati wewe umejificha kwenye id fake vilevile. Au na wewe ni mmojawapo wa wasiojulikana? Unataka watu wajionyeshe ili mkawateke?
 
Wamjua nani weye?

Mtu akitoa maoni tofauti na ninyi mnamshanbulia kwa matusi na kejeli.

Msikae tu nyuma ya fake IDs jitokezeni mumsaidie Kabendera.
Tatizo watu wakikosa hoja wanaanza matusi
Stress mbaya jamani. Unakuta mtu ananiita bibi utafikiri nilimzalia mzazi wake. Basi mimi huwa nawacheka sana.
 
Anza wewe kuonekana/kujionyesha. Mbona unalazimisha wenzako wajionyeshe wakati wewe umejificha kwenye id fake vilevile. Au na wewe ni mmojawapo wa wasiojulikana? Unataka watu wajionyeshe ili mkawateke?
Wewe hunijui humu jamvini. Mimi nina Mind huru sina chama chochote cha siasa hivyo huwa napiga in circular motion.
 
Mkuu kweli kabisa bora tu angebaki kwao achunge ng'ombe maana hataki kukosolewa bora Mkuu tutengeneze group letu LA kupinga vitu hivi kama hutojali nipm no yako tunajenge
I smell something fishy!!!

Angalizo lenye kutoa tahadhari unayeombwa "tuyajenge" usiyajenge kwa kutoa namba yako huko pm.

NB safari moja huanzisha nyingine, katikati ya kondoo pia hupenyeza mbwa mwitu.
 
Tusishangae sana ,shetani anazidi kumpa kiburi bwana yule na wapambe wake.Ili kukuche giza halina budi kutamalaki.
 
Let's say nikweli eti Kwamba aliandika Lugha mbaya na isiyofaa kwa Mkuu wa Nchi je Kwanini hajashtakiwa kwa makosa hayo myasemayo kwamba alimuandika vibaya Mnayemuabudu?

Je mashataka haya yasiyo na dhamana aliyofunguliwa ndio mbadala wa shtaka ambalo mnadhani alilistahili?

Nadhani katika kulinganisha makosa ya awali (uraia na kuandika uchochezi au sedition) na haya ya sasa wameona watilie uzito mashtaka haya ya sasa ya kiuchumi.
 
Wauni utawajua tu, na wewe ni mmojawapo. Una kipato kuliko mimi? Umenifahamuje mimi na kipato changu? Ndiyo maana nikakwambia uenda ukawa mchawi wewe maana ueleweki kabisa wewe mlamba viatu tu.

Aisee siwezi kuendelea tena kujadiliana na mtu asiefahamu lugha mama ya kiswahili.

Kajifunze Kiswahili ndugu, anza mwanzo maana elimu kwa sasa ni bure.

Ntalipia gharama zote za masomo na posho ya kujikimu.
 
Wewe hunijui humu jamvini. Mimi nina Mind huru sina chama chochote cha siasa hivyo huwa napiga in circular motion.
Hakuna aliyekuuliza huko chama gani? Mimi nimekuuliza kama na wewe ni miongoni mwa wasiojulikana, sasa mambo ya vyama yametoka wapi? Naona sasa unaelekea kutufahamisha wasiojulikana wanatoka chama gani?
 
Hizi ndio zile akili za jalalani (kwa Propesa Kalamaganda).

Ni rahisi kusema anatumika bila kuwa na ushahidi. Uandishi wake ungekuwa na upotoshaji angeshtakiwa kwa makosa yanayohusiana na uandishi wake. Kwenda kumbambikia kesi isiyohusiana na uandishi wake unathibitisha uandishi wake, japokuwa hawakuupenda, haukuwa na dosari.

Hizi kesi za utakatishaji wa fedha ni kichaka cha watawala kuweka watu ndani na kuwanyima dhamana bila uthibitisho wowote. Wameshindwa kumpoteza, wameshindwa kwenye uraia, wameshindwa kwenye uchochezi na hili pia watashindwa.

Wenye makandokando wote ni wanafiki kama wewe na makunguru, huwezi kuwa na makandokando and speak against this regime.

The only reason he has been a target is because of his journalism.

Freedom comes with a price and some are willing to pay it.

He is a chequebook journalism fanatic and he has to face the consequences of his actions.

Na wewe ni mmoja wa mamluki wengi tu humu hivyo jipangeni mkamsaidie ushauri wa kuandaa utetezi.
 
Nadhani katika kulinganisha makosa ya awali (uraia na kuandika uchochezi au sedition) na haya ya sasa wameona watilie uzito mashtaka haya ya sasa ya kiuchumi.
We bwege bora ukae kimya, unatuchefua bwana ndiyo nini hii unaandika sasa? Utakuwa muuaji wewe aisee!!!
 
Nadhani katika kulinganisha makosa ya awali (uraia na kuandika uchochezi au sedition) na haya ya sasa wameona watilie uzito mashtaka haya ya sasa ya kiuchumi.
Kama ambavyo umesema u"nadhani" ukiwa unaendelea kudhani jiulize Je amefunguliwa Mashtaka kama Raia wa Tanzania au Raia wa kigeni aishie Tanzania kinyume Cha Sheria? Kisha pia Jiulize amehojiwa kwa Shtaka lipi as per charge sheet yake compared to hiki kinachoendelea Sasa?

Lengo la kutilia mkazo Mashtaka hayo ya Sasa Ni lipi?

Je kunahalalisha Zile tuhuma za awali dhidi yake kwamba yote waliyomtuhumu kwayo awali Hana hatia yoyote kwani yamekosa mashiko hisheria? Au tuamini kwamba baada ya Kumkosa Kwenye tuhuma za awali dhidi yake mmemtafutia Mambo ya kupika ili kumkomoa?
 
He was too stupid/naive kuandika makala kama zile halafu unaishi bongo na unaona kinachoendelea..He had it coming to him

Angeweza kuandika makala kama zile under a false ID, pia unaweza kufuatilia kila kitu bongo ukiwa nje, dunia ni kijiji hiki, zile makala zake zilikuwa zinachambua tu hotuba za magufuli, miradi anayoifanya na sera zake ambazo hata ukiwa Australia huko ukifuatilia utafahamu tu, au unaweza kuniambia ni vitu gani aliandika ambavyo mtu ukiwa nje huwezi kuvijua? vyote vipo wazi tu, sema yeye ameandika katika kuvikosoa

pia unaweza kuwa na watu wako bongo wanaokupa taarifa za ndani ambazo haziwekwi kwa waandishi, akina Mange kimambi, Ngurumo wanapata intel nzuri tu na wapo nje, hivyo ndivyo waandishi pragmatic, wanavyoishi kulingana na uhalisia wa hali, sio kujifanya unakufa kishujaa, kesho wanakusahau, unaacha familia inateseka na hakuna mabadiliko yoyote uliyofanikiwa kuyaleta sababu ulienda kiboya
Je kuna sheria alivunja??

Je hayo makosa ni yake au kabambikwa??
 
Back
Top Bottom