Advocate_Silayo
Member
- Aug 5, 2019
- 64
- 93
Yes,awamu hii inanuka damu!!!Afadhali kilichomkuta ni hicho maana ilikuwa kidogo tu tuseme RIP!Ni haki kuamini kama vile ulivyoamini kumpigia deki lowassa hakuna aliekusumbua
Amejipatia zaidi ya milioni 170,na ameshindwa kuzilipia kodiMBONA kiasi kinachodaiwa kodi na kiasi cha utakatishaji pesa figure zinafanana ebu tufafanulie tusio jua Sheria.
This government is not fair at all. I feel pity for him and his family.Being a journalist is not a CRIME why all that, kwanini tunaifanya taaluma ya uanfishi wa habari ionekane kuwa sehemu ya kukimbia. Vijana wetu na watoto wetu wenye uchu na ndoto ya kuja kuwa waandishi wa habari hiki ndicho wanachokiwaza wakiona hii[emoji17]
#Justice4ErickKabendera View attachment 1173478
Amejipatia zaidi ya milioni 170,na ameshindwa kuzilipia kodi
Amekomolewa hilo lipo wazi, alitakiwa kujua hili tangia mwanzo na kujikinga nalo, ila hakufanya hivyo, hapo ndio namshangaaKwahiyo unakubaliana na wanaosema kuwa ameshitakiwa kwa makosa ya kufikirika kwaajili ya kumkomoa kwa aliyoyaandika?
Kama hajashitakiwa kwa alichokiandika basi hicho kilikuwa kizuri ndiyo maana haijawezekana kushitakiwa kwacho.
makosa ya kubambikiwa hayo na hayana dhamana. utashangaa kutoka hapo ni hadi Magufuli amalize muda wake, usiuchezee mkia wa simba kama haujajihami vizuri, ndio kosa lake hiloJe kuna sheria alivunja??
Je hayo makosa ni yake au kabambikwa??
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
#FreeErickKabenderaBeing a journalist is not a CRIME why all that, kwanini tunaifanya taaluma ya uanfishi wa habari ionekane kuwa sehemu ya kukimbia. Vijana wetu na watoto wetu wenye uchu na ndoto ya kuja kuwa waandishi wa habari hiki ndicho wanachokiwaza wakiona hii[emoji17]
#Justice4ErickKabendera View attachment 1173478
Hatimaye, Erick Kabendera kukosa dhamana kwa kosa la kutakatisha fedha. Kisheria, kosa la utakatishaji fedha halina dhamana. Ni kusubiri kusikilizwa na kuamuliwa kwa kesi yake tu mahakamani. Yajayo yako vyema sana...
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
If you do it silently, you are safe. If you become vocal, you will be in trouble!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu kwa wale wanaofanya forex na kufanikiwa sana kiasi kupelekea money transaction kuwa nyingi kwenye account zao hawawezi kuwa kwenye risk ya kipewa tuhuma za utakatishaji fedha???
Jana mahakamani kisutu dada yake alishindwa kabisa kuendelea kusikiliza pale aliposikia shitaka la kwanza kabisa la "kujihusisha na mtandao wa kiuhalifu" akatoka nje ya kumbi ya mahakama akilia tuThis government is not fair at all. I feel pity for him and his family.
Hujui kusoma?Kwa mashtaka yepi sasa? Ya uraia au cybercrime? au ya kuikosoa CCM? (maana nasikia siku hizi ni kosa la jinai). Kupotezeana muda tu hamna lolote lile la maana
Hahaha wewe ndio huijui JF.....Hujui kusoma?
Ameshindwa kuzilipia Kodi shilingi ngapi out of that amount aliyojipatia kama mnavyodai?Amejipatia zaidi ya milioni 170,na ameshindwa kuzilipia kodi
Ambayo Kodi inapaswa kuwa shilingi ngapi from hicho kiasi utakachopata Kama zawadi?Mfano ukizipata kama zawadi lzm ulipe kodi.