Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah!!Ndiyo maana alikuwa anaichafua serikali ili afiche uovu wake.
Brother huyu lazima aogope! Ni verified user! Asije kupotezwa burevyema!! ?
Kwa uwelewa wangu mdogo wa mambo ya sheria nadhani mahakimu na majaji kazi yao ni kusimamia tafsiri ya sheria zilizopo zilizotungwa na BungeMkuu yule jaji Mkuu alikuwa analalamika utafikiri sio jaji Mkuu.we umepewa meno kuongoza mhimili wa mahakamani unaruhusu vipi kesi kama hizo ziendelee kusikilizwa?
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hichoPole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.
Na angekuja 0713 ningeilaluaDah Kina Nyerere na Mkwawa wangewaza hivi pengine Victoire wa Tanzania angekuwa utumwani huko Oman kwa sasa analima mashamba ya zile za kufuturia sijui zinaitwaje! nimekumbuka zinaitwa tende
Hapo dhamana hakuna.
Inashtusha nama mtu ambaye kwa nafasi yake katika jamii, mwenye jukumu la kuielimisha jamii anafanya mambo kama hayo.
Kwa uwelewa wangu mdogo wa mambo ya sheria nadhani mahakimu na majaji kazi yao ni kusimamia tafsiri ya sheria zilizopo zilizotungwa na Bunge
Hata kama kuna sheria mbaya na akili na moyo wake unaona hivyo lakini majaji na mahakimu wamefungwa mikono hawawezi kuamua nje ya wigo wa sheria hizo
Teh teh teh umenikumbusha mbali kuhusu hayo maandamano ya Da Mange.
Watu walichonga sana humu mitandaoni lakini siku ya siku ilipowadia wote wakaufyata wakajifungia makwao huku wakichungulia madirishani kuona kama kuna waliojitokeza kuandamana.
Majasiri wa kwenye mitandao hao!
Well said, ndio maana nimeamua kujikalia zangu kimya, kwanini nice mbinafsi wa kuwa ninayejiita mwanaharakati niishie pabaya, kisha mwanangu nimuache anateseka. Idiotic thought.He was too stupid/naive kuandika makala kama zile halafu unaishi bongo na unaona kinachoendelea..He had it coming to him
Angeweza kuandika makala kama zile under a false ID, pia unaweza kufuatilia kila kitu bongo ukiwa nje, dunia ni kijiji hiki, zile makala zake zilikuwa zinachambua tu hotuba za magufuli, miradi anayoifanya na sera zake ambazo hata ukiwa Australia huko ukifuatilia utafahamu tu, au unaweza kuniambia ni vitu gani aliandika ambavyo mtu ukiwa nje huwezi kuvijua? vyote vipo wazi tu, sema yeye ameandika katika kuvikosoa
pia unaweza kuwa na watu wako bongo wanaokupa taarifa za ndani ambazo haziwekwi kwa waandishi, akina Mange kimambi, Ngurumo wanapata intel nzuri tu na wapo nje, hivyo ndivyo waandishi pragmatic, wanavyoishi kulingana na uhalisia wa hali, sio kujifanya unakufa kishujaa, kesho wanakusahau, unaacha familia inateseka na hakuna mabadiliko yoyote uliyofanikiwa kuyaleta sababu ulienda kiboya
Na kuteka, kuuwa, kubambikia kesi, kupendelea chato na ule ufisadi wa trillion 1.5 ulisahau kumwambia?Hata mimi nilimwambia hizi ndege unazonunua zinakufarakanisha na akina KIVYAKO na mungu wao hasikii.
Nikamwambia hizi Hospitali na vituo vya Afya unavyojenga nchi nzima vinakufarakanisha na akina KYAKO na mungu wao hasikii tu
Nikamwambia huu uwanja wa ndege wa Dar es salaam na vingine vyote unavyojenga vinakufarakanisha na akina Kivyako na Mungu wao bado hanisikii tu
Nikamwambia hawa MAFISADI unaowashughulikia unajifarakanisha na akina kivyako na mungu wao bado hanisikii tu.
Nikamwambia hizi flyover na mabarabara unayojenga nchi nzima akina kivyako na mungu wao hawapendi, bado hanisikii
Nikamwambia unavyoshughulikia vyeti feki vya akina kivyako mungu wao hapendi hanisikii tu
Nikamwambia hao watumishi hewa unaowatoa kwenye payrol, ambao akina kivyako walikuwa wanajipatia hela za kuwapa heshima mtaani, mungu wao hapendi hanisikii.
Nikamwambia vingi tu anavyofanya kwa ajili ya ustawi wa wananchi, kwa mungu wa akina kivyako ni ubatili tu.
Bado HASIKII TU.
We tulia acha kukebehiPole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.