mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,252
You too
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You too
Kutakatisha pesa? Ishu ya uraia umeishia wapi?
Naona wameamua kumkomoa mshikaji.
Siku zote walikua wapi hadi issue ya The economist ianze?Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Mkuu yule jaji Mkuu alikuwa analalamika utafikiri sio jaji Mkuu.we umepewa meno kuongoza mhimili wa mahakamani unaruhusu vipi kesi kama hizo ziendelee kusikilizwa?Haya ndio alikua anayalalamikia Jaji mkuu katika siku ya sheria kama sikosei
Alisema wao kama mahakama wangependa makosa yote yawe na dhamana. Hii itapunguza kukomoana na pia kupunguza mrundikano wa mahabusu katika magereza
Pia aliongeza kwamba Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zinatoa vifungo virefu kwa wakosaji jambo ambalo kwa maoni yake(namimi namuunga mkono) halisaidii kufikia lengo la kurekebisha tabia za wahalifu
Sasa mbona hawampiganii huyo jamaa?At least unatambua kuwa CHADEMA wanapigania haki za wahanga wa utawala huu...
hiv huyu Kabendera ni raia wa wapi vile,polisi na uhamiaji wameshatoa jibu au na wao wamekwamaHapo dhamana hakuna.
Inashtusha nama mtu ambaye kwa nafasi yake katika jamii, mwenye jukumu la kuielimisha jamii anafanya mambo kama hayo.
ila jamaa anapigwa na ccmSasa mbona hawampiganii huyo jamaa?
Walikuwa wasafi kaka. Sasa wewe unafanya vitu vya kukufanya ustand out,Kumbe at the same time una makando yako. Huyu alikuwa anatakatisha pesa,anafinance uhalifu,halipi kodi alitakiwa atulie tu. Unapofanya kama alivyokuwa anafanya kuandika against JPM,alitakiwa ajianalyse kwanza je yeye yupo safi? Mimi nawahurumia sana watoto wake.
Hiyo unasema wewe.ila jamaa anapigwa na ccm
Kukosa kumuua huyu wanaumia sana vichwa
Bongo maendeleo mtayasubiri sana. Jiwe analazimisha kila mtu amwabudu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]Chadema toeni tamko.
Safi sana[emoji106]Polisi kesi huwa haziishi zinakosa mmiliki tu!..
Kosea uwe mmiki wake!
Hujanielewa hao walifanya hayo wakiwa safi. Sasa wewe unaandika against gouvernement huku unafanya uhalifu,unakwepa kodi. Sasa kosa la kutakatisha pesa halina mdhamana. Atajijua. Unaporusha mawe hakikisha upo safi.
Tatizo mnadhani Rais ni Mungu ni ujinga! atafunga..ataua watu but the day has come it doesn't matter ni baada ya muda gani mateso anayowasababishia watu atayakumbuka nakuyajutia nanyie praise team mtakuwa mmeshahamia kambi nyingine ili tumbo lizidi kujaa