TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Labda kesi , kwangu mimi, nitaielewa ikianza kusikilizwa huku ushahidi ukitolewa. Kwa maana mpaka sasa maelezo ninayopata ' hayajafunguka sawa sawa' kwangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukivunja sheria sharti ukamatwe na upewe adhabu,hakuna nchi duniani inakaa na kuvumilia wahalifu Wa sheria
Kwani aliyoyaandika yalikuwa ya uongo ?!. Na watanyamazishwa wangapi ?!.Kila zama zinaukurasa wake, yawezeana kabisa, anaonewa sawa, ila je karam yake aliitumia vzr? Je jamii inafaidika na mandiko yake? Tuseme sawa inafaidika je kwa nn anamgoror na sheria?
Rejea kumbukumbu ya wale wanamziki, ni vyema ukacheza na karam vzr ila usicheze na taasisi kubwa kama sheria,
Kila nchi watu kama hawa watu, ila inategemea wanashughulikiwaje, kunawngine huwekewa vikwazo vya kibiashra, wengine za kidiplomasia, kunavizuiz na wengine kupewa nyadhifa ila wakiona taratib haziruhusu, lile andiko linahusika Aheri mtu moja kunyamaza ili taifa lipone, kuliko kuruhusu mtu mmoja kusema taifa zima likapotea
...
Hyo ni sera ya dunia..
Aisee umesema kweli kabisaKuna mambo unayachkulia poa kwasababu yamemkuta mtu ambae hana msaada kwako. Ila usiombe yamkute mwenye msaada kwako ndo utaelewa mbivu na mbichi.
Katumwa huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487]Kwa bahati nzuri hiyo nililosoma na jina la Kabendera kama maandishi hazikuwepo! Nadhani Jarida la Economist hakuna utaratibu wa kuonyesha majina ya waandishi kwenye makala zake. Anybody could have written the article. Kwa jinsi nilivyouona uandishi wa Kabendera siyo Tahiti kutumia lugha kama hiyo.
Mpuuzi mmoja weweUkivunja sheria sharti ukamatwe na upewe adhabu,hakuna nchi duniani inakaa na kuvumilia wahalifu Wa sheria