Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kutakatisha pesa? Ishu ya uraia umeishia wapi?

Naona wameamua kumkomoa mshikaji.

Ndio zile Makala za Economist zimeanza kutotoa sasa. Namtakia mapambano mema. Apiganie haki yake kadri ya matendo aliyofanya. Maana Kwenye ukweli uongo hujitenga.

Ila kama kweli ameuza baraka ya mzaliwa wa kwanza kwa bakuli ya dengu, hapo sasa ni kukumbuka mahangaiko ya Esau tu. Maana Mama na Baba yake walichukia mpaka wanawake aliooa, hata baada ya baraka ile kupeperushwa juu angani na kutua kwa mdogo wake
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Siku zote walikua wapi hadi issue ya The economist ianze?
 
Haya ndio alikua anayalalamikia Jaji mkuu katika siku ya sheria kama sikosei

Alisema wao kama mahakama wangependa makosa yote yawe na dhamana. Hii itapunguza kukomoana na pia kupunguza mrundikano wa mahabusu katika magereza

Pia aliongeza kwamba Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zinatoa vifungo virefu kwa wakosaji jambo ambalo kwa maoni yake(namimi namuunga mkono) halisaidii kufikia lengo la kurekebisha tabia za wahalifu
Mkuu yule jaji Mkuu alikuwa analalamika utafikiri sio jaji Mkuu.we umepewa meno kuongoza mhimili wa mahakamani unaruhusu vipi kesi kama hizo ziendelee kusikilizwa?
 
Muda si mrefu tutaingia miaka ya 1970's kwa nderemo na vifijo. Enzi ya zidumu fikra za Mwenyekiti.
🚴 ngoja nitimue zangu mimi kabla sijakutwa.
 
Hapo dhamana hakuna.

Inashtusha nama mtu ambaye kwa nafasi yake katika jamii, mwenye jukumu la kuielimisha jamii anafanya mambo kama hayo.
hiv huyu Kabendera ni raia wa wapi vile,polisi na uhamiaji wameshatoa jibu au na wao wamekwama
 
Aliyekwambia ni makosa yote wanayoshtakiwa nayo watu niyakweli ni nani. au wewe unaishi dunia ya peke yako.Amka kutoka kwenye huo usingizi wa pono maana si lazima hadi yakukute wewe ndo ujue yanayoendelea.
Walikuwa wasafi kaka. Sasa wewe unafanya vitu vya kukufanya ustand out,Kumbe at the same time una makando yako. Huyu alikuwa anatakatisha pesa,anafinance uhalifu,halipi kodi alitakiwa atulie tu. Unapofanya kama alivyokuwa anafanya kuandika against JPM,alitakiwa ajianalyse kwanza je yeye yupo safi? Mimi nawahurumia sana watoto wake.
 
ule usemi kuwa serikali ikikutafuta haiwezi kukukosa.
Ila inaonekana kama hawakujipanga. maana angekamatwa tangu mwanzo kwa makosa hayohayo angalau hata sisi walala hoi tungeelewa.
Sasa makosa yakupatikania lumande hayo yanasababisha tuone kama wenda shida sio makosa shida ni huyo mbabe
 
Majirani wamenusuru huyu ndugu yetu kuuawa kwani walitoka majumbani mwao na kuwauliza wasiojulikana wao ni akina nani na sababu za kutaka kumchukua EK. Wengi wakawapiga picha wasiojulikana na plate numbers za magari yao jambo ambalo liliwaudhi sana wasiojulikana na kuamua kuwanyang’anya simu zao majirani.

Bravo majirani wema kwa kunusuru kifo cha Erick Kabendera. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

Kukosa kumuua huyu wanaumia sana vichwa
 
Udhalimu una mwisho wake. Na wenye roho mbaya kama ninyi mtachanganyikiwa siku Mwana wa Adam akirudi na nuru kushinda giza, upendo kushinda chuki na haki kushinda dhuluma. Sielewi kwa mimi upige vigelegele kwa binadamu mwenzio kuumizwa? Kweli kuna binadamu na binadamu...
Hujanielewa hao walifanya hayo wakiwa safi. Sasa wewe unaandika against gouvernement huku unafanya uhalifu,unakwepa kodi. Sasa kosa la kutakatisha pesa halina mdhamana. Atajijua. Unaporusha mawe hakikisha upo safi.
 
Wewe usie praise team kama wewe ni kamanda jitokeze hadhalani uwe pro mwenyekiti mbowe uone majibu yake usiende mbali sema tu hazalani kwa nni mwenyekiti hataki kufanya uchaguzi uone moto.

Tatizo mnadhani Rais ni Mungu ni ujinga! atafunga..ataua watu but the day has come it doesn't matter ni baada ya muda gani mateso anayowasababishia watu atayakumbuka nakuyajutia nanyie praise team mtakuwa mmeshahamia kambi nyingine ili tumbo lizidi kujaa
 
Back
Top Bottom