Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .Kutakatisha pesa? Ishu ya uraia umeishia wapi?
Naona wameamua kumkomoa mshikaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .Kutakatisha pesa? Ishu ya uraia umeishia wapi?
Naona wameamua kumkomoa mshikaji.
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
Hawana lolote mkuu, hakuna masitaka hapa, je swali ya uraia lineishia wapi? tuliambiwa hio ndilo anahojiwea nalo, sasa mambo yamebadilika, ccm hata akili hawana kabisaDuuh wanamuundia kesi isiyo na dhamana...Halafu haiwezekani mashtaka yote yaanzie 2015 hadi 2019.. Kwani enzi za JK alikuwa wapi? Hayo mashtaka ni ya kupika! Halafu mbona hakuna uchochezi badala yake amehusishwa na magenge ya kihalifu? Hao wenzake mbona hawajakamatwa kama wamejiridhisha kuwapo hayo magenge?
MASHITAKI YA URAIA YAMEISHA???? sasa ni mengine? kwa kweli hii awamu ya 5Mwandishi wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera amefikishwa Mahakama ya Kisutu leo
Anashtakiwa kwa makosa matatu chini ya sheria uhujumu Uchumi ambayo ni...
1. Kujihusisha na mtandao wa uharifu, 2015-2019 katika maeneo ya Dar Es Salaam aliongoza kundi la uhalifu kwa lengo la kupata faida au manufaa mengine
2. Kukwepa kulipa kodi. Katika tarehe tofauti kati ya 2015 hadi 2019 katika jiji la Dar es Salaam alikwepa kulipa kodi zaidi ya Tsh milioni 173
3. Kutakatisha fedha haramu.
View attachment 1172905
View attachment 1172906
View attachment 1172907
Halafu hamna kesi ngumu kupata ushahidi kama ya kutakatisha fedha. Mtu kama alitumia hizo milioni 173 kuwekeza sehemu nyingine ambayo kiuhalisia ndiyo utakatishaji, utajiridhisha vipi kwamba kwa miaka yote minne hakuweza kufanya kazi ya kumuingizia fedha hizo kihalali? Halafu mtu unasema kuwa kakwepa kodi ya milioni173 then hapo hapo unamwambia kutakatisha kiasi hichohicho ilihali kodi ni sehemu ndogo sana ya kipato anachopata mtu chukulia kodi inayosemwa ni 18 asilimia then chukua hiyo M 173 izidishe mara 1.18 uone alikuwa ana uwezo wa ku make kiasi gani hadi useme katakatisha M 173? Ingekuwa kesi ya mtu aliyejipanga kumtia mtu hatiani basi wangemuweka kwenye shitaka la kukwepa kodi wakaondoa hilo la kutakatisha fedha.Wamesema ametakatisha fedha 173m hapo na amekwepa kodi ya 173m, kwa uelewa wa kawaida tu utagundua hapa wamepika maana km kakwepa kodi iweje fedha hizo hizo ziwe ndo alitakatisha?
Hata mimi nilimwambia hizi ndege unazonunua zinakufarakanisha na akina KIVYAKO na mungu wao hasikii.Target yao iligoma, thank God kwamba bado anaishi. Niliona picha za jamaa jana akiwa kanisani, sijui padri kama alilitafakari vizuri neno la jana, somo la kwanza lilitoka kitabu cha Mhubiri, kwamba vyeo, mamlaka, mali ni ubatili mtupu na hasa vile vinavyokufarakanisha na jamii yako ni UBATILI mtupu
Walikueleza wanataka kumuua? huyo ndo anatakiwa kutumika kama kielelezo cha ni namna gani hao wanaowatumia wanakiuka sheria za a sovereign state na wanapashwa kulaumiwa na jumuia ya mataifa.
Azory is dead, azory aluawa na kutupiwa mamba hapo mto rufiji, huyu ni ile kelele za raia ziliokoas uhai wake, kwani hata saa tungeabiwa ni "wasiojulikana" na polishi wanafanya "uchunguzi" ccm imejaa wanyama ambao wanavalia mili ya binadamuAisee nimejiridhisha kuwa walitaka kumuua na kweli huenda Azory ali "Disappear and died"
Wewe mbona kigeugeu kama govi, mara uunge mkono juhudi mara ugeuke yaani hueleweki kama mkojo wa punda, shubamitttKwa hiyo wamemshitaki kwa hilo kosa la utakatishaji fedha ili akose dhamana?
Halafu utakatishaji fedha si kosa baya kihivyo mpaka lisiwe na dhamana.
Sheria ya kipumbavu kabisa hiyo.
kwa hiyo angehamia Uchina halafu awe anaandika ya Bongo, angeyajuaje na yangemhusu nini wakati kahama?He was too stupid/naive kuandika makala kama zile halafu unaishi bongo na unaona kinachoendelea..He had it coming to him
Akishindwa kesi mahakamani.tutajuaje kama hawajambambikia?
Angeenda nje kama Ngurumo.kwa hiyo angehamia Uchina halafu awe anaandika ya Bongo, angeyajuaje na yangemhusu nini wakati kahama?
wewe ni coward, mwoga, mwenzako ni brave and patriotic...
Azory was feed to crocodiles hapo river rufiji, what saved this gentleman ni zile kelele watu walipiga wakati anatekwa otherwise angekuwa maiti by now, i dont know many many people ccm will kill to get okay and well with human blood sacrife in order to silence those with diffrent viwes and so, lakini kusidwa kumumaliza lissu ndiko kunauma jiwe sana kabisa kabisaKabudi ametuthibitishia hili
Nadhani we ni mmoja wa wanasheria, kwa nini msifungue kesi mahakamani kutaka sheria hii kandamizi ifutwe? Hii ni sheria amabayo haikidhi viwango vya kimataifa, mtu anahukumiwa kabla ya mahakama kutoa hukumu. Hii ni kinyume kabisa na natural justice. Watu wakitaka kukukomoa sasa havi wanafungua kesi za hivi.Hatimaye, Erick Kabendera kukosa dhamana kwa kosa la kutakatisha fedha. Kisheria, kosa la utakatishaji fedha halina dhamana. Ni kusubiri kusikilizwa na kuamuliwa kwa kesi yake tu mahakamani. Yajayo yako vyema sana...