Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Luck dube alifanya makosa mpaka akafungwa nankuteswaKwa hili nimeukumbuka wimbo wa Lucky Dube niupendao sana House of Exile...
Tafadhali Tundu Lissu endelea kubaki hukohuko Belgium.
Well said,sema mabaya ya Chadema ukiwa ndani ya Chadema ukione cha mtemakuni. Yupo wapi Chacha Wangwe. Ndo maana huwa nasema hakuna mbadala wa CCM. Natamani katiba yetu ingeruhusu mgombea huru.Ndicho kinachoendelea Chadema
Unajua kuna ile hata kuiba kura mtu anaona aibu. Wapinzani wangeondoa tofauti zao wakaweka Rais mmoja,mbunge mmoja,diwani mmoja. Mbona CCM watakaa asubuhi tu.
Yale yale mapapa fisadi nyangumi. Kungekuwa na katiba ya mgombea huru walau labda tungepata wagombea genuine.[emoji1] [emoji1] [emoji1] Fikiria ccm Inaindoka alafu kina Msigwa, Lema, Mdee Nyarandu, na the like ndio wanaunda selikali!
Hakuna system ya kipumbavu kudump nchi kiasi hiki duniani.
Negativity zinawanya msione opportunities.Hivi umewaza vzr kabla hujaandika? au ndio ugimbi wa gywe umekulevya!
Wakili msomi umesema hatimaye kwamba ilikua lazima sioHatimaye, Erick Kabendera kukosa dhamana kwa kosa la kutakatisha fedha. Kisheria, kosa la utakatishaji fedha halina dhamana. Ni kusubiri kusikilizwa na kuamuliwa kwa kesi yake tu mahakamani. Yajayo yako vyema sana...
Hiyo ni stahiki yake halali ,haina chenga,serikali imemtendea haki,tena imemuhurumia sana ,imemfanyia wepesi .Mwandishi wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera amefikishwa Mahakama ya Kisutu leo
Anashtakiwa kwa makosa matatu chini ya sheria uhujumu Uchumi ambayo ni...
1. Kujihusisha na mtandao wa uharifu, 2015-2019 katika maeneo ya Dar Es Salaam aliongoza kundi la uhalifu kwa lengo la kupata faida au manufaa mengine
2. Kukwepa kulipa kodi. Katika tarehe tofauti kati ya 2015 hadi 2019 katika jiji la Dar es Salaam alikwepa kulipa kodi zaidi ya Tsh milioni 173
3. Kutakatisha fedha haramu.
View attachment 1172905
View attachment 1172906
View attachment 1172907
Tanzanite tv hata isipolipa kodi iko very clean!Hii maana yake Freelance journalists, ma-bloggers, YouTubers mmesha lipa kodi TRA au mnafanya kazi 'kienyeji' miaka yote bila kulipa kodi .
Mwenzio akinyolewa wewe tia maji. Kazi kwenu. Kibano kinaendelea.
He was too stupid/naive kuandika makala kama zile halafu unaishi bongo na unaona kinachoendelea..He had it coming to him
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Yani unakiri kushindwa!Ukiona ndani ya utawala mpinzani mkuu anayekosoa anapigwa risasi tena mchana kweupe..My dear loveee mambo kama niliyokwambia ni madogo sana! Mimi ni mpinzani wa CCM ila ninachoamini ni kuwa 2020 CCM itanyakua majimbo yote bara na visiwani. Labda wawepo wachache sana wa CUF na mamluki wachache ila usitarajie mbunge yeyote strong wa upinzani kurudi bungeni zaidi ya wale wa viti maalum. Ni ukweli huo japo mchungu. Pia naamini kuwa JPM atapita kwa zaidi ya asilimia 90 na hii ni kutokana na mambo kadhaa tuliyoyaona kwenye chaguzi ndogo.
Senseless opinionTarget yao iligoma, thank God kwamba bado anaishi. Niliona picha za jamaa jana akiwa kanisani, sijui padri kama alilitafakari vizuri neno la jana, somo la kwanza lilitoka kitabu cha Mhubiri, kwamba vyeo, mamlaka, mali ni ubatili mtupu na hasa vile vinavyokufarakanisha na jamii yako ni UBATILI mtupu
Opportunities zipi ndugu zakuunga juhudi? yaani watu wote wawe na mawazo msonge!Negativity zinawanya msione opportunities.
Kwahiyo wakikamatwa utaarifiwe? ,,patheticDuuh wanamuundia kesi isiyo na dhamana...Halafu haiwezekani mashtaka yote yaanzie 2015 hadi 2019.. Kwani enzi za JK alikuwa wapi? Hayo mashtaka ni ya kupika! Halafu mbona hakuna uchochezi badala yake amehusishwa na magenge ya kihalifu? Hao wenzake mbona hawajakamatwa kama wamejiridhisha kuwapo hayo magenge?
Mimi naamini sana kwenye kufanikiwa. Angalia Kenya kaka. Kina Odinga,Kibaki,na wengine walipoungana tu ndo walifanikiwa kuiondoa KANU. Hata kama walikuja kutofautiana baadae ila mission kubwa na ya faida sana ilikuwa accomplished. Kuiondoa KANU madarakani. Wapinzani wakifanya hili walau kwa season moja tu,yaani season moja hata kama watatofautiana tena huko mbeleni. Ila lengo kubwa la kuiondoa CCM madarakani litakuwa limetimia.Ukiona ndani ya utawala mpinzani mkuu anayekosoa anapigwa risasi tena mchana kweupe..My dear loveee mambo kama niliyokwambia ni madogo sana! Mimi ni mpinzani wa CCM ila ninachoamini ni kuwa 2020 CCM itanyakua majimbo yote bara na visiwani. Labda wawepo wachache sana wa CUF na mamluki wachache ila usitarajie mbunge yeyote strong wa upinzani kurudi bungeni zaidi ya wale wa viti maalum. Ni ukweli huo japo mchungu. Pia naamini kuwa JPM atapita kwa zaidi ya asilimia 90 na hii ni kutokana na mambo kadhaa tuliyoyaona kwenye chaguzi ndogo.
Lazima usome alama za nyakati kaka,unless hautajali kama familia yako ikipay matokeo.Hapa sio USA kaka.Mange aliwaambia muandamane wote mkajifungia makwenu why ? Kwa sababu mlifikiria kuhusu familia zenu. Sawa ni Dikteta ila ndo Rais wetu.Kama mpo serious uchaguzi 2020 mtoeni kwa kura.
KKaka hiyo ngoma ya money laundry acha ka
Kwa kura?Lazima usome alama za nyakati kaka,unless hautajali kama familia yako ikipay matokeo.Hapa sio USA kaka.Mange aliwaambia muandamane wote mkajifungia makwenu why ? Kwa sababu mlifikiria kuhusu familia zenu. Sawa ni Dikteta ila ndo Rais wetu.Kama mpo serious uchaguzi 2020 mtoeni kwa kura.