Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Being a journalist is not a CRIME why all that, kwanini tunaifanya taaluma ya uanfishi wa habari ionekane kuwa sehemu ya kukimbia. Vijana wetu na watoto wetu wenye uchu na ndoto ya kuja kuwa waandishi wa habari hiki ndicho wanachokiwaza wakiona hii[emoji17]
#Justice4ErickKabendera
IMG_20190806_085417.jpeg
 
Ni haki kuamini kama vile ulivyoamini kumpigia deki lowassa hakuna aliekusumbua
Yes,awamu hii inanuka damu!!!Afadhali kilichomkuta ni hicho maana ilikuwa kidogo tu tuseme RIP!
 
MBONA kiasi kinachodaiwa kodi na kiasi cha utakatishaji pesa figure zinafanana ebu tufafanulie tusio jua Sheria.
Amejipatia zaidi ya milioni 170,na ameshindwa kuzilipia kodi
 
Being a journalist is not a CRIME why all that, kwanini tunaifanya taaluma ya uanfishi wa habari ionekane kuwa sehemu ya kukimbia. Vijana wetu na watoto wetu wenye uchu na ndoto ya kuja kuwa waandishi wa habari hiki ndicho wanachokiwaza wakiona hii[emoji17]
#Justice4ErickKabendera View attachment 1173478
This government is not fair at all. I feel pity for him and his family.
 
Kwahiyo unakubaliana na wanaosema kuwa ameshitakiwa kwa makosa ya kufikirika kwaajili ya kumkomoa kwa aliyoyaandika?

Kama hajashitakiwa kwa alichokiandika basi hicho kilikuwa kizuri ndiyo maana haijawezekana kushitakiwa kwacho.
Amekomolewa hilo lipo wazi, alitakiwa kujua hili tangia mwanzo na kujikinga nalo, ila hakufanya hivyo, hapo ndio namshangaa
 
Je kuna sheria alivunja??

Je hayo makosa ni yake au kabambikwa??
makosa ya kubambikiwa hayo na hayana dhamana. utashangaa kutoka hapo ni hadi Magufuli amalize muda wake, usiuchezee mkia wa simba kama haujajihami vizuri, ndio kosa lake hilo
 
Alihojiwa kwa kosa gani na mahakamani kapelekwa kwa kosa gani?
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
 
Being a journalist is not a CRIME why all that, kwanini tunaifanya taaluma ya uanfishi wa habari ionekane kuwa sehemu ya kukimbia. Vijana wetu na watoto wetu wenye uchu na ndoto ya kuja kuwa waandishi wa habari hiki ndicho wanachokiwaza wakiona hii[emoji17]
#Justice4ErickKabendera View attachment 1173478
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
#FreeErickKabendera
 
Hatimaye, Erick Kabendera kukosa dhamana kwa kosa la kutakatisha fedha. Kisheria, kosa la utakatishaji fedha halina dhamana. Ni kusubiri kusikilizwa na kuamuliwa kwa kesi yake tu mahakamani. Yajayo yako vyema sana...

Mkuu kwa wale wanaofanya forex na kufanikiwa sana kiasi kupelekea money transaction kuwa nyingi kwenye account zao hawawezi kuwa kwenye risk ya kipewa tuhuma za utakatishaji fedha???
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.

I like this! Watanzania tumekuwa na negative attitude sana kwa kila linalofanywa na serikali. Inawezekana kuna mashitaka mengi yanayomkablili ila wakaamua kutanguliza moja kubwa kusudi wakishamaliza uchunguzi wayaunganishe yote. Ni procedure ya kawaida mahakami. Tunachotaka tu atendewe haki yake na wala asionewe au kuteswa kinyume na haki zake za binadamu.
 
Mkuu kwa wale wanaofanya forex na kufanikiwa sana kiasi kupelekea money transaction kuwa nyingi kwenye account zao hawawezi kuwa kwenye risk ya kipewa tuhuma za utakatishaji fedha???
If you do it silently, you are safe. If you become vocal, you will be in trouble!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kabendera watu wanataka kukashusha kapepee nusu mlingoti!
Mwenzio akinyolewa...
Wewe nunua topaz mapema.
 
Kwa mashtaka yepi sasa? Ya uraia au cybercrime? au ya kuikosoa CCM? (maana nasikia siku hizi ni kosa la jinai). Kupotezeana muda tu hamna lolote lile la maana
Hujui kusoma?
 
Hivi inamaana mpaka Erick Kabendera anashitakiwa na utakashishaji pesa wa milioni 173.2 huko inamaana malipo hayo yooote hayakuwahi kukaguliwa na (FIU) Financial Investigation Unit za Tanzania kabisaa yaani mtu ambae ana akaunti benki kabisa na sio kwamba anapewa kwenye sandarusi[emoji848]
 
huo mtandao wa kihalifu itakua bora ukianikwa wazi (au waunganishwe kwenye kosa moja la kesi ya kabendera)...ili kuwaweka watu huru...isije ikawa kuna watu wanaendelea kushirikana nao bila kujua ni wahalifu....na pia itakua imeiweka nchi salama
 
Back
Top Bottom