Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kwa hili nimeukumbuka wimbo wa Lucky Dube niupendao sana House of Exile...
Tafadhali Tundu Lissu endelea kubaki hukohuko Belgium.
Luck dube alifanya makosa mpaka akafungwa nankuteswa
 
Ndicho kinachoendelea Chadema
Well said,sema mabaya ya Chadema ukiwa ndani ya Chadema ukione cha mtemakuni. Yupo wapi Chacha Wangwe. Ndo maana huwa nasema hakuna mbadala wa CCM. Natamani katiba yetu ingeruhusu mgombea huru.
 
Hivi umewaza vzr kabla hujaandika? au ndio ugimbi wa gywe umekulevya!
Unajua kuna ile hata kuiba kura mtu anaona aibu. Wapinzani wangeondoa tofauti zao wakaweka Rais mmoja,mbunge mmoja,diwani mmoja. Mbona CCM watakaa asubuhi tu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Fikiria ccm Inaindoka alafu kina Msigwa, Lema, Mdee Nyarandu, na the like ndio wanaunda selikali!

Hakuna system ya kipumbavu kudump nchi kiasi hiki duniani.
Yale yale mapapa fisadi nyangumi. Kungekuwa na katiba ya mgombea huru walau labda tungepata wagombea genuine.
 
Hatimaye, Erick Kabendera kukosa dhamana kwa kosa la kutakatisha fedha. Kisheria, kosa la utakatishaji fedha halina dhamana. Ni kusubiri kusikilizwa na kuamuliwa kwa kesi yake tu mahakamani. Yajayo yako vyema sana...
Wakili msomi umesema hatimaye kwamba ilikua lazima sio
 
Hiyo ni stahiki yake halali ,haina chenga,serikali imemtendea haki,tena imemuhurumia sana ,imemfanyia wepesi .
Alitakiwa anyongwe mpaka kufa
 
Hii maana yake Freelance journalists, ma-bloggers, YouTubers mmesha lipa kodi TRA au mnafanya kazi 'kienyeji' miaka yote bila kulipa kodi .

Mwenzio akinyolewa wewe tia maji. Kazi kwenu. Kibano kinaendelea.
Tanzanite tv hata isipolipa kodi iko very clean!
 
Target yao iligoma, thank God kwamba bado anaishi. Niliona picha za jamaa jana akiwa kanisani, sijui padri kama alilitafakari vizuri neno la jana, somo la kwanza lilitoka kitabu cha Mhubiri, kwamba vyeo, mamlaka, mali ni ubatili mtupu na hasa vile vinavyokufarakanisha na jamii yako ni UBATILI mtupu
 
Hahaha pona yake watu waliwaona watekaji, otherwise angepotezwa. Uraia wake umeonekana ni uongo, sasa wamepika kesi. Katakatisha pesa za nani?! Yani ukikutwa ba pesa usikumbuke uliipataje umetakatisha. Kama hauko kwenye payroll yao hutakiwi kuwa na pesa, maana zote hizo ulizonazo kwao ni utakatishaji.
Nahisi ndio maana yule afisa aliyenyongwa walisema alikywa na dollar 10 mfukoni, na sijui laki moja mfuko wa kushoto na laki mfuko wa kulia. Hahaha ku justify alijinyonga kwa utakatishaji.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Yani unakiri kushindwa!

Hamtashindwa sababu ya udikteta wa Magu Bali ni kwa sababu hamna mbinu za kupambana na ccm!

Hebu ona sasa hivi badala ya kuanzisha kampeni ya kudai tume huru ya uchaguzi au katiba mpya, nyie mnaanzisha vikampeni uchwara kukataa kutumia voda.

Hivi watu wakiacha kutumia voda ndio ccm imeondoka madarakani? Na kwamba mitandao mingine haitatoa taarifa za wateja selikali ya ccm ikitaka?
 
Senseless opinion
 
Kwahiyo wakikamatwa utaarifiwe? ,,pathetic
 
Mimi naamini sana kwenye kufanikiwa. Angalia Kenya kaka. Kina Odinga,Kibaki,na wengine walipoungana tu ndo walifanikiwa kuiondoa KANU. Hata kama walikuja kutofautiana baadae ila mission kubwa na ya faida sana ilikuwa accomplished. Kuiondoa KANU madarakani. Wapinzani wakifanya hili walau kwa season moja tu,yaani season moja hata kama watatofautiana tena huko mbeleni. Ila lengo kubwa la kuiondoa CCM madarakani litakuwa limetimia.
 

Teh teh teh umenikumbusha mbali kuhusu hayo maandamano ya Da Mange.

Watu walichonga sana humu mitandaoni lakini siku ya siku ilipowadia wote wakaufyata wakajifungia makwao huku wakichungulia madirishani kuona kama kuna waliojitokeza kuandamana.

Majasiri wa kwenye mitandao hao!
 
Daaag
Kaka hiyo ngoma ya money laundry acha ka
K
Kwa kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…