Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Kimsingi ktk hali ya busara kabisa kea taifa linalozingatia utu na heshima, haikua busara kumyima kijana huyu ruhusa ya kumzika mama yake. Kifo cha mama mzazi ni jambo nyeti.
Ambaye alitoa huu uamuzi hata kama hakukosr kisheria, lakin ktk halo ya kawaida alikosea
Ambaye alitoa huu uamuzi hata kama hakukosr kisheria, lakin ktk halo ya kawaida alikosea