Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Wale mliowatoa butimba kwa uonezi waliukumiwa na Mama yako au mahakama hizi?. Mahakama washajichafua kitakachoamua ni karma tu.
Kulia kwako hakusaidii kitu
Tundu lissu alipowadanga kuwa atakwenda mahakamani kupinga ubunge wake mlishangilia sana kuwa haki itapatikana
Huyu kibendera kapelekwa kwenye sheria mnatukana na kusaga meno
Kwa sie wapenzi wa somo la sheria,mahaka ndio kimbilio letu
 
Wanamnyanyasa hivyo baada ya muda kadhaa d.p.p anafuta kesi kwa kusema ameona haina haja ya kuendelea nayo na file linafungwa na anaachiliwa huru
 
Kabanbikiwa kesi,hilo liko wazi!!!!
Aliksmatwa kuhusu uraia
Akajojiwa kuhusu cyber crimes
Ameshtakiwa kwa uhujumu uchumi

Only in Tz ndio upumbab wa hvyo unaweza fanyika
Charges zinaweza kubadilika wakati wowote kadiri ushahidi unavyoendelea kupatikana
Kambole anawaharibu tu akili na kucheza na saikolojia ya manyumbu,ni jukumu la upande wa utetezi kujitayarisha kupangua kesi
Kulia lia mitandaoni hakukusaidii kitu
 
Mimi ni mtanzania kama yeye,nasimama upande wa haki!@!
Kabambikwa kesi,'naamini hivyo!
 
Kulia kwako hakusaidii kitu
Tundu lissu alipowadanga kuwa atakwenda mahakamani kupinga ubunge wake mlishangilia sana kuwa haki itapatikana
Huyu kibendera kapelekwa kwenye sheria mnatukana na kusaga meno
Kwa sie wapenzi wa somo la sheria,mahaka ndio kimbilio letu
[/QUOTE) JIBU SWALI. MLIOWATOA BUTIMBA KWA KUFUNGWA KWA KUONEWA.WALIHUKUMIWA NA MAMA YAKO AU MAHAKAMA HIZI?. Mapepo yamewatawala sana hata UONEVU mnauona sawa tu.
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Ukiwa mlipa kodi una haki ya kuhoji namna kodi unayoliopa inavyotumika, hii ni pamoja na kuhoji kesi zinazoonekana za kubambikiziana zinapofunguliwa..fedha inatumika halafu baadae kesi inaondolewa mahakamani na walalamikaji wenyewe
 
Mimi ni mtanzania kama yeye,nasimama upande wa haki!@!
Kabambikwa kesi,'naamini hivyo!
Mkuu achana naye huyo ameamua kusimama upande wa shetani. We jiulize kitu chepesi sana.wale waliotolewa gereza la butimba kwa kuonewa walifungwa na mahakama gani? Leo utaniambia mahakama ni sehemu ya kutoa haki?.
 
Pastor wangu alikua akimuunga mkono (mikono) jitihada mheshimiwa jiwe. Muda huu naamini atakua anatubu labda awe mnufaikaji wa unyanyasaji na ukandamizaji.
 
Polisi wanaweza kuja kukupekua bangi wakakuta kichwa cha mtu ni.dhahiri utapewa kesi ya murder na si bangi
Huyo.bwana walienda kupekua uraia wake kama wanaweza kupata nyaraka zozote,si ndio wakakuta nyaraka za miamala ya siri!lahaulaaa
Ukipanda maharage utavuna maharage tu,iachene mahkama iamue
Shabikia huu upumbavu wewe huwezi kuwazidi kina Nape
 
Kuchezea fedha za umma ni pamoja na kufungulia watu kesi ambazo kwa macho ya kawaida tu zinaweza kuonekana ni "vexatious" ama za kubambikiana tu.

Hati ya mashtaka ukiisoma, unapata shaka kabisa kwa uundwaji (ama uhalali) wa mashtaka aliyoshtakiwa nayo Bw. Kabendera.

Shtaka la Pili,
Anatuhumiwa kutolipa kodi kwa TRA kiasi cha Tshs. 173,247,047.02/= ambazo ilipaswa azilipe kati ya Januari 2015 na Julai 2019.

Shtaka la Tatu
Anatuhumiwa kuosha fedha (kutakatisha) chafu kiasi cha Tshs. 173,247,047.02/= kati ya Januari 2015 na Julai 2019, ambazo alizipokea huku akijua zinahusika na ukwepaji wa kodi.

Mashaka
1. Kiasi kinachodaiwa katika shtaka la pili ndicho kinachozungumzwa katika shtaka la tatu, sasa kama kweli ishu ni kukwepa kulipa kodi, inashangaza kama kodi inakuwa sawa na kiasi unachotakiwa mtu kulipia kodi..yaani umepata elfu 5 kama kipato na ulipe shilingi elfu 5 kama kodi;

2. Kwenye shtaka la tatu, shtaka ni utakatishaji wa fedha, ingawa kwenye maelezo ya shtaka imesemwa kuwa alipokea hela huku akijua inahusika kwenye ukwepaji wa kodi..sasa serikali inaweza kupokea kodi kutoka hela chafu? Si inakuwa imesafisha hela hizo yenyewe?

Mimi nashauri wanaohusika na mashtaka wawe wanajiridhisha na kushauri "kitaaluma" kabla ya kuyawasilisha mahakamani ili kuepusha gharama zisizo na msingi kwa kesi kuondoshwa mahakamani baadae pamoja na utumikaji mbovu wa kodi zetu wanazolipwa maafisa wakati wa uendeshaji wa kesi ambazo mashtaka yake yanaweza kuwa ni ya kweli, lakini yanayofunguliwa vibaya.
 
Wanamnyanyasa hivyo baada ya muda kadhaa d.p.p anafuta kesi kwa kusema ameona haina haja ya kuendelea nayo na file linafungwa na anaachiliwa huru

Kesi dhidi yake haitafutwa...itabidi ajitetee kwa tuhuma dhidi yake...vinginevyo jela inamhusu...mahakamani ndiko haki hupatikana..
 
Hakuna haki mahakamani ni pesa yako au huruma ya mwanasiasa.
 
Vyombo vya dola vikikutaka uchomoki! Mida mingine mtu unaishia kucheka arafu akawaacha vivywa wazi waliokujaa mahakamani kwa ajili yako. Ila kwa mahakama zilizo huru majarada kama haya yanatupwa mapema, na wahurumia wanasheria Wa serikali.
 
Kuchezea fedha za umma ni pamoja na kufungulia watu kesi ambazo kwa macho ya kawaida tu zinaweza kuonekana ni "vexatious" ama za kubambikiana tu.

Hati ya mashtaka ukiisoma, unapata shaka kabisa kwa uundwaji (ama uhalali) wa mashtaka aliyoshtakiwa nayo Bw. Kabendera.

Shtaka la Pili,
Anatuhumiwa kutolipa kodi kwa TRA kiasi cha Tshs. 173,247,047.02/= ambazo ilipaswa azilipe kati ya Januari 2015 na Julai 2019.

Shtaka la Tatu
Anatuhumiwa kuosha fedha (kutakatisha) chafu kiasi cha Tshs. 173,247,047.02/= kati ya Januari 2015 na Julai 2019, ambazo alizipokea huku akijua zinahusika na ukwepaji wa kodi.

Mashaka
1. Kiasi kinachodaiwa katika shtaka la pili ndicho kinachozungumzwa katika shtaka la tatu, sasa kama kweli ishu ni kukwepa kulipa kodi, inashangaza kama kodi inakuwa sawa na kiasi unachotakiwa mtu kulipia kodi..yaani umepata elfu 5 kama kipato na ulipe shilingi elfu 5 kama kodi;

2. Kwenye shtaka la tatu, shtaka ni utakatishaji wa fedha, ingawa kwenye maelezo ya shtaka imesemwa kuwa alipokea hela huku akijua inahusika kwenye ukwepaji wa kodi..sasa serikali inaweza kupokea kodi kutoka hela chafu? Si inakuwa imesafisha hela hizo yenyewe?

Mimi nashauri wanaohusika na mashtaka wawe wanajiridhisha na kushauri "kitaaluma" kabla ya kuyawasilisha mahakamani ili kuepusha gharama zisizo na msingi kwa kesi kuondoshwa mahakamani baadae pamoja na utumikaji mbovu wa kodi zetu wanazolipwa maafisa wakati wa uendeshaji wa kesi ambazo mashtaka yake yanaweza kuwa ni ya kweli, lakini yanayofunguliwa vibaya.

Hakuna kesi hapo. Saikolojia ya uongo hata uwe muongo smart vipi lzm utaacha Shaka huwezi kuwa smart perfect kuliko jamii.Thus kesi zinabadilika badilika ndo kusema washahalalisha kwamba ni RAIA. Kosa aliliokamatiwa sio kosa analostakiwa nalo.Haiwezekani amount iwe the same ya ukwepaji kodi na utakatishaji zikawa the same pana shaka ya ufafanuzi hapo.Pia yeye kukamatwa Bila hilo genge La uhalifu kuunganishwa nalo.Kosa lake ni kugoma kutekwa.
 
Polisi wanaweza kuja kukupekua bangi wakakuta kichwa cha mtu ni.dhahiri utapewa kesi ya murder na si bangi
Huyo.bwana walienda kupekua uraia wake kama wanaweza kupata nyaraka zozote,si ndio wakakuta nyaraka za miamala ya siri!lahaulaaa
Ukipanda maharage utavuna maharage tu,iachene mahkama iamue

MBONA kiasi kinachodaiwa kodi na kiasi cha utakatishaji pesa figure zinafanana ebu tufafanulie tusio jua Sheria.
 
Mkuu achana naye huyo ameamua kusimama upande wa shetani. We jiulize kitu chepesi sana.wale waliotolewa gereza la butimba kwa kuonewa walifungwa na mahakama gani? Leo utaniambia mahakama ni sehemu ya kutoa haki?.

Mahakama haijawai kuwa chombo huru wala cha haki,haki au Uhuru wako utategemea nguvu ya pesa yako au maamuzi ya mwanasiasa.
 
Unaendeleza mawazo ya kijinga. Babu yako alimsadia Mwalimu Nyerere kumtunza Mama Maria na akina Makongoro alipofungwa na wakoloni? Ficha ujinga wako...
Kamanda si uende huko gerezani ukamfariji mwenzio na pia utoe msaada kwa familia yake
 
Back
Top Bottom