Tanzanite tv hata isipolipa kodi iko very clean!
Ndiyo maana yake kiasi hata serikali iliahidi kuwawezesha waandishi wa habari wakujitegemea 'fukara' wapate zana za kazi ili kufanya kazi nzuri ktk mkutano wa SADC.
Ila ukienda kinyume na wenye mamlaka kwa kuandika habari zinazoonekana kuichafua nchi lolote linaweza kuibuliwa na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameanza maandalizi kuelekea mkutano mkuu wa nchi za SADC, unaotarajia kufanyika Agosti 2019 jijini Dar es salaam, ambapo leo amekutana na waendeshaji wa mitandao ya kijamii na kuwakabidhi maswali 12, kwa ajili ya kuwauliza wananchi kuelekea mkutano huo.