Akili za polisi na CCM ni takataka, tope. Wanashindwa kuona kitu kidogo kuwa ukiona watu wametoka na kuja pamoja a vitisho, mazoezi yas polisi, kuwafunga CDM etc ujue huko nyuma kuna millionsPamoja na vitisho vya IGP Sirro bado wafuasi wa Chadema wametoka barabarani na wamefika Kisutu na maoni yao kwa njia ya mabango kwa amani.
Hongera kwa sapoti mliyoonyesha kwa Mwenyekiti wenu Freeman Mbowe, lengo mlilokusudia la kupeleka ujumbe limetimia.
Ni kweli wako mamilioni ila wapo mitandaoni tu, katika hao waliyokwenda pale sijui hata kama kuna member wa JF. Mimi kuhusu Chadema mitandaoni huwa nakubali kuwa ni kweli ina nguvu ila huku mitaani ndio haina nguvu.Akili za polisi na CCM ni takataka, tope. Wanashindwa kuona kitu kidogo kuwa ukiona watu wametoka na kuja pamoja a vitisho, mazoezi yas polisi, kuwafunga CDM etc ujue huko nyuma kuna millions
Hahahaaaa...... Ulikuwepo bwashee?!!Ukweli mchungu.
Ukimya wenu umewasaidia nini zaidi ya kuonekana kama maiti zinazotembea a.k.a zombies...Mdomo wenu unawaponza
Ujinga ujinga tu kwani walikuwa hawajui kama teknologia hawana. Yaani wakati wa kesi ndiyo uwe majaribio! tunapenda kupotezea watu muda sanaNi Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi.
Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi ya Kudai Katiba Mpya....
Yaaani hadi saa hii hujaamini kama mwenyekiti wenu ni mtuhumiwa.Chadomo fyongo kweliHebu wamfunge tuone kama kasi ya watanzania itazidi au itapungua.
Hii sio ile Chadema ya zamani sasa Chadema ni Chama kikubwa kuliko CCM.
Gaidi lazima aogopeke ndiyo tuna deal naye kisawasawaWenzetu Kenya na Uganda wanajiweka kwenye ramani ya dunia kwenye Olympics na kujiletea sifa kedekede sisi tunaendelea kujiharibia huko CNN BBC na ALJAZEERA kwa kesi za kitoto...
@KumagaGaidi lazima aogopeke ndiyo tuna deal naye kisawasawa
Acha uongo kesi yeye ile inaweza kuendeshwa law video conference kama kuna tatizo la logisticNi Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi....
ujambaz haunaga taarifaSasa kwenye maandamano ya amani mibunduki nakujihami kote kama kuna vita nini shida?
Hao hao pakiwa na tukio la ujambazi ukiwapigia simu hawatofika hadi jambazi afanye yake aondoke. Lakini wakiwa wanawazuia wapinzani wasifanye siasa wapo chap utafikiri kikao cha wapinzani kinaamua kumuondoa rais madarakani.
Kazi yao ya KUMBAMBIKIZIA yote Tumuachie MUNGUMahakama ndio chombo cha kutoa haki. Polisi waalishamaliza kazi yao.
Tulieni msubiri ushahidi na kufungwaHuu uonevu unaofanywa na jeshi la polisi ili kukisaidia CCM unatengeneza taswira mbaya sana kwa watanzania.
Kwa elimu IPI aliyonayo mkuu,.Mkuu unafahamu maana ya commital proceedings?
sheria gani wanasimamia hawa makima...Mambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Tanzania is a sovereign coutry...