Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Labda kesi , kwangu mimi, nitaielewa ikianza kusikilizwa huku ushahidi ukitolewa. Kwa maana mpaka sasa maelezo ninayopata ' hayajafunguka sawa sawa' kwangu.
 
Mungu nipe maisha marefu nione mwisho wa Ka.me
 
Hivi wachawi wameshindwa kumloga huyu jiwe. mbona mwepesi saana!

Hakika hakuna wachawi Tanzania yoote hata huko Sumbawanga, Bagamoyo, Tanga ni buuure . kutishanatishana tu mitaani huko, Na kuibia watu hela tu. watu wanajifanya wachawi? mara limbwata! sijui nshuntama, ya wahaya. wampe Jiwe basi awe mpole. Tupete?
 
Kwani aliyoyaandika yalikuwa ya uongo ?!. Na watanyamazishwa wangapi ?!.
 
Katumwa huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…